BONGO CELEBRITY

All You Wanted To Know But Didn’t Know How and Where

KLIMAX December, 4, 2008

Filed under: Burudani,Muziki,Watu na Matukio — bongocelebrity @ 11:45 AM

bcc1

Advertisements
 

14 Responses to “KLIMAX”

 1. Hombiz Says:

  Haya twende…haya twende…Bongo tukatembee!
  Pamoja na kuwa wamekuja Bongo kibiashara, lakini hii inasaidia kuitangaza TZ kimataifa pia
  Nakumbuka mwaka jana nilimuona mcheza sinema maarufu (mmmh! jina lake limenitoka) akifanya mahojiano na Oprah ambapo ktk sehemu ya mahojiano yake Oprah alimuuliza alifanya nini ktk likizo yake!? Na yeye akajibu kuwa alitembelea Afrika na kuitaja Tanzania. Kwa mujibu wa mcheza sinema yule katika ziara hiyo alifurahi sana alipotembelea Kigoma na kujionea vivutio vya kitalii kama sokwe mtu. Pia alishangazwa sana kuona kuwa pamoja na wanakijiji wengi kuwa masikini sana, lakini walikuwa ni wenye furaha na walimpokea kwa ukarimu mkubwa. Zaidi ya hapo, alifurahi kuwa huru bila kusumbuliwa na papalazi kama inavyokuwa awapo Marekani.
  Hivyo basi, naamini kadri wasanii na celebrity mbali mbali wanavyokuja Tanzania, ndivyo na nchi yetu itazidi kutambulika zaidi kimataifa.
  Hongera sana Joseph Kusaga na uongozi wako mzima kufanikiwa kuleta wasanii hawa wa medani za kimataifa kujongea Bongo!
  Natumaini kutakuwa na burudani la kukata na mundu!
  Kula 5 bwana Kusaga!
  Mimi nakuteua kuwa waziri kivuli wa burudani na utamaduni!

 2. Majita Says:

  Shughuli itakuwa kwa Eva.Kudadadadadeki.Demu anafuloo utafikiri nini vile yani,du.Huyo msipanish Fat Joe nae si haba.Dar patakuwa hapatoshi.Na mimi ngoja nitafute tiketi ya treni niwahi kuona show yao walah.

 3. .......................... Says:

  ebwana dah kweli bongo tambarare lakini watu wanahela za kiingilio au ndo watoto wa TMK waje kutuppora kama kawaida yao tunaomba ulinzi jamani

 4. Mattylda Says:

  Safi sana, patatosha kweli hapo Gymkhana???anyway ngoja tusubiri picha sie!

 5. pound Says:

  why DAR everyday? and not to other part of the country like MWANZA, ARUSHA AND MBEYA so we can enjoy together?

 6. halima Says:

  Hapo kazi ipo wanawane mhhh maana kila mwanamuziki hapo ana vigezo kwa hiyo hapo no kulala mpaka kuchweheeeeeeeeeeeeeeeee

 7. BLACKMANNEN Says:

  Bongo tambarare, kila aina ya raha ipo, lakini kama wewe ni “Mchacho”, utaitukana hata matusi ya nguoni. Sio Dar pekee yake, Arusha, Mwanza, Iringa, Mbeya hadi KAHAMA, mambo “Mswano”.

  Black=Blackmannen

 8. BLACKMANNEN Says:

  Wewe mwanaBC, kama kweli wewe ni mtu mwadilifu, na unakemea mambo ya ajabu yanayotendwa na watendaji wakuu wa serikali ya Tanzania.

  Kwanini wewe hutaki kujikita katika kuboresha maisha ya nduguzo uliowaacha Tanzania? Nchi ambayo wewe unaiona ni balaa kwa walala hoi, kama hao nduguzo, uliowakuta wako katika hali ngumu uliporudi toka majuu?

  Jukumu la kuwasidia nduguzo ni lako wewe uliye na nafuu ya maisha huko majuu. Kwa maana hiyo, onyesha matendo yako kwa nduguzo, uwasaidie katika matatizo yao, ili hata kama utakuwa ukilalamika au kukashifu kitu, toa mfano wa kile ulichokifanya wewe.

  Serikali upande wake inajitahidi kujenga barabara na mashule na hata Zahanati kwa kadri inavyoweza. Kwa upande wa kuvutia Watalii, wewe pia unaweza pia kuisaidia serikali kama mimi, kwa kuitangaza vizuri Tanzania, badala ya kujikita katika kuikandia mabaya yote unayoyapata magazetini.

  Tanzania, kama unavyoliona tangazo haspo juu. Watu wanafaidi maisha yao katika hali zote, lakini kwa watu wengine ambao, hamko Tanzania, mtasema mengi kama mnavyopayuka hapo juu.

  Duhh! This Man Is Great……..I mean, Black=Blackmannen

 9. binti-mzuri Says:

  kweli bongo tambararae!

 10. hombiz Says:

  Wewe blackmannen huna akili kweli. Usidhani kila mtu anayefanya mambo mazuri kwa Tanzania anajitangaza kwenye vyombo vya habari. Watu wako serious na nchi yao kuliko wewe mfukunyuku unayejimwagia misifa kibao ya kujifanya unaijali sana Bongo. Huna lolote, kaa kushoto wenye sera bomba wapite!

 11. BLACKMANNEN Says:

  Hombiz, dawa yako ninaichemsha jikoni. Jitayarishe kuinywa. Nimeshakwambia mara 100 kuwa, mimi sijakutaja katika yale ninayoyazungumza katika kutoa maoni yangu hapa. Lakini kwa kuwa kila mara unajihisi kuwa ni wewe mwenye chuki na Tanzania. Na unaingia na matusi yako kwangu. Basi poa!!!!….I’ll Be Back…..!!!!!

  This Is Black=Blackmannen

 12. hombiz Says:

  Tulia wewe-Blackmannen! Una dawa gani kwangu!? Ya kalumanzila ua shubili!?
  Njoo na dawa mi-nikupe dose!
  Ukimwaga mboga mi-namwaga ugali-kudadeki!
  Ingia dimbani!

 13. halima Says:

  Isha kuwa soooo mhhhh naona hali ya hewa inaanza kuchafuka sasa hivi

 14. binti-mzuri Says:

  duh lol nimeipata sa hivi hii


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s