BONGO CELEBRITY

All You Wanted To Know But Didn’t Know How and Where

fiesta dar ilikuwa funga kazi November, 10, 2008

Filed under: Burudani — bongocelebrity @ 8:11 AM

bc21 Acadeimg_8562bccPichani juu kabisa ni kundi la bendi ya Fm Academia a.k.a Wazee wa Ngwasuma wakikamua viliyo jukwaani,picha ya pili ni baadhi ya washabiki wakilifuatilia kwa makini onesho la mwanamuziki kutoka nchini Marekani,Kat Deluna akiwakuna wakazi wa jiji la Dar waliomua kujitokeza kwa wingi kwenye tamasha la fiesta jirambe 2008,lililofanyika mwishoni mwa wiki ndani ya viwanja vya lidaz club,kinondoni jijini Dar.Mwanamuziki huyo alifanikiwa kuzikonga nyoyo za washibiki na wapenzi waliofika viwanjani hapo kwa namna ya kipekee kabisa.Kwa mapicha zaidi ya tukio hilo ingia michuzijr.blogspot.com

Advertisements
 

14 Responses to “fiesta dar ilikuwa funga kazi”

 1. binti-mzuri Says:

  dada ‘mwanahamisi aka mwajuma ‘pale juu,sketi imekufunuka mwaaaa

  lool kaaz kweli kweli!

 2. Matty Says:

  mhh sawa dada kamua na hizo net za mbu mbu sijui zilikuwa na ngao kabisa maana hapo lidas majan mengi bora ulijihami na anofeles+kulex!

 3. hombiz Says:

  Duuh! Fm Academia a.k.a Wazee wa Ngwasuma hapo juu hilo ni zoezi tosha kabisa. They do not need to hit the JIM afterwards. That is enough work out right there!

 4. Mchunguzi Says:

  Hiyo picha hapo juu hawa watu si walishakatazwa na BASATA kuvaa hizo nguo za robo uchi jamani?

  Hivi hiki kiburi hawa huwa wanakitoa wapi?

  Au ndo kuibipu serikali?

  Mbona serikali ya JK watu hawaigopi wanaichezea sana jamani!?!

 5. binti-mzuri Says:

  Mchunguzi kiburi kinakuja pale serikali yenyewe inavotubipu ( hawafanyi wanayoahidi,kazi kuiba pesa tu) … mwaya FM academia,nyie wabipuni tu..kwani nini… hamna wa kumuogopa kwenye hii dunia ya adam na eva zaidi ya Mungu Baba..

 6. hombiz Says:

  Binti-mzuri(comment #5), together we should stand-hadi kieleweke!

 7. peter kitenyi Says:

  jamani madada zetu waliachia ila poa tu! ilimradi burudani we want more!!!!!!!

 8. any Says:

  huyu kate ni nani? ndio nimemsikia alipokuja tz, huku US sijamsikia, may be ni uzee wangu nashindwa kukeep up na wakati!
  mnaomjua tuelezeni ni nani?

 9. ..... Says:

  hhuyo dada wa huko juu,kachora tatuu kwenye paja? dah aise,dunia inaisha

 10. BLACKMANNEN Says:

  Binti-Mzuri, unamwagiwa misifa lukuki kwa komenti yako nr.5, iliyowakuna wakware wa siasa za Tanzania (Tawi la Chadema – Majuu). Ila angalia misifa hiyo isikulemee.

  Black=Blackmannen

 11. Gervas Says:

  Mchunguzi…..mbona mimi siionni hiyo nusu uchi inayosemwa? si naona ndani wadada wamenyuka pajama? au ni shupi hiyo? kama wacheza shoo wote wataamlishwa kuvaa Maxi ( maxi ni gauni reeefu maarufu miaka ya 70’s) sijui kama kutakuwa na kiingilio kwenye majukwaa.

 12. binti-mzuri Says:

  mmh kaka black umeanzaa..hahaha mi simoo

 13. binti-mzuri Says:

  kaka gervas,hakuwezi kua na kiingilio watu wakivaa maxi aka mabazee.. mi naona wawaache tu,sio kwamba wanavaa vibaya ki vile.. kwani watoto nao wanaenda fiesta?hawaruhusiwi,labda kwa kutoroka.endeleza libeneke!msiwajali wanok nok fm academia

 14. chapombe Says:

  any(hapo namba 8),unakaa us ya wapi,inawezekana unazeeka


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s