BONGO CELEBRITY

All You Wanted To Know But Didn’t Know How and Where

EID MUBARAK December, 7, 2008

Filed under: Sikukuu — bongocelebrity @ 7:13 PM

eid-mubarakbc

Kwa niaba ya timu nzima ya BC,napenda kuchukua fursa hii kuwatakieni nyote sikukuu njema ya Eid mahali popote pale mlipo.Amani na upendo vitawale leo,kesho na daima.Umoja wetu ndio nguvu na tegemeo letu.Mola awape uzima na afya njema milele na milele.

Jeff Msangi, December 2008


Advertisements
 

8 Responses to “EID MUBARAK”

 1. binti-mzuri Says:

  asante.same to you,and all bc members 😉

 2. BLACKMANNEN Says:

  Amen, Amen, Amen na wewe Jeff, pia na Team nzima ya BC, mimi pamoja na wanaBC wenzangu wanaotaka kuwatakia heri na BARAKA za Eid……..EID MUBARAKA!

  Mwenyezi Mungu awajazie Moyo wa Upendo kwenu na kwa kila mtu. Mwenyezi Mungu, awaongoze katika Matendo Mema. Amani na Umoja wetu Watanzania, iwe ndiyo kitambulisho chetu duniani. Mungu Atusaidie kuvidumisha vitu hivi, milele na milele – Amen!

  Blackmannen

 3. mwandiga Says:

  Eid mubarak matty na crew yote ya BC

 4. Lalola Says:

  EID Mubarak wadau wote Waislamu.

 5. hombiz Says:

  EID Mubarak wadau wote wa BC na wapenda amani duniani kote. Have a happy and safe holiday everybody.
  Sheikh ubwabwa upo yakheee!

 6. halima Says:

  Eid mubarak mashost & mabro wote Pearl, matty, bint mzuri, any, Lalola, Sellanda, sister tz, Mama wa kichaga, eve, hombiz, Blackmannen, Majita, Gervas, Dunda golden, Mr degree, bila kumsahau ROSS. karibuni pilau hahahahaha

 7. Mattylda Says:

  Asante sana BC,EID MUBARAK NA NYIE PIA!

  thanks Mwandiga rafiki yangu mbona umekuwa adimu?

  Asanteni wana BC wote kwa salamu za eid, except LALOLA mbona umetunyanyapaa wakristo????

 8. Lalola Says:

  Nakwambia, vidole vilipata matege wakati vinashika keyboard, tehe tehe tehe. Haya Mattylda nimesikia wito wako shostito.

  EID MUBARAK wana BC woteeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

  Lol


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s