BONGO CELEBRITY

All You Wanted To Know But Didn’t Know How and Where

USHAURI WA BABU KUHUSU TALAKA! September, 22, 2008

Filed under: Uncategorized — bongocelebrity @ 10:22 PM

Raha ya BC ni pamoja na kuburudika na pia kuelimika.Kuna mtu katutumia hiki kipande cha “ushauri wa babu” kuhusu talaka na akatusihi tukiweke hapa ili nawe msomaji upate kumsikia babu.Ni kuhusu talaka.Tunaomba kuwakilisha.Halafu hakuna kucheka!Asante.

Advertisements
 

7 Responses to “USHAURI WA BABU KUHUSU TALAKA!”

 1. Renee Says:

  Hahahahaa! Babu hata hafai huyu, mafundisho yake yatavunja ndoa za watu!!

  Good night everyone (it’s 1am here in America). Habari ya asubuhi watanzania wenzangu!

 2. Dunda Galden Says:

  Kali maaan tunavyobuluzwa(baadhi) maana unavaa flan shati na koti juu lakini hovyo tuu

 3. hombiz Says:

  Huyu babu wa taraban au wapi?

 4. Mswahilina Says:

  Hahahahaaaa umekataza tusicheke lakini nimeshindwa kujizuia.
  Babu anasema kweli tena ukweli mtupu.

 5. Matty Says:

  hahahahahahaha nilikuwa sijasikiliza hahahahahahahahahaha ngoja nicheke kwanza maaana tumezuiwa kucheka lakini mimi ndo siwezi kujizuia hahahahahahahahahaha.
  Babu kiboko aisee!

 6. Habasoda Says:

  kwa kweli huyu jamaa amefanikiwa kwa kiasi kikubwa kumuigiza mwarabu, nampa hongera kwa kweli habahatishi. hata wasia ni mzuri tu.

 7. binti-mzuri Says:

  hahah @ hombiz


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s