BONGO CELEBRITY

All You Wanted To Know But Didn’t Know How and Where

WELL DONE MIRIAM ODEMBA November, 10, 2008

Filed under: Uncategorized — bongocelebrity @ 3:20 PM

odemba1bc

A smile that speaks victory

odemba7

Miriam Odemba(kulia) akiwa na mshindi wa kwanza wa Miss Earth 2008,Karla Paula Henry kutoka Phillipines.

odemba8

Top Four Miss Earth 2008.A cute lady on the right is Miriam Odemba(1st runner up)

odemba9

Tabasamu.

odemba2

Swali lilikuwa;ukipata nafasi ya kukutana na Rais mteule wa Marekani Barack Obama ungempa ujumbe gani kuhusiana na mazingira?

odemba6

Matokeo…she came second.You made us proud,once again!

Advertisements
 

39 Responses to “WELL DONE MIRIAM ODEMBA”

 1. binti-mzuri Says:

  jamanie mphilipino embu lia kimissi duuuh! hahah!

  ila miriam kawafunika wote,am amazed she wasnt the winner… yani ka shine kishenziii!… am proud,miriam ur too beautiful,na make up designa wake alikua makini pia..hajamkobeka kobeka,she looks soo pretty! mmh! kaaz kweli kweli..ngoja tuone projo za wanaume umu

 2. binti-mzuri Says:

  sasa jeff alijibuje jamani!

 3. ThinkBig Says:

  We appreciate tht….

  lots of lov frm Tz

 4. hombiz Says:

  haka kabinti kako sawa mazee!
  mimi naona wange flip-flop matokeo!
  Anyways, i give you 5 Odemba,-uko momba!
  Stay strait!

 5. hombiz Says:

  i mean, “uko BOMBA kichizi!

 6. jj Says:

  jamani sasa alijibuje?? Dada yetu ni mrembo ila kizungu,akazane zaidi na nahisi hicho pia nimemfanya asipate nafasi ya kwanza.Maana nimtazama mahojiano yake kwenye east africa youtube mmh lugha bado inamtatiza kiaina jamani.Apart from that big up girl,and keep it up.

 7. hilly Says:

  Well done miss odemba.

 8. BLACKMANNEN Says:

  Jamani nisaidieni kunipigia debe kwa Miriam, mimi nimeamua kumchukua jumla, tukaanze kuishi maisha mapya. Nina hakika Binti-Mzuri, Matty, Mama wa Kichagga watafurhi sana kupata wifi Bomba (Miriam Odemba), pia Majita atafurahi kupata shem la nguvu kama huyu, ila hatutamwonyesha (Majita) tutakapokuwa tunaishi na huyo Maiwaifu wangu.

  Kuna wakina mama hapa BC, wanataka kugombea Urais, sisi tupo tutawapa kura zetu, sasa msiniangushe kwa Miriam. Mimi sitoi “Hongera” zangu za maneno matupu kwa Miriam, ninampa Hongera za Vitendo kwa kumchukua jumla, funga kazi!!!!!!!!

  The Man Of Actions….I Mean Black=Blackmannen

 9. anonymous Says:

  this lady is gorgeous!! nilitaka ashinde but first runner up not bad at all..u made us proud sugar

 10. any Says:

  Way to go Gal! hamna cha umri wala nini! wewe bado ni MISS wa NGUVU! period.

 11. Pearl Says:

  miriam uko juu sana,ila pia nadha huyu dada ana bahati zake za kuzaliwa kwasababu kila anachogusa anafanikiwa,she is so blessed.hongera once again.

 12. Aunt D Says:

  Jamani kama ma-miss wakilia wanakuwa hivyo lol hii kali
  kwanini mtu asiangaliwe uzuri wake mpk anapolia maana unaweza ukawa unasikitika badala ya watu kusikitika na wewe wakcheka…hv huyo dada mfilipino hakutegemea au ni pozi lake la kutoka?
  Yaani nikimuangalia sina mbavu kama kabanwa na viatu

 13. Spyda Says:

  We proud of u once again Miriam. Much love! Mungu ibariki Tanzania

 14. Matty Says:

  mucho belicimooooooooooooo!!!!!!

  Hebu cheki colour yako, mrembo unaconfidence si za kitoto, gauni lako shosti mimi hoi bin taaban,sisemi sana kwa kweli hapo alitakiwa kuwa mshindi kabisa sema tu huwa inatokea jamani, we are proud of you gal!!swali alijibuje kwani jamani???au kwa kiswahili???i wonder kama kulikuwa na wakalimani kule, ingekuwa vema tungeona alivyojibu,uje basi hata utushukuru hapa BC au hiki kiwanja hukijui shosti??

  Blackmannen hahahahahaha nimecheka leo mbavu sina mie,kwa hilo tu kakangu nakupongeza kwa ujasiri wa kumpenda mrembo, pili nakutakia kila la heri kama utampata na tatu mimi nitafurahi kupata wifi mrembo!!!
  Ila nina swali kwako kakangu, hivi ukimuweka ndani huyu wifi yetu mtarajiwa akitokea anaenda zile ziara za kuona watoto yatima,wazee na kushiriki baadhi ya mashindano mengine je utamruhusu???au ndo utakuwa ushampa lidandance kwenye masuala ya urembo???????

 15. Mswahilina Says:

  Mdogo wangu Gervas, umemuona Miriam Odemba?

 16. giogio Says:

  bravo!!!!!!!Miriam kwa kweli fame fades but beauty stays forever
  endevour Miriam am so proud of you
  Stay focus mama you can climb higher you have thairse metal st
  God bless you always

 17. halima Says:

  Aisee aunt D nimecheka mpaka machozi mhh hata mimi amenichanganya kweli duhhh

 18. first lady Says:

  “KIMASOMASO MWANANGU ODEMBA MSIMUONE”
  Girl, a very big up, angalau sasa umetutoa wakina dada wa kiTZ, and am very sure Obama aipata msg yako.
  Mungu azidi kukubariki na uendelee hivyo hivyo kama wajina lako amefariki na umaarufu wake (MIRIAM MAKEBA).
  I CAN’T WAIT TO C U IN A/TOWN.

 19. ROss Says:

  Kajitahidi sana kujibu swali , ingawa alikwama kwama kidogo na hakumaliza jibu vizuri , kama yule Miss Brasil nadhani ali kwama zaidi . cheki hapa chini angalia Mirium akijibu swali

 20. kekue Says:

  Hongera sn Odemba, Du huyu mfilipino kaniacha hoi na kilio chake yani nimecheka mpaka basi!!!!!!!!!!!!

 21. dorah Says:

  big up miriam, umefunika wote kusema ukweli!!!!! sijui swali umejibuje, but kwa appearance hakuna anaokupata hapo,uko juuuuuuuu!!!!!!

  tanzania oyeeeeeeeeeeeeee!!!!!!

  odemba kama obama jamani, mmetutoa kichiziiiiii!!!!!!!

 22. peter kitenyi Says:

  Hongera mjaruo wa mara bahati iliyoje kaka yko kaukwaa urais wa USA na wewe mshindi wa pili much respect!!!!!!!!!

 23. halima Says:

  Colour + tabasamu+ poz + kivazi = unastahili.
  hata huyo jamaa anaeuliza swali hapo naona kamate kanamdondoka .

 24. Dinah Says:

  Hongera mama! Afadhali umerudi kwenye fani yako. Niliwahi kusema na ninasema tena Huyu Binti anaongoza kwa uzuri na Urembo tangu Lundenga arudishe mashindano ya u-Miss Bongo yaani kama ni kuumbwa basi alipendelewa.

  Hivi anaruhusiwa kugombea MissTz tena? Kila mtu anastahili a second chance 🙂

 25. any Says:

  wee dorah, odemba kama Obama kisa majina yanaendana au? maana kama ni kiutendaji usitake kutuchekesha, ila kama ni kimajina sawa, maana miriam nadhani mkurya, so is obama, maana wajaluo wametokea tarime, haaaaa~

 26. ..... Says:

  duh kweli swali lilimuangusha.. nimeangalia kwenye you tube..alikwama..english not richabo,afu pia aliongea sana.. hakuenda straight to the point. faida za kusoma izi. mi nilidhanigi miriam ana slangi la nguvu

 27. binti-mzuri Says:

  blackmanen namba 8 – mi nakusupporti kwenda mbele.. she’ll make a lovely wifi!.. embu muopoe na mie nitambe 😉 lol – atanisaidia kunipigia debe kura za mamiss,nikigombea ule urais wetu au sio

 28. any Says:

  cut one trees plant three! thats a good one.

 29. any Says:

  miriam wachape bakora all haters mama! wewe ni mrembo na utabakia kuwa mrembo.
  alafu kwenye mahojiano naona kama ashapata na accent ya Kichina kabisa.

 30. papuu Says:

  perfect wife material looks-wise ila kwa tabia,nasikitika sitakupeleka kwetu rombo kwa bibi na babu

 31. Aunt D Says:

  Sasa halima hebu chek pozi lake na la odemba vitu viwili tofauti maana inaonekana wote walikuwa katika pozi la kufurahi ghafla mfilipino wa watu akaangua kilio kama vile kang’atwa na siafu bila mategemeo……………………….kule siafu hamna itakuwa viatu tu vimembana.
  Au alichanganya viatu kwa kupagawa na ushindi akavaa vya mwingine kufika mbele ya jukwaa ndio anakumbuka….
  Tumsubiri Odemba akija tumuulize kulikoni maana kichekesho

 32. Anna Says:

  Well hongera sana Odemba naMungu akutangulie kwa hakika uko juu na hutaki mchezo kwenye fani huwa nafarijika sana na tambua kwamba unabahati sana kwenye maswala ya urembo nakushauri kaza buti sana, mwanangu unapendeza vazi linakubali na mapambo yote yanaka mwake. Na wasingekupa ushindi tungeandamana kwakweli kwani ushind ilikua haki yako tena namba moja.

  Ila jamani huyo Mphilipin kaniacha hoi duh hilo domo hapo alikua analia au anatabasamu huyu dada nimzuri ila hajui pozi kila nikiangalia piha zake naona hayupo makini kwenye pozz.

 33. XXX Says:

  kitu kimetulia ehh?

 34. majita Says:

  blackmanen,
  Yaani ungechelewa tuu mimi kwapu na ningekutambulisha hapahapa uwanjani uone uchungu kutambulishwa mrembo kama huyo eti shemeji la nguvu.Hahahahhhaa yaani nimefurahi kweli ila kule majita mhh mhh mhh simalizii

 35. Gervas Says:

  Mswahilina…..nimemuona kwa kweli huyu “mototo ya odemba”, hongera kwa kumaliza kampeni za Tarime maana ulipotea room na wachafuzi wa Rugha wamejaa. Kwa kweli najaribu kutizama upande wa pili wa karata hii ya Odemba, asingefanya vizuri wadau wangesemaje humu? kama yule wa Big Brother- yatola sijui…mtanisaidia.

 36. Krissie Says:

  Mh,Hongera zake sana dada huyu.she is beautiful hilo hatuwezi pingana na Maulana but ukweli ni kwamba anahitaji coaching ktk kujieleza,nilikuwa nacheki youtube gonga hapa,http://uk.youtube.com/watch?v=3J1pq2LDYq0.Am quoting her we are cutting tree because we are using for our personal use?mh which one.??listen when she talk about her gown and then national costume kuhusu shanga na masai .Mh sisemi sana ila Maria sarungi ulihitaji kumpa shule dada huyo kujibu maswali na kujieleza.wangemwambia nguo waliomtengenezea ina maana gani.wangempa shule kuhusu mazingira.kwanini anapanda miti round about?what is a problem hadi wapande miti???naishia hapa HONGERA SANA MIRIAM.

 37. XXX Says:

  jamani wabongo kizungu tupo down ehh dah mpk naskia kulia!

 38. Gervas Says:

  XXX……unasikia kulia kwa sababu watu hawajui kuongea lugha ya wakoloni wazungu? mbona wao hawajui lugha yako? Mind you, we are Africans and English is just our THIRD language: Kimatumbi-kiswahili-english. Let us drop this “Ukoloni mind”

 39. krissie Says:

  Napenda kujua ,kwani ni lazima kuongea hii lugha ya kigeni kama hatuijui huko kwenye mashindao?Mbona yule mbrazil kama sijakosea laki alitoka south amerika alikwenda na mkalimani?But kwa miriam nadhani kizungu cha kuombea maji anakijua haikuwa shida kueleweka,shida ni content ya alichokuwa anakisema,Kama lugha si yako kumix past na present tense hamna mbaya bwana,au kukosea to pronounce pia haina noma kwasababu si yetu,Muhimu ni content of wherever u r saying,i will repeat hawa warembo wetu ni wazuri sana wote wanaopelekwa huko.why there is no coachwa kujibu maswali kumpa general knowledge ya wht is going on?Nadhani warembo tunao wengi ila inabidi wapate coaching ya kujieleza,ukiacha maswali ambayo unatupiwa kushtukiza,vitu vazi lako lina maana gani alitakiwa ajue jamani si kumuonea,au kuhusu nini anafanya cha mazingira tanzania alitakiwa atuambie kwa ufasaha.But Am happy for her she is stil shining though.biG up Miriam,Ni bora ukezungumza kichina basi watafsiri.


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s