BONGO CELEBRITY

All You Wanted To Know But Didn’t Know How and Where

FLAVIANA AANZA VIZURI AFRIKA KUSINI August, 14, 2008

Filed under: Fashion,Urembo,Watanzania Kimataifa — bongocelebrity @ 10:11 AM

Mwanamitindo/Mrembo Flaviana Matata(pichani chini) ambaye hivi karibuni alielekea nchini Afrika Kusini kufuatia mkataba alioingia na kampuni maarufu ya Ice Models ya nchini humo ameanza kazi yake vyema.Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Compass Communications ya Tanzania,Maria Sarungi,ambao ndio kampuni iliyosimamia mkataba huo,Flaviana alipanda jukwaani kwa mara ya kwanza nchini humo tarehe 28 Julai(mwezi uliopita) na tayari amekuwa kivutio kikubwa katika suala zima la uanamitindo na urembo.BC inazidi kumtakia Flaviana kila la kheri.

A reason to smile.

Advertisements
 

37 Responses to “FLAVIANA AANZA VIZURI AFRIKA KUSINI”

 1. Amy Says:

  African queen for defo… its about time. she is natural..she is

  gorgous, she is beautiful… should have represented Tanzania

  for the miss world….it’s a wonderful feeling to know that the

  Tanzanians can create such a wonderful product…wish her all

  the best…she’ll do well anyway she goes.. be New York,

  London, Paris… South Africa whenever… all she needs is her

  portfolia put together and start the go sees…gorgous.

 2. Mickey Jones Amos - Denmark Says:

  “….Glorious & Colourful…..”

  She is and will always remain a “NATURAL PRODUCT”

  Our truely “PRIDE OF TANZANIA”

  Ohhh…GOD Let it Be…..for once in our life time!!!!!!

  mickey@mail-online.dk
  Copenhagen

 3. Frateline Says:

  Hi Guys
  I have no comment

 4. kwikwi Says:

  stunning…absolutely breath taking!

 5. Binti-mzuri Says:

  Mi namuunga kiuno amy wa posti 1. Ths gal angeenda ms.world. Veri stunin,am speechles. Go get them mdogoangu. Ntakuombea

 6. michelle Says:

  Absolutely beautiful, all the best girl!!!!!!!!

 7. the ma-juuz Says:

  kazi na dawa!

 8. kino Says:

  beautiful flaviana keep it up, wenye wivu walie na walegee, umependeza na msalaba glory to god.

 9. BLACKMANNEN Says:

  Thanks God for creating “Blackness”, and give this beautiful colour to a few people, for free, among them is “FLAVIANA” and “Blackmannen”.

  Some jealous people usually say, the Devil is Black, Black Market, Black Business, Blackmail and many other bad things about Black colour. Because, it costs them dearly to get the “Black-Mkorogo”. They burn themselves in solariums or travel away to some resorts, to find the sun burns.

  Katika swala la mitindo, rangi ya mtu ndiyo inayochukua nafasi kubwa katika mvuto, kutokana na rangi hiyo kukubaliana na rangi nyingi za nguo anazovaa Mwanamitindo. Hii inathibitishwa na idadi kubwa ya wanamitindo wakubwa duniani kuwa ni weusi.

  Kila la kheri Flaviana, ni matumaini yangu kuwa utafika mbali katika shughuli yako, kutokana na nyongeza ya ziada uliyonayo ya uzuri wa sura yako.

  Says Black=Blackmannen

 10. Mamii Says:

  msichana wa kiafrika uko unique and you are the torchbearer kwetu sisi wabongo na waafrika! we love you, Flavia, keep up the good job!

 11. Paulina Says:

  mi nasemaje mliharibu ngozi zenu kwa mkorogo poleeeh,huyu ndio mtoto kitu safiii very natural,sijajua kazini vipi lakini she has pontentials wadau saidieni azifikie to the fullest.
  whoever hates black think again

 12. kindo Says:

  Mungu akubariki Flaviana.

 13. Matty Says:

  Groly to God in the highest kwakweli! God bless you afadhali hata cheni inamwakilisha yesu!
  Go go girl!

 14. pretty girl Says:

  ua veri biutiful andi aiaprishie u mai dia.u know unaonekana upo poa why ha2chukui wa2 like u kwenda mis tz au nyie huwa akina Lundenga hawaoni?.maana tangu b4 mi naona modal wote huwa mpo bomba.kaza kia2 mama utafika far.

 15. Rachel Says:

  keep it up Flaviana.ur so cute.

 16. Amy Says:

  the funny thing about this dark skin thing is … it really seems

  to be a big deal in Africa and among some black Americans

  of course!, I am a Tanzanian girl, living abroad, fairly dark in

  complexion, I did my O’levels and A’levels in Tanzania, then

  came over to study and have been here since then, I remember

  when in school, I wasnt considered beautiful as such

  cause of my skin colour, I was bullied at times

  and all light coloured girls where the ‘ONES’ since I came

  abroad I have never felt so beautiful!

  I turn heads in many places I go and people love my colour, I

  get compliments all the time and colour doesnt come into it,

  and have often been a favourite out of other girls who are

  lighter..the whole thing took me by storm and really I have

  never been so happy and appreciated… its funny black people

  have a problem with their own colour where as most of white

  people think it’s amazing and exotic…its very sad when you

  see all these people trying to bleach their skins… some black

  stars in America, singers and models ( I wont mention their

  names) have the same story… they are turning lighter by the

  day and people have started to notice … some of their

  European fans arent interested anymore they give out about

  how white they became and it takes away the whole

  look they had which made them stars and famous at the first

  place…all I am trying to say is….Black is beautiful and I am

  proud of it, I wont change it for the world… and GIRLS OUT

  THERE PLEASE BE HAPPY WITH YOURSELVES… THESE

  CHEMICALS YOU USE TO BLEACH YOUR

  SKINS ARE ASSOCIATED WITH SKIN CANCER…IT’S TIME TO

  OPEN UP OUR EYES before its too late… the manufacturers are

  trying to improve these chemcals for better results and its not

  for the best….. i tell you…… Flavian keep it up.

 17. binti-mzuri Says:

  hahaha blackmanenn nikakaa nikachekaa… u made my friday. have a good weekend

 18. Vyonne Says:

  Hey as i commented at maria Sarungis interview. Flavia Matata is the best model and she my favourite. Natural black beuaty i love that…

  AMY: u r right most black men (in Africa and America) like light skinned girls that is so funny because i am also living in Europe and i am the typical black girl and i receive so many complements from different people..which was not the case at home in Tanzania i was considered as ‘msichana mwenyewe mweusi tii’.

  AMY to be very honest i also notice that in Europe people general admire natural black, dark skinned people over the so called WEUPE. Its funny isnt it?

  We africans should have been the one to like our own skin colour instead majority of men in TZ love halfcast and very light skinned girls ..well that is life… AMY i agree with you on what you said..

  Flavia Matata keep it up achana na wasichana wajinga do your thing and make money and career that is why u r in South Africa for…please please dont do what Mariam Odemba did..if they put you on diet obey after all mdogo wangu wewe si unatafuta pesa bwana si ndio so dont be foolish bwana kama Odemba…

 19. kino Says:

  nani kama yesu hakuna, hakuna kama yesu, bwana asifiwe.

 20. Binti-mzuri Says:

  Jamani e,pipo be careful.some comments are judgemental, like how wewe yvonne/vyonne say ‘the so called weupe’. Kila mtu na attractions zake,hata mie nipo europe na napata mikonyezo even though am light skinned.. na sio weupe wote wana mikorogo. Msiponde rangi za watu..kwani mtu kua mweupe wa kuzaliwa ndio sio natural beauty..ivi tunaelewa manake lakini. Lakini sawa tu,tunasonga.

 21. Leila shakum Says:

  African Queen,ila ushauri wa bure, usianze kuvaa nusu uchi. mimi napenda sana mafaniki yako,ila nilikushangaa sana before hujaenda miss universe mwaka jana,ulipiga picha umevaa swimming cost(bikini-chupi na sidiria) kwa mtizamo wa ajabu sana,huku umeshika mguu. Flavia wewe ni mwanamke,kwanini ujishushe namna hiyo? Unaweza kuwa model na ufate maadili. Take a look at Ayan Hassan,Mwanamke mzuri wa kiislamu,ambae ana fata maadili na she is still sucess. all the best

 22. kino Says:

  bwana asifiwe wakristu hatuna mambo ya udini, na kuleta vurugu kama za zanzibar.

 23. BLACKMANNEN Says:

  He he he he he heeeeeeee Beatiful-Binti=Binti-Mzuri. Nashukuru kusikia kuwa nilikupa Ijumaa ya furaha. Lakini hata hivyo, ukweli bado unabaki kuwa, ndugu zetu wengine ambao hawakupewa bure na Mwenyezi Mungu rangi NYEUSI, kama nilivyopewa mimi na FLAVIANA huingia gharama kubwa kwa kwenda mbali kutafuta jua liwachome ili kuupata “Mkorogo” wa rangi NYEUSI. Hebu jaribu kwenda Beach ukawaone wanavyojianika kama “Mijusi”. Mimi ni msukuma wa Shinyanga kwenye majabali makubwa yenye mijusi kibao, kwa hiyo ninapokwenda Beach nikiwaona ndugu zangu hawa walivyojianika juani kama mijusi ili kuipata rangi yetu nyeusi, hunikumbusha mijusi ya kwetu Shy. Hata hivyo, Binti-Mzuri, nakuomba ushirikiane nami na watu wote wenye nia njema tumwombee kwa Mwenyezi Mungu FLAVIANA asonge mbele katika shughuli yake ya uanamitindo!

  This Is Black=Blackmannen

 24. Mamii Says:

  Leila, acha ushamba wala usimpe ushauri utakaomharibia future yake! kuvaa bikini si kitu cha ajabu ni sisi watz ndo tuna mawazo ya ajabu. anapovaa binti swimming costume au bikini katika fani hii ni kwamba anaonesha mwili wake kwamba hauna madoa na uko fit siyo ngono kama hapa bongo tunavyopendea kukimbilia kimawazo. Udini hauna nafasi katika fani ya modeling. wasikuzingue Flavia, binti wa kwetu, vaa tu swimming costume, hao wanaokusema waulize wanapoenda kuogelea wanavaa hijabu?

 25. kino Says:

  wakristu hatuna tabia kama za baadhi ya waislamu kuchanganya watu bwana asifiwe milele na milele.

 26. TRII Says:

  sasa hiyo fashion show mtu kavaa baibui inakuwaje?na hata asinge vaa hapa huko mbele lzm,si kama mi tz hapa hawavai vichupi lkn huko mbele lzm wanavyaa,people bwana.

 27. TRII Says:

  mamii wanavya t-shirt +jean.

 28. binti-mzuri Says:

  heheh, poa blackmannen.

  kino you want attention,i bet your not even a christian yourself,because they wouldnt act like that. unaandika jina la Muumba wako hovyo,tena bila heshima.. usikubuhu(is that even the word?) dini za watu.ishia zako

 29. Leila shakum Says:

  Mamii,wewe mwanamke usie na haya,huna malezi bora. Narudia,kalelewe upya. Naongea na flavia,sina muda wa kugombana na wewe.am a mother.

 30. Matty Says:

  Where is my comment BC???
  Binti-Mzuri umeniwahi nilitaka kumhoji huyo Kino (usitaje jina la bwana Mungu wako bure eboooo)
  hahahahaha even me am a mama so wat next Leila Shakum??

 31. Mamii Says:

  dada Leila, nakuheshimu kama mwanamke mwenzangu, na naomba tusianze kuingiliana kwenye malezi, we mlee binti yako unavyotaka lakini usimpotoshe model wetu flaviana. na mimi nilikuwa naongea na flavia na kukosoa ushauri wako nikimweleza kwa nini aiskusikilize. kila ya kheri bibie katika malezi ya binti yako. watoto wa wenzio usiwapotoshe!
  flavia wewe ni mrembo, mzuri na mwafrika halisi, jenga jina, tunakusapoti, wabongo tunapenda sana kuchonga!

 32. Mama James Says:

  Inapendeza tena yafurahisha kuona kumbe hata bila mkorogo you can be beautifully, I like the way she looks ‘natural’, god bless u!

 33. HALIMA Says:

  wewe unaejiita kino, hapa sio kwenye mdahalo wa dini wala usipende kukosoa dini za wenzako umesikia? au kama vipi kafungua kanisa ukaanzishe mahubiri.
  dada flavian upo juu mtu wangu acha wasukutua mdomo wachonge.

 34. injinia Says:

  Flaviana bado yuko kwenye early stages. Tumuombee mafanikio. The game is really tight. Kazi hamna hapa duniani so competition evrywhere hata kwenye umodel. Kwenda South is just the very first step.

 35. binti-mzuri Says:

  kazi kweli kweli

 36. amy Says:

  Just to clarify, when we say black is beautiful we dont mean

  that light skin isn’t… beauty is on the eye of the beholder…you

  can be black and still beautiful…same way goes to people with

  white skin… they can be white and still bad looking AND VICE

  VERSA..color doesnt come into it…everybody has their own

  preference..go for white if it’s your preference and same.. go

  for black if that’s what you prefer…I just want to tell all girls

  with dark skin….there’s hope out there : )


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s