BONGO CELEBRITY

All You Wanted To Know But Didn’t Know How and Where

Kat Deluna aahidi kamuzi la nguvu Fiesta usiku wa leo November, 8, 2008

Filed under: Burudani — bongocelebrity @ 9:02 AM

k

Kate Deluna akiwasili viwanja vya lidaz leo k2

Mwanamuziki kutoka nchini Marekani Kate Deluna pichani akizungumza na waandishi wa habari leo asubuhi kwenye viwanja vya Lidaz Club kinondoni jijini Dar juu ya onesho lake atakalofanya usiku wa leo kwenye tamasha la fiesta jirambe 2008,na shoto ni Mratibu mkuu wa tamasha la Fiesta Ruge Mutahaba.Kate Deluna ameahidi makamuzi ya nguvu kwenye tamasha hilo ambalo hufanyika mara moja kwa mwaka.Endapo hujawahi kuona vitu vya Kat Deluna mcheki hapo chini katika wimbo Run The Show akiwa amemshirikisha mkali na mkongwe Busta Rhymes.

Advertisements
 

14 Responses to “Kat Deluna aahidi kamuzi la nguvu Fiesta usiku wa leo”

 1. Matty Says:

  mhhh Ruge ushaoa????????naona unaangalia pembeni wakati feelings zipo kwa Kate de Luna!
  Tutafika!

 2. binti-mzuri Says:

  hilo chanel bag,and YSL shoes.. jichunge chunge Kat de luna,bongo sio new york..ukilisahau tu,umeliwa.

  afu ruge bwana,mtoto tayari ana mic,ila na yeye kaamua kumuwekea mic.. ivi ruge kaoa???LOOOOOL…

  anyway,nendeni mkajirambe iyo fiesta,sie tutaona tu mapicha hapa.

 3. binti-mzuri Says:

  ila sio siri,mtoto wa watu kapendeza..kavaa simple but classy! mwah to you!

 4. hombiz Says:

  tembea ujionee na kuelimika pia kuhusu hii dunia ambayo kwa sasa ni kama kijiji!

 5. BLACKMANNEN Says:

  Mie naona uwanja huu ni wa akina Binti-Mzuri na Matty, nakaa pembeni niking’aa macho. Kidawa sina mengi, kwaherini!!!!

  Black=Blackmannen

 6. Matty Says:

  Blackmannen kakangu bwana, kidawa tena??hahhha

  Binti-mzuri shosti halafu nimependa nyusi za Kate de Luna zilivyonyolewa??mimi nimependa!!

 7. Gervas Says:

  Wewe Binti mzuri, kwani umesha tusahau sisi wale watu wa kule nyumbani migombani….ini fuakti hebu muulize huyo Matty, siye ni watu wa ma-lovingi bwana and we know how to care! ndo maana bro ameshika maiki mwenyewe. Afu kwani hao mateja hawajipendi? huyo mniger pembeni si unamuona alivyo nyoko?

 8. Matty Says:

  Gervas Gervas unanitafuta maneno mie dada yako eeeh?? haya bwana ila ukweli umeuongea, sie bwana tukipendaga hahahahahaha tunaweza uza tulichonacho!
  Ila sasa utani mbaya Binti-mzuri unamuonaje Ruge??nae no pimpoz kama AY hahhahahaha jamani am sorry wadau akija MTU hapa walai nina kibano najua lazima atanichambua tu!

 9. binti-mzuri Says:

  kaaz kweli kweli blakmanen.lol.

  matty mwaya nimeziona

  gervas nimekupata … mi nimeona kifua tu hapa NYPD .. nkasema balaa …

 10. binti-mzuri Says:

  Matty we msubirie ‘mtu’ tu hapa…lakin maybe leo atakusamehe coz na yeye macho yote kwidi kwa kat de luna hapo

 11. Matty Says:

  hhahahahahaha Binti-mzuri nasubiri mpasho toka kwa MTU.

 12. XXX Says:

  kuna watu humu huwa mnalipwa kucomment nini?yani hata yasiyocommentika nyie mpo tu duh!

 13. Matty Says:

  XXX relax sweartheart,mtandao free raha jipe mwenyewe!

 14. binti-mzuri Says:

  xxx dia, utajiua kwa stress wewe!loh! naomba u chill kwa dakika 2 uvute pumzi kwanza,maana nashangaa hasira za nini..wataka kutuua buree!… kumbe picha zimewekwa kufanya nini,si kucomment.. iwe pumba,pointi, tutacomment tu… na tukibugi stepu,tutashushuliwa..ndo kama ivi mamaa/babaa


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s