BONGO CELEBRITY

All You Wanted To Know But Didn’t Know How and Where

WHEN WE REMEMBER COMPLEX August, 25, 2008

Filed under: Bongo Flava,Muziki — bongocelebrity @ 11:25 PM

Hivi majuzi pale katika ukumbi wa Afri Centre,Ilala jijini Dar-es-salaam palifanyika tukio la kumkumbuka aliyewahi kuwa miongoni mwa wasanii na producer mahiri wa Bongo Flava/Hip Hop,Marehemu Saimaon Sayi au maarufu kwa jina la Complex. Complex alifariki dunia August mwaka 2005 kwa ajali ya gari.Katika ajali hiyo alifariki pia rafiki yake Vivian Tilya aliyekuwa mtangazaji wa Clouds FM.

Pichani kutoka kushoto ni mtangazaji wa Clouds FM,B-12,msanii A.Y na Prof.Jay wakiwa wameshikilia mishumaa kama kumbukumbu ya kifo cha Complex.Tukio hilo liliitwa Remember August.R.I.P Complex and Vivian Tilya.

Photos/Abdallah Mrisho


Advertisements
 

18 Responses to “WHEN WE REMEMBER COMPLEX”

 1. Matty Says:

  RIP COMPLEX & VIVIAN!
  Kwa kweli mbarikiwe sana wote mliwakumbuka wapendwa hawa wawili walioondoka duniani siku moja….kazi ya bwana haina makosa, mimi pia nipo pamoja na nyinyi ktk kuwakumbuka na kuwaombea kwa Mungu wale wote walioondoka duniani tukiwa bado tunawahitaji.
  BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA JINA LA BWANA LIBARIKIWE!AMINA!

 2. Edwin Ndaki Says:

  Sayi aka Complex nakumbuka sana kazi zako.

  Nikiwasikiliza wagosi naona mkono wako bado.

  Naikumbuka sana hiyo siku nilikuwa nasikiliza Clouds FM ndio habari zikatufika kuwa Vivian na Complex hatunao tena.

  Nikisikiliza song la Jebb ..swahiba kama nakuona vile mwana.

  pamoja..pumzika kwa amani wewe na rafiki yako mpendwa Vivian.

  Amina

 3. jembe Says:

  safi sana vijana,May God rest him in peace

 4. william Says:

  Rest in peace bro!!
  hopin we will see you wen we be there when our tym comes!!
  okay no problem but othaz we should kno that we wont leave here ferever.

  visit http://www.vyuotz.blogspot.com

 5. Ed Says:

  My home boy, my friend, my school mate, and my fellow Tanzania citizen. Rest in peace hommie.

 6. Welle Says:

  will always remember you my bro. our family miss you alot sweet, always remember by your niece’s and nephew’s, coz you know how much they used to love you, as well as ur special daughter SANDRA!! we were not there but always its like y’day, Simon, Simon , Simon, wat a nice bro. we had. still so painfull, Thanks to all who took part on this special day of our bro. for those who arrange the event we realy thank you!! we miss you Simon!

 7. debra Says:

  Mweeeh..RIP Complez n Vivian…
  Sasa jicho langu ka linekosea vileeee,mbona ka mshuma aka Profjizo ni kadogo???Mbona unepitwa na wa Bkumi na mbili??Mhhh….

 8. Dunda Galden Says:

  R.I.P VIJANA WENZETU

 9. hombiz Says:

  RIP Complex and Vivian Tilya.

 10. kahindi Says:

  kifo oh kifo…kifo kweli hakuna huruma..Mpendwa wetu Complex,tunakuombea kwa Mungu uzidi kupumzika kwa amani…mbele yetu,nyuma yako,amein.

 11. any Says:

  Huyu kaka alikuwa mzuri jamani, black cute. RIP dear.

 12. prety girl Says:

  oooh very sorry my bro complex.i mic u so much and vivian 2.pumzikeni kwa amani one day 2takuwapamoja.amen

 13. ma'reen Says:

  My heart bleeds every time I remember you Vivian…may your soul rest in peace!

 14. MUGA RAYMOND Says:

  REST IN PEACE COMPLEX AND VIVIAN, WE WILL ALWAYS EMBRACE YOUR LEGACY.

 15. binti-mzuri Says:

  dah..him and Ay were good friends back in the day. may you rest in peace…your girlfriend too

 16. Heavyweight Says:

  R.I.P Simon Sayi….kama nakuona vile tulivyokuwa Forodhani primary School…u will always be on my prayers hommie.

 17. Jackline Says:

  Complex an Vivi still remembered

 18. Amina Says:

  du mmenikumbusha mbali


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s