BONGO CELEBRITY

All You Wanted To Know But Didn’t Know How and Where

UNAMKUMBUKA HUYU? August, 24, 2008

Filed under: Swali kwa Jamii — bongocelebrity @ 1:18 PM

Advertisements
 

30 Responses to “UNAMKUMBUKA HUYU?”

 1. hekima Says:

  Rashid Kawawa

 2. komredi Says:

  huyu ni Oscer Kambona

 3. b2k Says:

  Oscar kambona

 4. Mikasi Says:

  Oscar Kambona

 5. EDWARD Says:

  OSCAR KAMBONA, MNYASA WA MBAMBA BAY, MKOA WA RUVUMA MSHIRIKA WA NYERERE KUPIGANIA UHURU WA NCHI HII. WAKATI WA UKOLONI WANYASA WENGI WALIKUWA WASOMI SANA, ILITOKEA HIVYO KWA AJILI YA WA-MOSSIONARY walifingua shule na makanisa huko mbamba bay mwanzo kabisa.

 6. Dotto Says:

  Oscar Kambona

 7. Ms Bennett Says:

  OSCAR KAMBONA

 8. BLACKMANNEN Says:

  Huyu ndiye aliye jifananisha madaraka yake ya uwaziri wa Mambo ya Nchi za Nje na Urais wa Tanganyika “Oscar Kambona”.

  Blackmannen

 9. Edwin Ndaki Says:

  Huyo ni marehemu Osar Kambona, ilibidi ajilipue mamtoni baada ya kuitilafiana na mwl Nyerere.

  Pia alikuwa miongoni wa watu walioanza kututoa kimasomaso kwenye medani ya habarai ya kimataifa..

  RIP Kambona

 10. Abel Iskal Ndundulu Says:

  Huyo ni Mh.Oscar Kambona mmoja ya mawaziri katika baraza la mawaziri katika serikali ya Mwl.J.K.Nyerere.

 11. EDWARD Says:

  OSCAR KAMBONA:-

  He was against MWALIMU NYERERE ideas of Ujamaa and Azimio la Arusha of that time, eventually he was proved to be right as we have abandoned all those ideas and now we are in a fully fledged free economy.

  Also he was very humble guy and being in good terms with most civil servants including army and police and he was the one who went to LUGALO BARRACKS to order the army not to take MWALIMU NYERERE out of power in 1964 when the army attempted to take the country, it was almost taken, but KAMBONA helped the situation, but it was a wrong move to him as NYERERE suspected he was involved in it as many of officers were from Kambona’s tribe (NYASA) from there WANYASA WERE in trouble, they were checked their everywhere from your village to schools, even employments, it was not a an open policy but it was a hidden policy, since then very few NYASAs have been given top posts in the governments live alone to get a good job. huu ni uwazi na ukweli. KAMBONA KABLA YA 1967 TAYARI ALIKUWA NA MAJUMBA HUKO OSTERBAY, KARIAKOO, ILALA, MAGOMANI alipinga mali zake kuchukuliwa na serikali yaani kutaifishwa, lakini wapi siku hizi viongozi wana mali za kufuru na ujamaa tumeupigia kisogo, most of people now are so greedy no more wajamaa.

 12. Gervas Says:

  Mmmhh!!! huyu ni Lipumba….Tabora Boys 1975

 13. hombiz Says:

  Huyu ndiye hayati Oscar Kambona, mtangazaji aliyerusha matangazo ya kwanza ya Idhaa ya Kiswahili ya BBC tarehe 27 mwezi Juni mwaka 1957. Alifariki Uingereza akiwa na umri wa miaka 68.
  Huyu ndiye Oscar kambona. Alikuwa waziri wa kwanza wa mambo ya nje wa serikali ya Tanganyika na pia kiongozi mwenye kukubalika zaidi ktk nchi baada ya hayati mwalimu Nyerere wakati huo. Alizaliwa tarehe 13/08/1928, kando kando ya ziwa Nyasa ktk kijiji cha Kabwe karibu na Mbamba Bay, wilayani Mbinga karibu na Songea, kusini mwa Tanganyika. Alifariki jijini London mwaka 1997
  Alikuwa ni mtoto wa mchungaji David Kambona na Miriam Kambona. Mchungaji David Kambona alikuwa ni miongoni mwa kundi la mwanzo kabisa la wachungaji wa kiafrika ktk kanisa la Anglikana la Tanganika.
  Oscar Kambona alipata elimu yake ya shule ya msingi akiwa nyumbani, chini ya mti wa muembe kijijini kwao. Mti huo upo mpaka sasa. Alifundishwa na wazazi wake na mjomba wake, ambao wote walikuwa ni walimu. Baadae alipelekwa ktk shule ya kati (middle school) iitwayo St. Barnabas Middle School huko Liuli kusini mwa Tanganyika amboko sio mbali na nyumbani kwao. Pia alihudhulia shule ya sekondari iitwayo Alliance iliyoko Dodoma, katikati ya Tanganyika. Askofu muingereza wa kanisa la Anglikana, alilipa ada ya shule ya kambona kwasababu baba yake kambona hakuwa na uwezo wa kufanya hivyo. Ada ya shule ilikuwa ni Poundi 30 kwa mwaka. Inasemekana Kambona aliweza kumshawishi askofu kumlipia ada kwa kuwa aliweza kusali sala la bwana kwa kiingereza. Baadae alichaguliwa kujiunga na shule shule ya wavulana ya Tabora iitwayo (Tabora Boys Senior Government School) ambapo alikutana na Mwalimu Nyerere ambaye alikuwa tayari anafundisha ktk shule iliyoitwa St. Mary’s ktk mji wa Tabora. Ngoja nifupishe habari.
  Jeshi lilipoleta rabsha mwaka 1964, ambapo raisi Nyerere na makamu wake Kawawa walipopelekwa ktk sehemu ya salama na maafisa wa usalama, ni kambona peke yake kwa ujasiri mkubwa, alijitosa kuzungumza na maafisa wa jeshi waliogoma ili kufikia muafaka. Aliendesha gari mpaka kwenye kambi ya jeshi ya maafisa waliogoma na kuzungumza nao na kusikiliza madai yao. Wanajeshi walitaka nyongeza ya mishahara na pia kuwaondoa kwa maafisa wa jeshi wa kiingereza na kuwekwa maafisa wazawa ktk jeshi la Tanganyika. “Kambona angekuwa ni mrafi wa madaraka, basi angeyanyakuwa wakati kuo kwani jeshi lilimpenda na kumuamini saana. Pia alikuwa ni waziri wa ulinzi wakati huo”.
  Anyway, baada ya kasheshe hili kuisha, Mwalimu Nyerere alimshukuru sana Kambona kwa kusaidia kurekebisha hali ya hatari.
  Ngoja niishie hapa kwani historia ya kambona ni ndefu saaaaaaaana Nikipata wasaa wakati mwingine, nitaiendeleza.
  Pumzika kwa Amani Kambona.

 14. binti-mzuri Says:

  mzuri aisee

 15. guide Says:

  kiboko ya Nyerere

 16. Matty Says:

  mzuri kweli Binti-mzuri halafu ana mtoto wa kike kisura ile mbaya kama shombe flani hivi mhhh RIP KAMBONA!

 17. masesa Says:

  jamaa ni marh: osca kambona,mwanaharakati wa kweli alikuwa akimpa shua sana mwl nyerere.alikuwa na akili kuliko jamaa waliotuongoza kipindi hicho chote.ndio handsam boy wa kwanza bongo hapa si hunaona katinga vitu hadimu kipindi kile kuvipata enzi za ujima kaka.

 18. Lukamba Says:

  Huyu Ni MCH MTIKILA kabla ajajiingiza kwenye mambo ya DINI,
  Alikuwa ana akili sana kwa miaka hiyo,kiasi cha kujua hathari za siasa ya ujamaa,
  Huyu na mzee Edwin mtei wangepewa nchi miaka hiyo,tungekuwa kiuchumi tuko sawa na Marekani,sababu Focus yao ilikuwa kubwa sana,
  mambo yote ambayo tuliyakataa miaka hiyo,leo hii ndo tumeyaalalisha, na hawa mabwana ndo waliokuwa mtariri wa mbele.
  Swali ni Kwamba HUYU NI NANI???
  majibu LUNDO !!!! kuwa mzaramo bwana !!!!!!!

 19. Lukamba Says:

  Kuweni WAELEWA !!!! Swali limeuliza
  UNAMKUMBUKA HUYU ???

  Jibu lake ni NDIYO au Hapana.

  Maelezo yote ya nini ????? Ndo maana mnafeli mitihani

 20. a Says:

  Huyu alisumbua sana akina dada enzi zake

 21. kahindi Says:

  we Hekima hapo no 1,kawaw atakuwa huyu?kama hujui c bora ujinyamazie 2…huyu ni KAMBONA.

 22. Lukamba Says:

  MTIKILA HUYO,kabla ajamtapeli ROSTAM

 23. binti-mzuri Says:

  yani matty na posti namba 21 … mi nipo speechless.

  mtoto wake ijawai kumuona,ila najua tu lazima atakua bomba.

  halafu namba 20..nimecheka ujue..HAHA

 24. Sossoliso Says:

  We lukamba wa 20 umefeli mtihani kabla haujakufikia. Swali halikuelekezwa jeshini, ndio kuna majibu unayotaka ya ndiyo au hapana. Wenye akili hutoa maelezo zaidi ili maswali zaidi yasifuate.

 25. Mh Lukamba Says:

  sossoliso kutoa maelezo pasipo kuitajiwa ni ukosefu wa NIDHAMU na maadili!!!siyo kuwa na akili.
  Habari ndo hiyo

 26. Amina Says:

  huyu juma nature mwanamuziki wa bongo flava

 27. jumamosi Says:

  mkapa huyo wakati yuko shule

 28. Matty Says:

  hahahahahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa BC pls niache nivunje mbavu zangu Amina huwaga kama anaota hahahahahahahahahah eti Juma necha jamani hii kali!

 29. Mary Mkwaya Malamo Says:

  Lukamba nakuunga mkono na miguu yote mtu wangu,
  Jibu lake ni ndio au hapana.


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s