BONGO CELEBRITY

All You Wanted To Know But Didn’t Know How and Where

X-MAS EVE BASH December, 15, 2008

Filed under: Uncategorized — bongocelebrity @ 3:37 PM

flyer1bc1

Advertisements
 

5 Responses to “X-MAS EVE BASH”

 1. Lilian Says:

  sasa hi bash ipo wapi jamani??? mbona information chache??

 2. Bob Sambeke Says:

  Haya mambo hayo wabeba Box! Ila kuweni makini maana nimeona tangazo linasema Ladies free! tumieni zana(vaeni viatu) maana msije mkajiachia baada ya uchovu wa kubeba box!

  Nawatakia x-mas njema na new year!

 3. binti-mzuri Says:

  lilian bash lipo maryland hilo!..jimuvishe kaa vipi

 4. BLACKMANNEN Says:

  Wabongo wa DC naona kila Restaurant mnawaachia Walatino. Mlianza kuiacha “Kilimanjaro”, sasa naona kila Restaurant ninayoingia nakuta wafanyakazi ni Walatino tu. Jumuia ya Watanzania sijui siku hizi iko wapi? Au mnajumuika majumbani mwa watu huko Maryland?

  Black=Blackmannen

 5. binti-mzuri Says:

  sio siri hawa ndugu zetu wa maryland samtimes wanachemka,samtimes wakawaka..sio dongo..nasema tu ule ukweli


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s