BONGO CELEBRITY

All You Wanted To Know But Didn’t Know How and Where

FATUMA MWANANGU-MAGEREZA JAZZ BAND November, 22, 2008

Filed under: Burudani,Muziki,Weekend Special,Zilipendwa — bongocelebrity @ 9:18 AM
Tags:

fatumabcLeo sina maneno mengi.Ninachokuomba ni kuisikiliza burudani ya leo(hususani ujumbe wake) kisha uniambie je ushauri anaopewa Fatuma ni mzuri au mbaya? Burudani inatoka kwa Magereza Jazz Band.Wimbo unaitwa Fatuma Mwanangu.Weekend Njema.


Advertisements
 

7 Responses to “FATUMA MWANANGU-MAGEREZA JAZZ BAND”

 1. BLACKMANNEN Says:

  Najua wengi hawatamwelewa mwimbaji huyu mahiri wa siku zile. Ni “Billy Mbwana”, wa Magereza Jazz Band, sijui kama ndugu yangu Nalitolela alikuwa na umri gani nyakazi hizo. Lakini mwimbaji huyu ndiye aliyeimba wimbo wa “Njiwa Wangu”, uliotokea kupendwa na kila mtu mwaka 1972, nyakati hizo “Black” alikuwa akidunda kama kawa. Kwa leo sina mengi ya kubwabwaja hapa, kazi kwenu!.

  This Is The Great Man Black……..Blackmannen

 2. hombiz Says:

  Thanks BC kwa kibao muria kabisa toka kwao Magereza Jazz Band.
  Kwa mtazamo wangu mimi naona kumuoza fatuma inaweza isiwe solution!
  Fatuma kama ni “kicheche”, hata akiozwa hataacha tabia yake. Nionavyo mimi ni kwamba, akiolewa ataisaliti ndoa yake kwa kujirusha na “womanizers” kibao kama bado hayuko tayari kubadili tabia na mwenendo wake. Kama ataendelea, hiyo inaweza kupelekea ndoa kuvunjia mara baada ya mume kubaini mchezo anaochezewa na mkewe, hasa kama yeye (mume) ni muaminifu ktk ndoa yake. Hata hivyo, hii inategemea na aina ya mume na mapenzi yake kwa mkewe!
  Pia Fatuma asipoangalia, anaweza akaambukizwa magonjwa ya zinaa kama ukimwi, na mengine mengi. Hii itapelekea yeye kuwa mzigo kwa familia yake(ambayo pia inaweza kumnyanyapaa baada ya kuathilika)
  Ushauri wangu kwa wazazi wa fatuma ni kwamba, inafaa wahusishe wanandugu wenye busara na viongozi wa dini kumshauri Fatuma juu ya tabia yake mbovu. Yote hayo yakishindikana, basi ni kumueleza wazi Fatuma kuwa wemeshamkanya na kumshauri vya kutosha. Kama hataki kusikia, awe tayari kukabiliana na athali zitakazotokana na tabia yake mbovu yeye mwenyewe-bila kusumbua watu wengine!
  Ngoja ni summarize, kwani topic hii ni ndefu sana.
  NB: Fatuma sijui ana umri gani. Kama ni teenage girl, basi hapo ipo kazi. Si unajua tena hormones za baadhi ya damu changa!
  Wazazi eee kazi-ipo duuh!
  Napenda kusikia michango yenu wana BC Blog. What do you think ladies and gentlemen!?

 3. Matty Says:

  Kuolewa si solution ya kutulia, nadhani hata akiolewa anaweza kuendelea kubanjuka tu kama kawa!
  Hapo kama alivyosema Hombiz may be watu wa dini wamshauri na hasa akimuogopa Mungu mtoto wa kike atatulizana!

 4. Lalola Says:

  mhhhh, haya we!!!!

 5. chezasalama Says:

  we Matty we alosema watoto wa siku hizi wanamuogopa Mungu nani?
  jamani hawa watoto wa siku hizi ukitaka watulizane na habari ya ukicheche we FUNGA kamba ama mnyororo awe anakaa ndani mpaka apate akili ndo unaweza kumuachie aende akazurure mitaani lakini awe ashajua baya na zuri au mnasemaje watu wangu?

 6. halima Says:

  Cheza salama hata kama utafungia ndani na ukaweka walinzi kama wa obama bado hujafanya kitu kama kaamua kufanya kitu anachotaka atafanya tu.

 7. chapombe Says:

  weeeee! umuwekee walinzi?haohao ndio watamuanza


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s