BONGO CELEBRITY

All You Wanted To Know But Didn’t Know How and Where

ALLY REHMTULLAH’S LONDON FASHION WEEK LAUNCH September, 23, 2008

Filed under: Fashion Designer,Photography/Picha,Sanaa/Maonyesho,Watanzania Kimataifa — bongocelebrity @ 9:57 PM

It is every designers dream to be part of the London Fashion Week, and this year Ally Rehmtullah, a 22 year old Tanzanian designer was given this honour. On the 19th of September Ally Rehmtullah launched his new African Couture at the Museum of London during the London Fashion Week. Ally was also part of fashion diversity whereby as an established designer he was an inspiration to the young and upcoming designers in London. Ally Rehmtullah’s couture was modelled by MAHOGANY MODELS from London.Here are some images.

BC would like to congratulate Ally Rehmtullah for his achievements. Kazi nzuri kaka!

Advertisements
 

22 Responses to “ALLY REHMTULLAH’S LONDON FASHION WEEK LAUNCH”

 1. Gervas Says:

  Mmh, Bi Kidude yuko wapi? mbona simuoni kwenye picha?

 2. sellanda Says:

  mi kilichonichanganya ni huo mtindo wa nguo hiyo nyeupe ni nini?embu aliyeelewa anisaidie jamani

 3. sellanda Says:

  na huyo mzungu mi kanipa kizungu zungu sijamuelewa hata kidogo ni mwamvuli amevaa au? alafu inaonekana amekula age kishenzi na hizo ngoko kama za kishumundu

 4. halima Says:

  duhhh wajameni mwe huu ubunifu tuangalie tusije tukavaa maparachuti ohooo angalia sasa huyo mzungu alichovaa duuuh halafu ukija huku kwenye usafiri mmmh kigimbiz kimenichangaya.

 5. Mswahilina Says:

  Wanapandeza. Gervas unaona walivyopendeza?

 6. salma Says:

  nimependa rangi ya huyo dada aliefunga kilemba lakini vazi sijalielewa hapo kati utadhani matuta ya viazi

 7. halima Says:

  hapo ndio utajuwa waafrika wanamvuto check hapo huyo mzungu haeleweki kabisa hiyo mikono imekomaa utadhania miguu ya flamingo. mhhhhhhhhhhhhhhh

 8. Matty Says:

  He Amina umemuona bimkubwa Sinyorita na gauni lake la pink/???mhh Edwin Ndaki tutafika kweli???au ndo umodo hauna age?

 9. deo Says:

  yeah, The GIRLS are really hot

 10. kokoliko Says:

  Hongera Ndugu Ally Rehmtullah. That’s a great start! I hope everything will be under control! Go show the World what third world talents can do. Good Luck BoY!

 11. hombiz Says:

  See the sunrise, feel the power, reach the height and touch the future BOY!

 12. toti Says:

  duh hongera sana kaka, umewaonyesha wazungu kama sisi bongo pia tunaweza kufanya mavituz!

 13. Majita Says:

  unayeuliza huyo mwenye nguo nyeupe ni vipi.
  Ni kuwa:- njia nyepesi ya kubeba maembe wakati wa msimu wa maembe ni kufunga shati ulilovaa kwa mbele na yenyewe kuyadumbukiza mgongoni.
  Sasa huyu bwana mbunifu yeye ameona kwa vile dada zetu huwa hawavai mashati basi wao watakuwa wanadumbukiza humo kwenye hiyo aina ya nguo maembe yao wakati wa msimu.Naamini vazi hilo litakubalika sana kule Majita na maeneo mengine ambako kuna maembe.hahahahahahaha

 14. trii Says:

  mzungu zero.

 15. Gervas Says:

  Mswahilina…sio “wamepandeza”, bali wamependeza. kikwetu hilo neno uliloandika ni matusi, tuwe makini jamani tunapobofya kii bodi. Sasa mi naona aliyependeza labda huyo wa pili, sasa kama huyo mzungu hiyo nguo yake akipambana na upepo wa kule dodoma au shinyanga….kweli hiyo nguo yaweza geuka kuwa parachuti. labda hizo shanga ndo zimewapendeza.

 16. Pearl Says:

  kaka kwanza hongera sana.
  Gervas mbona bi kidude yupo hapo kwani we humuoni!!!!??? si ni huyo mdhungu hapo!!!????

  jamani ni vizuri ameenda kufanya shoo yake huko lakini pia huyo mdhungu hajapendezea jamani tuwage wa kweli,mi nilipomuona nilishukta.

 17. halima Says:

  Aisee majita umeua duh Kwikwikwikwi!!!!!!!!!!!!!

 18. binti-mzuri Says:

  hivyo viatu vya huyo dada wa kizungu,ni primark £10.

  nimependa nguo zao lakini..sijui nyie,ila mi naona ziko bomba tu! hata mkiangalia fashion shows za desiners A-class nao wanadesignigi ivo ivo..ndipo zinapoanzia huko,kabla ya kufika madukani mwenu ohoo…akivaa beyonce,kesho wote mtanunua.

  ally remtula congrats,mpaka kufikia in the very same stage were the likes of chanel,versace and dolce and gabbana do their stands,wahitaji hongera sana.so much for a tanzanian boy,with a dream

 19. Mswahilina Says:

  Aahaa, Gervas, umesema eti kwenu ni matusi; hivi ukitoka mjini morogoro, ukaenda hadi kiroka, ukaenda hadi mkuyuni, kutoka hapo mkuyuni utaelekea wapi? kuna wadada wazuri sana kama hao unaowaona hapo.

 20. Dunda Golden Says:

  Ukishangaa ya musa utayaona ya filauni.

 21. hapa nikimleta mkwe wangu bibi Nalitolela anafunika bovu ingawa she’s at least 82

 22. Matty Says:

  Nalitolela PS. Mhhhh umemaliza mjadala lol, huyo mkweo basi ni byute aisee naweza pata picha yake???


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s