BONGO CELEBRITY

All You Wanted To Know But Didn’t Know How and Where

FURAHA YA UHURU December, 14, 2008

Filed under: Historia,Serikali/Uongozi,Tanzania/Zanzibar — bongocelebrity @ 8:41 PM

jkmbc

Binadamu huwa na wakati wa kilio na pia wakati wa kucheka(furaha).Pichani ni Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania,Jakaya Mrisho Kikwete akifurahia jambo na Mkuu wa Majeshi wa Tanzania,Davis A.Mwamunyange wiki iliyopita wakati wa sherehe za maadhimisho ya miaka 47 ya Uhuru wa Tanganyika zilizofanyikia katika Uwanja wa Taifa jijini Dar-es-salaam.

Photo Credit/Yahya Charahani

Advertisements
 

10 Responses to “FURAHA YA UHURU”

 1. Ni kweli Mkuu. Kuna nyakati zote mbili za kilio na kicheko. Na pia ni lazima kila tukio (kucheka ama kulia) liendane na wakati. Nikimaanisha kuwa kama utacheka wakati wa kilio na kulia wakati wa kicheko basi utaonekana kituko. Lakini pia kuna wanaowacheka wenzao (nikimaanisha kuwa lazima hao wenzao watakuwa wakilia) na kuna wanaowalilia wenzao (kwa kuwa wao wanacheka na waliao wanatamani kuwa kama wao). Sijajua hapa ni kipi kiendeleacho maana nikiangalia habari toka vijijini naona vilio zaidi na kwa hali ya uchumi wa dunia, naona kuna vilio vingi vijavyo. Suala ni kuwa kwa kuwa ilikuwa ni siku ya UHURU kwa waTanganyika wote, Kuna lolote la kufurahia kuhusu Uhuru kwa waTanzania wote? Yaani kitakwimu kuna lolote la kufurahisha kwa jamii yetu? Na je! Maadhimisho hayo yalimwakilisha na ama kumnufaisha mTanzania aliye kijijini? Ni CHANGAMOTO YETU kuangalia mambo, kutafakari na kufanya mambo kwa manufaa ya jamii.
  Na huu ni Mtazamo wangu

 2. mrdegree2 Says:

  mmh!!

 3. hombiz Says:

  Generali Davis A.Mwamunyange ni mtu mzuri sana!. Hana makuu na mtu. Huwezi hata kuamini kama ni mkuu wa majeshi ya nchi ya Tanzania. Decent person!
  kula 5 General D.M!
  Stay blessed!

 4. Frateline Says:

  Jk simba mwenda pole ndiye mla nyama, JK zawadi ya Xmass na Uhuru tumeipata Mgonja Gray kaenda sero, ulisema wakati unachukua madaraka kucheka kwako sio kuwa wewe ni mtu mpole, kaza kamba JK uhuru oyeeeeeeeeeeeee

  Frateline

 5. BLACKMANNEN Says:

  Comment # 1 Mbona sijakuelewa unachotaka kutueleza hapa? Ina maana wewe ulitaka umwone Rais Kikwete na Mkuu wa Majeshi, wakiwa wamekunja nyuso kama watu waliokula “ndimu?”.

  Je, umemwona “Mzee Joji Pori”, baada ya kunyukwa “daluga” la uhakika usoni huku akiambiwa apokee “busu” la kuagwa, “Mbwa?”. Alitabasamu, baada ya tukio hilo la aina yake kumpata LIVE. Na yeye akasema kuwa hayo ni mambo madogo. Mimi kwa maoni yangu, nilidhani angeonyesha kusikitishwa na kitendo kama hicho.

  Sisi Watanzania, tuna asili ya matabasamu, hata kama tumepatwa na matatizo ya aina gani. Wazungu wengi sana wanapokuja Tanzania, wanashangaa kuwaona Watanzania wakiwa na furaha wakati wote, japo ni maskini wa kutupwa.

  Pengine hata “Joji Pori”, baada ya kupata matatizo kedekede katika muda wa utawala wake, ameota sugu la kutokusikitishwa na chochote kama Watanzania tulivyo. Lakini hata hivyo, Mh. Kikwete alionyesha masikitiko yake waziwazi, baada ya kitendo cha watu wa Mbeya kuutupia mawe msafara wake. Watanzania tunaweza pia kuonyesha hasira zetu inapotubidi.

  It’s Great To Be Black=Blackmannen

 6. Mattylda Says:

  mbona kama mh. analazimisha tabasamu au ndo jua kali??

 7. Waziri Kindamba Says:

  Happy Birthday Tanzania

  Tunakutakia kila la kheri nchi yetu pendwa Tanzania. Tunajisikia fahari kuwa huru. Mungu adumishe amani, umoja na mshikamano wetu

  I’m proud to be called Tanzanian and i won’t hesitate neither to hold my head high nor defend you in the times of needs.

  God bless Arica
  God bless Tanzania.

 8. Snr- London Says:

  Nice to see these two together
  Are you one of the up coming politician or even an inside one, but not sure if you know much about the country leadership, pathways and selection criteria? Here is a tip.

  Ask your self why most presidents-leaving Mwalimu nyerere are from not a very radical tribes such as Haya, nyakyusa, chaga etc. Most have been coming from tribes which are rooted and linked to another and some how far beyond our country? For example, Mkapa, Kikwete and Mwinyi.

  And why most PMs have came from radical and easy go tribes? Have you ever asked your self why it is almost difficult to have a president from Mbeya-nyakyusa instead we have Army generals- the likes of mboma, Mwamunyage double and others.

  Do you ask your self why the intelligence system or Usalama has many people from Kigoma and singida than any other region? I bet there is logic innate.

  Now, I can’t give you everything but I give you this task, which you could go home and ask anyone who you think they are part and parcel of these components.

  See yah

 9. Mwanamke wa shoka (UK) Says:

  mhhh!! Miaka kadhaa ya uhuru yarabi…..Mungu tusaidie viumbe wako. Amin

 10. Mwanamke wa shoka (UK) Says:

  in a bid to understand no 1……one need a proper analysis….an unbiased approach…..open minded…….lol

  …..nevertheless…..all shall be well…..


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s