BONGO CELEBRITY

All You Wanted To Know But Didn’t Know How and Where

MU-ANGOLA ASHINDA BIG BROTHER AFRICA November, 23, 2008

Filed under: Television,Watu na Matukio — bongocelebrity @ 7:04 PM
Tags: , ,

riccoangola

Shindano la tatu la Big Brother Africa limemalizika leo huko Afrika Kusini ambapo kijana kutoka Angola, Ricardo David Ferreira Venancio a.k.a Ricco (21) kama alivyojulikana ndani ya Big Brother House ndio mshindi wa shindano la mwaka huu.

Tofauti na mashindano mengine,shindano la mwaka huu lilibidi liamuliwe kwa mbinde ya kutafuta asilimia ya jumla ya kura zote zilizopigwa mwaka huu baada ya Ricco kufungana na binti kutoka Malawi, Hazel(25)

Hongera kwa Angola kwa kuibuka washindi.


Advertisements
 

29 Responses to “MU-ANGOLA ASHINDA BIG BROTHER AFRICA”

 1. BLACKMANNEN Says:

  Hongera sana shemeji yetu “Ricco”, salaamu zetu nyingi tutolee kwa kimwana wetu. Mambo ndiyo hayo, sio kubaniana, leo kwetu kesho kwenu, au siyo???????

  It’s Great To Be Black=Blackmannen

 2. mr degree Says:

  kashinda ama kashindwa it worth nothing to tanzania!

 3. Pearl Says:

  Angola hongereni sana,you finally made it.Zaidi sana hongera kwa Ricco maana ye ndo mwenye kitita cha pesa.

 4. Matty Says:

  Congraturations, this time sikuwa mfuatiliaji jamani wadau nasubiri kuyasikia ya waosha vinywa maana Richard na Latoya walinangwa weeee mpaka watu wakachoka!

 5. chapombe Says:

  jamani mugonile?mimi ni james atogile mwakisindile,vilevile nimeshinda bigbrother huku kwetu tukuyu,naomba na mimi mnipongeze

 6. chapombe Says:

  jamani,mughonilee!mimi ni james mwakasindile,na mimi nimeshinda bigbrother huku tukuyu naomba mnipongeze

 7. binti-mzuri Says:

  shemeji yetu tena??huyu ndio alikua anatoka na latoya..mmh..i can see why though. honger sana ricco,na pesa za chap chap! dont overspend sasa,clubbin kwa sana nini,shauri yako 😛

 8. Matty Says:

  hongera sana bro!mhh waosha vinywa jamani mpo?

 9. mr degree Says:

  nchi inapokosa nyota wa kujivunia katika muziki,na michezo mingine ndo kunapelekea wananchi kujivunia vitu visivyo na msingi kama huyo blackmannen na pearl.leo hii tunatoa pongezi kwa mtu kama huyo aliyekuwa anakula tuu na kulala na kweli tunamuoana shujaa wa kujivunia.cha ajabu wengine wanajivunia eti kwa kuwa kampenda demu wa kibongo. maajabu haya! nchi kama kenya ina nyota kibao wa soka na riadha ndo maana huwezi kukuta wakishadadia vitu kama hivyo sababu tayari wanao kina kiptanui na denis oriech. Ethiopia ndo usiseme wanao kina bekele wanaoitikisa dunia kwenye riadha,huko ukienda hawajui Rico wala kijiko because tayari wana nyota wa kujivunia.siwalaumu blackmannen na pearl sababu nyota wetu ndo kama hao kina Juma necha na TID! lawawama ziende kwa wizara ya michezo na utamaduni kwani kama itafanikiwa kukuza wasanii na michezo na tukapata wasanii wa kimataifa basi kina blackmannen na pearl watazinduka toka usingizini na kuachana na ushamba wa kusifia tuu bila kutafakari!

 10. Lalola Says:

  Aluuuu, kwa wifi wameshinda. Hongera Ricco, kweli Angola na Tanzania twapendana, coz hadi mwaiga style yetu ya BBA, coz BBA1 Mwisho Mwampamba alikua 1st runner up. BBA2 Richard alishinda na Tatiana kuwa 1st runner up na BBA3 Ricco kashinda. Tehe tehe tehe, style nzuri hiii mwanawane.

 11. hilly Says:

  MH!….!!!!

 12. hombiz Says:

  Hongela brother-kaka! Ila tu- jihadhali na vicheche, wapambe, na ndugu wa kuvuta na lenzi!
  Keep your head up dude!

 13. BLACKMANNEN Says:

  Wewe “mr degedege”, comment # 9, usirukie kuwavaa watu usiowafahamu. Mimi ni shati kubwa kwako, utaumia.

  Waulize kwanza wenzako wenye roho za “korosho” kama wewe, walijaribu kunivaa, hawana hamu na mimi tena. Na mshukuruni sana Jeff, maana ame-intasepti “makombora” yangu yasiwadhuru watu aina yako niliyowatupia.

  Kama una hamu ya kupata umaarufu kwa kupitia migongo ya majina “oversize” kwako, sema wazi, ili tukuelewe. Tutakusaidia. Maana umeandika comment # 2, ukaona haikukutosha, na haikuonekana na watu. Ukaamua kuandika comment # 9 ukiyatumia majina mazito ili uonekane comments zako.

  Achana na sisi, huna hadhi ya kuongea na sisi. Habari ndiyo hiyo!!!!!

  It’s Great To Be Black=Blackmannen

 14. binti-mzuri Says:

  LOL matty na wewe shosty naona umekaa mkao wa ready steady go kama mie,nasubiria waosha vinywa walete dataz za big brotha maana mi hata kuiangalia sikuiangalia..

  waosha vinywa plz tel us,was he worth the winnings?mwageni udaku nicheke cheke..

  afu MMMMMMMH comment moja hapo juu,not richabo,ugomvi.com.. msuto tusipoangalia.tuangalie tunapokwenda,kuna matuta jamani,mnajikwaa asubui asubui mnang’oa meno.haa

 15. mr degree Says:

  Ahh! na naandika ninachoona kinafaa wala siangalii jina la mtu mimi! nimeona upeo wenu wa kuchanganua mambo ni mdogo sana.halafu unajisifia jina kubwa jina kubwa gani! wee rusha kombora zako tuu mi ndo mr degree utaumia shauri yako!

 16. Pearl Says:

  # 9 for your info ni kwamba sina tabia ya kubishana na lunatic.
  matty waosha vinywa kwani wanakosekana basi!!!!

 17. Matty Says:

  Si ndo hapo sasa naona asubuhi kweupe tayari watu wanapiga mswaki hadharani mweeeeee!

  nicheke mie kwa raha zangu hahahaha, wapambe muwapi jamani naona jinamizi linataka kutanda hapa BC mchana kweupe lol!

  Pearl , Binti Mzuri letu jicho tu sie hapa, halima uwapi mwanangu uje utupe mistari?
  Any je na wewe kwa upande wako ni aje mama wa personal decision??? umemuona shemu lakini?

 18. linga Says:

  sikufuatilia jamani,ndio kwanza leo nasikia kashinda, haya tusubirie hizo udakus,halafu nyie digirii msigombane,only comments r needed,chaos.

 19. chapombe Says:

  jamani naombeni ongera zenu,huku tukuyu nimeshinda bigbrother pia

 20. hombiz Says:

  hongera chapombe! Kwenye sherehe yako usikose kuweka na ulanzi na chibuku kama utataka nihudhulie!

 21. Majita Says:

  Du pearl una vidongo mshikaji!!!!…kwi kwi kwi….

 22. BLACKMANNEN Says:

  Weweeeeeeeeeeee usinijazie “MAINZI” hapa weweeee……. kwenda zako na ubongo wako uliooza, kila sehemu watu wanakushambulia!!!!!!

  Black=Blackmannen

 23. halima Says:

  Matty naona hali ya hewa imeshachafuka hapa mmmmhhh ndio maana nimenyamaza kwanza hili huyu shetani mchafu apite.

  Pearl shost hilo “dege dege” likemeee maana ni pepo lishindwe hapa.

 24. Mummy Says:

  Hii mitandao na majina feki watu mwaweza gombana kumbe ni mke na mume heeee heeee nicheke miye!!!!!!

  Ricco Kashinda kihalali kabisa!!!!! Hazel na Riccco kushinda ilikuwa ni haki ya mmoja wao!!!

 25. BLACKMANNEN Says:

  Comment # 23 ni kwa ajili yako “degedege”, kufuatia comment zako # 9 na # 16, na sasa naenda kukuflash ………….ni!!!!!!!! Sina mengi, ni hayo tu kwa leo!

  Blackmannen

 26. chapombe Says:

  we hombiz kumbe ujawahi kufika huku tukuyu,unafikiri ni ulanzi tu na chubuku.iko pombe moja kali sana inatoka malawi inaitwa kadansana,sema hawa polisi watuzuiazuia tusiinywe,mi wananikera kwelikweli

 27. hombiz Says:

  Bado sijafika tukuyu. Ila nimefika Kyela na kuvuka mto hadi Kalonga. It was a wonderful experience. Pia tulilipuka hadi tukaanza kuimba kale kawimbo kasemako-undendela kijaboooo-te-ti-te!. Ikyo-ikyo kijabo-te-ti-te!
  Palikuwa hapatoshi kwi-kwi-kwiii!
  Anyway! lazima nijongee kwenye sherehe hapo tukuyu na kujiachia na “kadansana”.

 28. Mwanamke wa shoka (UK) Says:

  Please, can somebody help out? I dont realise the importance of big brother …todate….sioni….what are the lessons, anyway??


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s