BONGO CELEBRITY

All You Wanted To Know But Didn’t Know How and Where

THT NA MAKAMUZI YAO KATIKA FIESTA October, 9, 2008

Filed under: Burudani,Muziki,Tanzania/Zanzibar,Watu na Matukio — bongocelebrity @ 9:09 AM

Pichani ni wasanii wa Nyumba ya Vipaji Tanzania maarufu kama THT au kwa kirefu Tanzania House of Talent wakiwa jukwaani kwenye tamasha la Fiesta Jirambe 2008 ndani ya uwanja wa Mkwakwani mjini Tanga mwishoni mwa wiki.Tamasha hilo la Fiesta ndio kwanza limeanza wikiendi iliyopita na linaendelea mwisho wa wiki hii huko A-Town au ukipenda Arusha.

Advertisements
 

6 Responses to “THT NA MAKAMUZI YAO KATIKA FIESTA”

 1. Matty Says:

  heeeeeeee hivi huko si ndo aliko vunja miguu yule mzee wa JAMILA ANALIA??
  BC PLS hujazungumzia hilo ila nimesoma somewhere kuwa mshikaji karuka gorofani na kavunjika miguu yote!
  Hz personal decision za mavazi mhhh tutafika kweli???naona kata knd kwa mbali!

 2. halima Says:

  Aiseeee!!!!!!!!!! huyo dada yangu hapo inamaana hiyo nguo ya juu size yake hakuna? na huo mkanda umekatika au?

 3. Gervas Says:

  Matty, wadau wanadai Chamilion alikuwa ameonja bangi za Arusha na si kingine, maanake ni noma tupu…ukiivuta unahisi kama you believe you can fly…anyway, pole chamilion. Hongera Tanzania House of Tarents (THT) sio tu kwa kuibua vipaji bali kwa kutoa ajira na kuneutralize hasira za EPA na Richmond maanake watu wameshasahau saizi wanakata viuno tu na Fiesta.

 4. Matty Says:

  he eeee Gervas umeua band mwanawane he blved then he flying hahahahahahahhaah!

 5. majukumu@gmail.com Says:

  So they think can they can DANCE!!!!

 6. hombiz Says:

  Hata Rome haikujengwa kwa siku moja! Mambo yatanyooka tu ktk sanaa ya BONGO!.
  Stay focused youngsterz!


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s