BONGO CELEBRITY

All You Wanted To Know But Didn’t Know How and Where

flaviana aendelea kutesa afrika ya kusini October, 23, 2008

Filed under: Sanaa/Maonyesho — bongocelebrity @ 8:11 AM

Mrembo wa Miss Universe Tanzania 2007, Flaviana Matata ambaye hivi sasa yuko nchini Afrika ya Kusini ameendelea kupanda chati baada ya kunyakua tangazo katika jarida la True Love.
Flaviana ambaye anaonekana amevaa mavazi mawili tofauti ukurasa wa 73, ameweza kupata mkataba huu.

Akieleza mkataba huu wa kutangaza nguo Flaviana alieleza,” Huu ni mkataba mmoja tu, na hivi punde natarajia tangazo langu la televisheni pia lianze kuonekana hapa South Africa na bara la Afrika”.
Flaviana hakuwa tayari kuzungumzia mkataba wake mwingine hadi itakapoonekana lakini alieleza wazi kuwa hivi sasa anaendelea kupata mialiko mingi ya kazi (casting).
Flaviana Matata aliwakilisha nchi yetu kwa mara ya kwanza katika mashindano ya Miss Universe nchini Mexico ambapo alifanikiwa kushika nafasi ya 6. Hivi sasa yuko nchini Afrika Kusini akifanya kazi ya uanamitindo.
BC inamtakia kila la kheri mlimbwende huyo kwa mafanikio hayo.

Advertisements
 

35 Responses to “flaviana aendelea kutesa afrika ya kusini”

 1. Matty Says:

  go girl, hongera kwa hapo ulipofika kamwe usirudi chini, ila sasa nina kaswali kamoja ndo picha au kamkorogo???

 2. kahindi Says:

  jamani flaviana wetu kakonda sana,angalieni huo mkono na hizo soapdish…ndio umodo huo?mimi hapana sijapenda kabisa…..Matyy we unamuonaje eti?

 3. binti-mzuri Says:

  nice!shes pretty

 4. Mickey John Amos - Denmark Says:

  Matty & Kahindi-catch up with modern-time

  Our dazling Flaviana is stil the same “super natural Black beuty” nothing like “mkorogo” as you might think.

  In our morden world of international markert for selling up-to-date fashions which Flaviana is doing extremly well, a technology program of “photo-shop” is being used to ujust few things in her looks…

  Otherwise she is still our little super natural “Babe” of all time….LETS BE PROUD OF HER !!

  mickey@mail-online.dk
  Copenhagen

 5. Hombiz Says:

  Kahindi ulichoongea kina maana sana. Afya za ma-model ni muhimu sana kuzingatiwa. Wasichana wengi wamekuwa wakijinyima kula chakula bora na kurutubisha afya zao, kwa sababu ya kutaka kuwa kivutio na kupata mikataba minono toka kwa hawa wabunifu wa mavazi. Swala hili limepelekea baadhi ya ma-model kupoteza maisha kutokana na tatizo la kutokula chakula bora kama inavyostahili ili miili yao iwe na afya nzuri. Mmoja wa models aliyepoteza maisha kutokana na tatizo hili ni yule anayetokea Brazil (marehemu Ana Carolina Reston) ambaye mauti yalipomkuta, alikuwa ana uzito wa kilo 50 tu. Vile vile Model Luisel Ramos wa Uruguay naye alifaliki kwa tatizo la heart failure akiwa kwenye onyesho la mitindo ya mavazi. Tukio hili la kusikitisha lilipelekea serikali ya Madrid kupiga marufuku kufanya maonyesho ya mavazi kwa kuwashilikisha ma-model wenye uzito wa chini sana wa miili yao(underweight models). Mimi nilifurahi sana Fashion Designer mkubwa duniani (Giorgio Armani) alipojitokeza na kuwataka ma-designer wengi wenye tabia ya kutumia ma-model waliokonda kupita kiasi. Lakini bado naona ushauri huu chanya, bado haufanyiwi kazi vya kutosha na wabunifu wote wa mavazi kote duniani. Natumaini watalifanyia kazi swala hili ili kunusuru afya za mabinti hawa warembo na wazuri. Itapendeza sana kama wabunifu wa mitindo ya mavazi watathamini uzuri na urembo wa hawa mabinti bila kusahau kuzingatia na kuzipa kipau mbele afya zao.
  Kwa upande wako Flaviana Matata, mimi nakupongeza kwa moyo mmoja. Ila kumbuka kuijali afya yako kwanza kabla ya mambo mengine yoooooooote. Bila kuwa na afya bora, hata utendaji wa majukumu yako muhimu utayumba na pengine kuharibu mikakati yako ktk maisha. Good luck Flaviana! Stay up sister!

 6. mwandiga Says:

  Angalia usitafune sana kama odemba kurudi figure issue.
  kipara kimekutoa! ubunifu huo.
  Matty mi nadhani kamkorogo kidogo kapo au unasemaje!

 7. BLACKMANNEN Says:

  Hongera sana dadaangu Flaviana kwa mafanikio unayoyapata kila sehemu unapokuwa. Rangi yako nyeusi ndiyo unayotakiwa ujivunie. Ngozi ya mtu, yenye rangi nyeusi inakubaliana na rangi nyingi sana za nguo, pia ukiongezea na mvuto wa sura kwa mlimbwende. Flaviana, wewe umo sana katika uzuri wa sura.

  Flaviana, endelea kuwathibitishia wote wenye wivu wa rangi nyeusi kuwa, rangi ya “shetani” sio nyeusi, kama wanavyosema. Pia, sio kila kitu kibaya hapa duniani kiiitwe cheusi (Blackmarket, Blackmail, Blackbusiness, Blackjob etc).

  Tunajua kuwa, watu hao ili kuupata “mkorogo” mweusi inawagharimu fedha nyingi sana na hutumia wakati mwingi wa kujianika juani kama mijusi, ili kupata mabadiliko ya rangi ya miili yao.

  Flaviana, najua dada zetu wa BC, hawatakosa la kusema juu ya umbile lako, na hii inaonyesha kuwa wanakuangalia, wanakuchambua na kukuchokonoa pande zote, kwa vile wanakupenda sana, na wanakutamani, ila si rahisi kukubali na kutamka wazi hisia zao, kama sisi wanaume tusiosubirisha mambo.

  Nakutakia kila la kheri dada Flaviana katika shughuli zako hizo, na uendelee hadi uwafikie akina Tyra na Naomi na wengine na uwapite.

  It’s Great To Be Black=Blackmannen

 8. SaLaMa Says:

  hongera sana flaviana matata kwa ulipofikia subiri tuone watoa harufu midomoni mwao maana mmh mimi langu jicho.

 9. solange Says:

  ahhh matty na kie kaswali kangu kalikuwa hako hako otherwise hongera sana mamii, nakupendaga tu jinsi ulivyo, kip it up na mungu akubariki.

 10. sisterTZ Says:

  Matty mimi sidhani kama ni mkorogo it is golden powder upo ndugu yangu? Ktk international arena wanapenda sana wasichana weusi (natural black) zaidi na sio weupe..this is a fact

  Kahindi unajua ukiingia ktk fani ya mitindo lazima uzito wa mwili wako ucontrol so kama hautaweza kucontrol weight yako basi mkataba ndio unaishia hapo (kama kwa marium Odemba)…upo hapo? Kazi ya modelling sio rahisi kama watu wengi wanavyofikiria ni kazi moja ambayo mtu inabidi uwe na displine ya kula, kufanya mazoezi ect vitu ambavyo huku bongo watu wengi bado hawataki kuelewa..unene hauna nafasi ktk internatonal modeling ndugu yangu watu wengi wanalalamika lakini ndio hivyo unene hauna nafasi…

  Flaviana you go mdogo wetu wewe ni mzuri na mimi binafsi naona utafika mbali sana . All the best na huo mkataba mpya..mungu atakusaidia ila angalia sana TERMS AND CONDITION ZA HIYO MIKATABA because ukifuvunja TERM moja mdogo wangu you are out of that MKATABA so be ware..

 11. chapombe Says:

  wanamitindo wote ndio wanatakiwa wawe vimbaumbau.hujui kwamba wao wanakazwa kula kabisa,wanatakiwa wanywe juice na kuvuta sigara tu,wakizidiwa na njaa watafune bigG.we pita hata madukani,uangalie zile sanamu zinazovishwa nguo kama utaona sanamu tipwatipwa

 12. bdo Says:

  good work!kweli picha tumeiona gazeti, je hio picha ndio tayari?please hio ni source moja tu – ya flaviana mwenyewe, naogopa tusije ambiwa alikuwa anauza matikiti

 13. Bob Sambeke Says:

  E bwana Kwanza Nampa Big Up kwa step aliyofika,it merits a prize! Pili co yeye wa kwanza kupata mafanikio kama hayo kwahyo aclewe na cfa za kijinga.Tatu aangalie wenzake waliofika level kama za kwake wanafanya nini? afate mazuri ambayo wenzake wanayafanya na acje akapotea kama wenzake waliopita!
  Nne Aache Tamaa kwenye majiji ya watu kama hayo ,kwani akiendekeza tamaa za mademu wa kibongo atahumia na kuharibu career yake
  Tano,Namtakia mafanikio mema katika safari yake!

 14. halima Says:

  Big up flaviana

 15. kahindi Says:

  mickey john amos hapo no 4….sawa,lakini mimi sina la zaidi..nakuomba usome post ya Hombiz no 5…kwangu imniwakilishia hisia zangu…aksante Hombiz..

 16. Matty Says:

  Mickey John Amos, + SisterTz nimewasikia!!hata mimi sijasema kama anapaka mkorogo ila nilikuwa na doubt na kwa kuwa wataalamu mshaniambia golden powder, na photo-shop, aaaaahh its ok!

  Suala la soap dish Kahindi ndo linatakiwa kwenye umodo ila sasa zisizidi sana maana du inakuwa kama Victoria Beckam unaweza peperushwa na upepo mrembo!!!!!!!!

  BC sikuhizi vipi wknd unatubania sana sioni burudani vipi????

 17. Mickey John Amos-Denmark Says:

  Kahindi,

  Hombiz- NO 5, has good points no doubt about it,
  but at the International Market, one sells its products
  where there is demand of goods.
  Flaviana forced to loose weight to meet the demands
  of selling products for mostly young who control their
  weights…she is catching up with time & flying so high
  above all only the stars is the limit for her.

  …again lets be proud of her she is carrying our flag, isn`t she ?.

  mickey@mail-online.dk
  copenhagen

 18. binti-mzuri Says:

  kahindi & hombiz .. its called anorexic,ni ugonjwa mbaya sana!

 19. SISI Says:

  Jamani nyie wote ambao mnaona ma- model ni wembamba hii ni kazi kama kazi nyingine na ina masharti yake..sasa kama mtu hayawezi hayo masharti basi akafanye kazi nyingine..

  kama kuuza duka maana huko anaweza kunenepeana mpaka afe..

  Hombiz
  …hii traditional ya skinny models haitaisha kamwe huyo Giorgio Amani amejaribu but mentality at international level wala haiwezi kubadilika mimi binafsi ninavyoona…

  Sasa kwa kuwashauri akina dada na wadogo zetu huko TZ kama mnaona fani ya international modelling inawazuia kula ugali, chips mayai, chips kuku na kitimoto basi jiungeni na fani nyingine kama UNESI hivi ect ambako huko mnaruhusiwa kunenepena mpaka mnashindwa kutembea sawa??…

  Otherwise Flaviana mdogo wetu nakutakia kila la kheli na usiwasikilize watu hao wanaotaka unenepe ili iweji? Upoteze mkataba wako kama Miriam Odemba au? So keep figure mdogo wangu eat healthy food fanya mazoezi kidogo ila usinenepe mdogo wangu, ukinenepa tu ndoto yako ya kuwa international model ndio mwisho wake…

 20. hombiz Says:

  One love-Kahindi!
  Stay blessed

 21. kahindi Says:

  HOMBIZ…PEACE AN LOVE..BINT MZURI UMENIUAAA….KWIKWI KWIKI…

 22. Mickey John Amos-Denmark Says:

  Kahindi & Hombis,

  Sisi # 19 is one of the best advice for our “new models generation” , our new models should consider what profession
  they are chosing out of different choises they have in life.

  Modeling looks “gramorous” but sometimes can be a “nightmare” for our young models, either one catch-up with
  time to meet the demands or choose something else for living. (as our analyst SISI # 19 fanalised in details)

  Flaviana our little “dazzling-babe” have achive it all and full-fill all the demands of International arena of modern fashions.

  SHE IS STANDING ON TOP OF THE WORLD, LETS BE PROUD OF HER.

  mickey@mail-online.dk
  Copenhagen

 23. binti-mzuri Says:

  guys hatutaki anenepe,but shes abusing her body if shes starving herself to meet demands!.. people wake up! nyie mnaosema you are modern,are the ones who arent moderns! juzi juzi models who were below 45kg of weight were banned from milan fashion week.. its a world wake up call for young women not to starve themselves.. huo ni ugonjwa,na nakwambia ni mbaya sana. unajiua kimya kimya!i dont condemn flaviana starvin herself(if thats what shes doin) sio vibaya kumantain mwili,but do it healthily,not excess weight loss. mbona tyra banks flaunts her curves and she was an international TOP MODEL sio hawa model vichwara! anakwambia mwenyewe she knows the modelling industry iyo ya kunywa juisi ya limao na sigara,thats not the way of life.

  anyways,hapa tunaoshwa vinywa tu,coz this is up to miss flaviana mwenyewe,ila HABARI NDIO HIYO,ukiwa kimbaumbau mkataba nao vile vile unaeza kuuloose,coz top designers dont pick anorexic(under weight) models anymore! kwahiyo kula kula ugali kidogo!

 24. binti-mzuri Says:

  weh mickey,hata kama kumsupport flaviana sasa na tuachage uongo.. what world is she standing on top of? shes not a top model in south africa itself let alone africa.. tumuombee Mungu a-pave way yake,ili apate maendeleo,ila hizo habari zingine sasa zinanipa vijimaswali vya how come!

 25. gisela Says:

  huyu binti mbona katoka kurasa za mwisho?? sio page 3 model nini?? kutoka page za mwisho ni ishara mbaya! una mwendo mrefu bibie!

  nyinyi wengine,uembamba ndio unatakiwa kwenye u missi,nyie hamumuona nasrin mrembo wa mwaka huu.wapi mmeona mrembo mnene? ndio maana sylvia bahame hakuenda hata top 100 miss world,saababu ya unene. mwacheni flaviana na u miss wake.you look beuaty

 26. halima Says:

  we gisela sikuelewi hapo unasifia au unaponda mbona hueleweki kama hali ya hewa ya arusha?
  mara oohhh sijui katoka page ya mwisho wewe ushawahi kutoka hata kwenye gazeti la udaku?

 27. Mickey John Amos-Denmark Says:

  # 24 (name disclosed)

  Please contact the former agent MS Maria Sarungi for
  more information, how many countries abroad, our
  dazzling babe Flaviana have been invited…..

  Standing on top of the world does not mean SITTING
  on top of the others….you can be there as well, if you
  play your part.

  Be Proud ….She is flying high,only sky is the
  limit for her !!

  mickey@mail-online.dk
  Copenhagen

 28. hombiz Says:

  I give you five Binti-Mzuri!. Yeyote ambaye hakuelewa vema tulichoongea mimi na kahindi, anaweza kusoma comment # 23 ya binti-mzuri. Ikiwa bado hata elewa baada ya kusoma comment hiyo, basi huyo nitamfananisha na bua ambalo halifai kwa kuni wala kujengea nyumba.

 29. binti-mzuri Says:

  hahahah@ halima! lool!

  mickey powa nimekupata.

 30. XXX Says:

  demu ni black beauty ila hapa wamemfanya atokee mweupe?wameniudhi!

 31. kahindi Says:

  xxx no 30…unakuja tena na topic nyingine wakati hiyo ya diet haijafungwa….haha haha hahaaaa

 32. Muickey John Amos-denmark Says:

  # 30 XXX (name disclosed)

  Pole Saana….

  We can understand you, nothing is beauty
  than being natural black….

  Dont “you” worrry, She is still “natural black beauty”
  but she has to work “professionaly” for her living.

  what you see is not “permanent breaching” its only “golden powder” and “photo-shop techno”.

  mickey@mail-online.dk
  Copenhagen

 33. binti-mzuri Says:

  wewe namba 32 (NAME DISCLOSED) comments yako ya mwisho ina utatanishi kidogo! when you said this:

  ‘We can understand you, nothing is beauty
  than being natural black….’

  what do you mean? kwamba ambao ni natural white sio wazuri au? kuna watu weupe kwa asili,na pia bado bomba tu!ni hayo tu!

 34. Mickey John Amos-Denmark Says:

  # 33(name disclosed)

  Dont confuse yourself read comment # 30 of XXX
  sounds unhappy, for the transformation of
  our “dazzling babe” which is not breaching apart
  from “golden powder & photo shop”.

  My comments of # 32 is simply to comfort # 30 of XXX
  rather than how you read my lines and misunderstood !!

  Be proud of FLAVIANA, she need your support,for her to
  stand-still on top of world.

  mickey@mail-online.dk
  Copenhagen

 35. binti-mzuri Says:

  okay hamna noma mickey,nimekupata!


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s