BONGO CELEBRITY

All You Wanted To Know But Didn’t Know How and Where

SIKUKUU NJEMA September, 30, 2008

Filed under: Sikukuu — bongocelebrity @ 10:43 AM

Tunawatakieni nyote sikukuu njema.

Advertisements
 

6 Responses to “SIKUKUU NJEMA”

 1. hombiz Says:

  Sheikh Ubwabwa upo hapo!?

 2. Dunda Galden Says:

  NAWATAKIA SIKU KUU NJEMA NDUGU NA JAMAA NA MARAFIKI WA BLOG HII.BINTI_MZURI,MATTY.HOMBIZ.MAMA WA KICHAGA
  PANDU NA WENGI WENGINEO

 3. sisterTZ Says:

  Waislam wote Eid Mubarak huku Europe hamna cha Eid wala nini jana na leo ni siku ya kazi kama kawa poleni waislam..

 4. majita Says:

  Nimeshanunua ndizi yangu ya sh.50 kimyaaaa iko chimbo mfukoni mwangu mwa suruari.Navizia tu kwa shekhe Mbuzi mida ya pilau nikaue bendi.Matty sikualiki sikukuu hii,mimi mwenyewe navizia tu kwa watu.
  Otherwise sikukuu njema ndg zangu wenye sherehe woooote

 5. Mina El Faidhina Jeff.

  Nitakupa mkono wangu wa Idd in a few weeks time nikija mjini bwana, hehe

 6. Matty Says:

  SisterTz touch arogant hizo shosti, ngoja waamke!


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s