BONGO CELEBRITY

All You Wanted To Know But Didn’t Know How and Where

DAR MPAKA MORO-TMK WANAUME September, 9, 2008

Filed under: Burudani,Muziki,Tanzania/Zanzibar — bongocelebrity @ 10:24 PM

Msomaji,mtembeleaji.Leo afya yangu imeleta mgogoro kidogo.Hata hivyo nimefanikiwa kujikongoja mpaka hapa ili kutokukuacha mtupu kabisa.Natumaini kesho mambo yatakuwa poa na afya itakuwa imetengemaa.Basi nimeona nikupe japo hii video ya Dar Mpaka Moro kutoka kwao TMK Wanaume Family.Peace and Love-Jeff.

Advertisements
 

21 Responses to “DAR MPAKA MORO-TMK WANAUME”

 1. Rahma Says:

  Jeff,
  Pole sana.I wish you a quick recovery maisha bila BC ni noma.Asante kwa dar mpaka moro

 2. majita Says:

  Nampenda sana Nature.Ila tukiacha masikhala hili songi limesimama.Kama kunaendeka nijue kama hakuendeki nijue mmh wapiii Dar mpaka moro.Sijui watachukua Hood,sijui Abood sijui wataendesha la kwao sisi haaaaa tutavizia zinazotoka mikoa pale msamvu manake Abood akawii kuchinja na kuficha majeruhi kisha kununua magazeti yoote ya kesho yake.hahahahahaha

  Kuna dreva wangu mmoja alikuwa anapiga fimbo hapo Abood alikuwa anaitwa Mabreki.Sijui yupo,sijui keshafukuzwa ila nalipenda sana gemu la Hood Vs Abood plus Dar mpaka Moro zidisha na wanaume Halisi toa na wanaume Family ukigawa na TMK kwa ujumla unapata full kujiachia aka full kuporomoka.

 3. Pole Jeff. Wishing you a quick recovery!!

 4. matty Says:

  Pole sana Jeff, get well soon! and thanx kwa Dar/Mpaka Moro Chris upo????

 5. Dunda Galden Says:

  JEFF THAT WHY WE LIKE BONGOCELEBRITY SAFI NILIKUWA NAISIKILIZA TUU VITU ADIMU KAMA HIVI UKU HAVIPATIKANI MWIMBO MZURI SANA

 6. RebbyGod Says:

  Dah!!!!
  Yani Chege naizimia sauti yako tu!!!!
  Nice song keep it up.

 7. kahindi Says:

  mi nampenda sana Chegee…na we majita hapo juu no 2 hujatulia..

 8. binti-mzuri Says:

  pole jeff…nitakutumia special delivery soup!

  love the song… dedication to yall..

 9. Mswahilina Says:

  Pole sana Jamaa yetu Jeff, ninakutakia uponyaji wa haraka. Mwenyezi Mungu asikilize dua zetu na akuponye mara. Amen.

 10. Mswahilina Says:

  Aliyo andika Majita hapo posti #2 yasipuuzwe; bali yafanyiwe kazi na vyombo husika.

 11. Chris Says:

  Hope ushapona hadi sasa Jeff! Lakini nikupongeze kwamba umejitoa haswa kwa ajili ya baraza hili la BC! Japo unaumwa lakini hujaliaacha tupu baraza hili. Asante sana Bro!

  Ngoja niunge zangu na vidume wenzangu kuelekea Moro! Uji wa pili pili mtama wa futuru leo itabidi nikaudoee Moro, maana duuu Matty siji leo kwenye uji!

  Songi nalikubali sana!

 12. EDWIN NDAKI Says:

  Du jemadari Jeff pole sana naona wanataka kukuteka NYARA.

  Kila jema upone “haraka” tuendeleze mapambano maana safari bado ndefu..ingwa naaamini kabisa.

  TUTAFIKA KAKA

 13. Mama wa Kichagga Says:

  Ugua pole Kaka.

  TMK hoyeeee!Nawapenda sana kwakweli!

 14. Majita mkuu wangu; track hii Nature hayumo ingawa namfagilia kama wewe. Hii ni ya TMK; kina Chege, Temba, n.k. Kwa wanaonijua nimesoma Moro (Mzumbe) A’l levels; so track hii ingawa ni mpya huwa inanipeleka mbali… inanikumbusha villey (vilakala – Kilakala chicks), etc haha. Dar mpaka Moro nimefunga sana safari hii kipindi niko masomoni and afterwards… katika kusaka misukosuko tu tehe tehe. najua kakangu Edo ananipata nikisema hivi. Naona Dunda na Matty umewakuna pia.. ila nauliza ndugu yangu Blackmannen uko wapi?
  Shemeji yangu Mthangi aithee.. natumaini ushapona mwathu!! Thi yu thuun!! Majita game za Abood vs Hood tunazipenda sote… ila ukifikiria san ndio wanatuua wenyewe hawa (knock on wood). Tunawashangilia siku zote, ila ikitokea ajali wa kwanza kulaumu sie wananchi. Azawaiz.. tupo pamoja!!

 15. Yassin Says:

  Pamoja chege naona dude limekwenda shule….

 16. Bob Sambeke Says:

  E Bwana Songi Ni tamu Kiaina? Big Up Chege Umelisimamisha Sana Ili Song Au co Keep op!

  Bob Sambeke,Jr
  Moshi

 17. matty Says:

  Pole again Jeff, how are u doing???hope ur going well nawaza ijumaa tu mimi na hv ndo kesho sasa sijui itakuwaje??
  Get well soon!

 18. brother hugo Says:

  pole sana kaka, Munhua atakusaidia utapona

 19. brother hugo Says:

  pole sana kaka, Mungu atakusaidia utapona !!!!!

 20. BLACKMANNEN Says:

  Ahsante kwa upendo wako mkubwa kwetu, japo hujisikii vyema kiafya, lakini umejikongoja na kuja hapa kutuletea vitu kama hivi (TMK) ili tu tusibaki watupu.

  Sisi sote wenye mioyo ya kugusika upesi, tunakuombea kwa Mwenyezi Mungu Akupe Ahueni ya haraka ili tuendelee kukutana katika uwanja wetu huu wa BC tuupendao!

  TMK nawafagilia kwa saaana.

  Black=Blackmannen

 21. chichemi Says:

  kaka jeff hata kawinta bado ushaanza kuumwa? au vimbunga Gustav na Ike vimefika huko? Kina Temba na Nature wananikumbusha enzi za east coast na west coast, west walikuwa wakali wa beats na east wakali wa mistari!!


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s