BONGO CELEBRITY

All You Wanted To Know But Didn’t Know How and Where

WHO IS YOUR BEST DJ? December, 17, 2008

Filed under: Bongo Flava,DJs,Muziki — bongocelebrity @ 3:17 PM

steve-bc

Steve B,miongoni mwa DJs mahiri nchini Tanzania hivi sasa.Tukikukuuliza nani unamchukulia kuwa DJ bora nchini Tanzania,hivi sasa au hapo zamani utamtaja nani?Wa kituo gani cha redio au club gani?Kwanini?

Advertisements
 

41 Responses to “WHO IS YOUR BEST DJ?”

 1. Dinah Says:

  Kwasasa sijui!

  Ila enzi zangu alikuwa
  1)-DJ Rakim/Rankim Ramadhani alikuwa radio nyingi kama Radio 1, Clouds, Radio Free Africa na Capital FM?? (dont remeber) na some clubs sikumbuki majina…..anajua kucheza na vyombo, anasauti nzuri na hana makuu(very humble).

  2)- Dj JD(Dilinga), alikuwa Radio 1, EastAfrica radio, alikuwa akipigia clubs moja pale Dar na nyingine Moro……anajua nini wapenzi wake wanataka, hana makuu (humble)na vilevile sauti yake mmmmmh!

  3)-Dj Bon Love, huyu namkumbuka akiwa Clouds, huyu nae ni mtaalamu mzuri sana wa kucheza na vyombo mezani.

  ****-RayC alijaribu zali hehehehehe alikuwa clouds pia b4 hajaamua kuwa muimbaji.

 2. binti-mzuri Says:

  dj venture, steve B, bony lov…. yani mi wote tu,as long as they play good music

 3. BLACKMANNEN Says:

  DJ huyu mimi simfahamu. Lakini Best DJ wangu, ninayemfahamu mimi ni “DJ-Sure” wa “Jambonetwork.com”. Anaweka miziki mizuri sana katika webbsite ya “http://www.jambonetwork.com/jn/”. Miziki ya Zamani, Bongo Flava, Reggae, Mipasho na nyingine nyingi.

  Ili kuweza kuisikiliza miziki hii, ingia sehemu ya “Chat Room” au Jambo Radio”. Kama wewe ni mpenzi wa Taarab (Mipasho), ingia “Jambo Plus”. Unaweza ukaomba mziki uupendao, wakati DJ-Sure akiwa “LIVE”.

  Kwa kweli huwa ni full kujimwaga, DJ-Sure anapokuwa LIVE. Maana unaomba mziki ule uupendao, (Live-kwa kutumia simu au unaandika sehemu ile ya Chat Room), kwa ajili ya yule umpendaye MOYONI mwako, na unapigiwa mziki wako, hapo hapo ikiwa na yeye umpendaye anasikiliza.

  Ndugu yangu Majita, Pearl, any, binti-mzuri, Edwin Ndaki, Gervas, Mattylda, halima, eve, sisterTZ, Mwanamke wa shoka, Kweliman, ROss, Frateline na wengine wote. Nawaomba tukutane “Jambonetwork” kama tunavyokutana hapa BC.

  It’s Great To Be Black=Blackmannen

 4. Tumain Mosha Says:

  Enzi zangu,

  1) DJ Bonnie Luv,
  2) Master C

  Kama hujarushwa na hawa wawili, basi hujacheza mziki bado hapo Dar…. Bahati nzuri bado wanagusa gusa mara moja moja! So usiwe na wasi…watakurusha tu siku moja…

 5. Mattylda Says:

  mhhhhhhhh leo mimi zero mtihani mgumu naomba BC nipe mji!

 6. mr degree Says:

  daah! boniventure kilosa! maneno machache vitendo kibao!

 7. lily Says:

  DJ. JD best Dj…there will never be any other!! No matter what i still think the rest are overrated 🙂

 8. Lalola Says:

  Ahh, bwana asikwambie mtu Master C (Charles Mhamiji), kipindi kile enzi za TAZARA Club, mambo ya Mawingu. Hivi pale ni Kinondoni au O’Bay? Anyway, whatever!!!. Mhhh ilikuwa ni balaa, manake akianza kukuporomoshea sebene, duhh unashangaa ni saa 12 asubuhi. Ama kweli if Old is not GOLD, basi Oldies are goodies, Hahahaha. Baadaye akaanza kutupa burudani kupitia CLOUDS FM. Huyu jamaa ni kiboko.

  Mwingine ni Bonny Love, huyu jamaa naye ni balaaa. Enzi za Kilimanjaro pool side na baadaye CLOUDS FM. Jamani, mhhhhhhhhh, hayaaaa.

  Mhh kwa sasa sijui who is my best DJ, coz wote naona wananizingua tu.

 9. rashidi ally Says:

  duble K duble A duble L duble I, DJ KALIKALI,
  DJ JERY KOTHO Mbowe club. now days BONY LOV IS THE ONE OF THE BEST DJS

 10. Flower Says:

  Jacob Usungu the best, Fun, talent, hard worker. Been in many clubs.mchuchu

 11. jacob Says:

  1. Dj Bonny Love, Hadi sasa sijaona mpinzani wake.
  2. Dj John Dellinga, Huyu ni balaa kwenye club, anajua kuwachezesha watu kisawasawa nyakati za usiku.
  3.Dj PQ, Ana juhudi ya kudumisha kazi yake, Nilishawahi muona Arusha akiwa Tripple A, nakumbuka yaliiandaliwa mashindano pale Dj Steve b alitoka unyoya!!!! ha ha ha
  4.Dj Habib, huyu sijui kwa sasa nasikia yupo huku UK sijui anapiga club gani, ila alikuwa akipagawisha pale Billicanas
  5.Dj Malis-Kiss Fm, Huyu jamaa anajua milazo ile mbaya.
  6.Dj Bush baby, huyu kwa megamix yumo, na ni radio dj mzuri.
  7.Dj Steve B naye ni kifaa
  8.Dj Venture naye usimpimie!!
  9.Dj Muddy Colobus A town
  10. Dj Mark vee Clouds A town huyu naye ni kifaa kinachopiga muziki wa aina zote.

 12. masta Says:

  D WHITE. DAVE NI MOTO WA KUOTEA MBALI, ALL TIME IN BONGO.

  ANAFATWA NA DJ TAMA

  KISHA GOBOS KWA WALE WALIO JIRUSHA DOM WANAELEWA.

 13. Mwanamke wa shoka (UK) Says:

  mhh hapooo mmeniacha konani….na mvi zote hiiizi hao ma-dj nitawajulia waapi!!!!!…lol

 14. Mwanamke wa shoka (UK) Says:

  ukiniuliza zangu ni za akina bibi Kidude…..kama ile “Yalaiti”…..

 15. Mmmhh.. inakuwa ngumu kuwa-rank… ila nilikuwa nawakubali

  1. John Dilinga Matlou (DJ JD)
  2. Bonny Luv, aka Bonny Mapendo
  3. Stevie B
  4. DJ Venture
  5. Bush Baby
  6. DJ fetty (Mwanadada si mchezo… anaonyesha kinadada kuwa hakuna fani ya wanaume pekee!

 16. kindo Says:

  Eeeh…..hapa pagumu!!!

 17. halima Says:

  Dj Venture
  Dj Fetty (Full mzuka jinsi anavyowapeleka ma man)

 18. grandus Says:

  HAKUNA KAMA DJ ”J TO THE D”JOHN DILINGA amekamilika katika kila idara na madjs wote wanamjua kama master wao

 19. Bob Sambeke Says:

  Hi BC!

  Kwanza napenda kukupongeza kwa kuweka hii section ya kutoa maoni ni Dj yupi tunamkuwali wa sasa au wa zamani!

  E bwana BC! The Best Dj Ever na hatatokea kuwepo kama! The Best DJ in East Africa,DJ J to The D.E bwana huyu dj anakipaji cha u-dj na co ma-dj wetu hawa wanapiga kwa sababu ya maisha waweze kujimudu! Huyu Dj akiwepo kwenye kipindi utapenda umckilize hadi mwisho! Ebu check Alipopita

  1.Radio One.
  ~kipindi flani hivi cha usiku mambo ya Love story nadhani ambao mnakumbika mambo ya story ya kulwa na dotto mtakuwa mmenipata kilijijengea umaarufu sana!
  ~Kipindi flani hivi walikuwa na m2 mzima SOS B! Kipindi chenyewe kama Mnakumbuka Kinaitwa “The Heat” Kilikuwa bomba Kinyama! Yani BC umenikumbusha mbali yani mpaka nataka Kulia
  ~Flavor 120,kawaachia Kina Kwafujo-Abubakary Sadick

  2.101.4 FM-Hii Nadhani masista Duu wa Mzizima na shabaan Robert wa Enzi hizo mnakumbuka kipindi hichi nadhani mlikuwa mnapiga cm sana,kilikuwa kipindi kinaanza kama saa 3 au 4,kilikuwa kipindi cha kutoa shout out na kuchagua nyimbo(yai tupu).

  3.ITV-2….Kipindi cha magoma ya mbele na kuwaoji baadhi ya wasanii E bwana c mchezo yani nakumbuka mbali sanaaa!

  4.East African Radio….The Crewz Mnakumbuka Jamani wadau!
  Ambapo hadi prof.Jay akakwambia Umarufu wa Bongo Adi chesko mzee wa Matunda naye maarufu! Nakumbuka sana chesko mzee wa matunda alikuwa anapiga cm sana! Jamani Embu semeni kipindi cha the crewz kikiianza kama DJ JD hayupo utajua tu kwa milazo itakuwa hakuna kabisa

  5.Radio Uhuru……JD 14-16..jamani mnakumbuka kipindi hichi cha magoma ya kufa m2

  E bwana Nimekumbuka mbali sana John Dillinga Matloue(DJ JD) Ni DJ ambaye Namzimia kuliko Ma-Dj wote Duniani akiwepo Yeye mtamboni hata cpanduki even microseconds kwani ntakuwa nimemiss mambo kibao! cjui sasa hiv yuko wapi? movement za maisha.Leo Huko huku kwa wala Vumbi(TZ) kesho mara kwa Wabeba Box(Majuu) kwahyo upati mda wa kujua mtaalamu yupo wapi.BC Ebu Fanya nae Interview tuweze Kujua anafanya nini DJ wa Kimataifa!

  Kuna MDAU kanikumbusha DJ HABIB 101.4 FM Da Kipindi hicho ilikuwa raha sana yani utamu kweli lakini sasa ma-dj wengi famba wakiweza kucheza na virtual dj au trackor tu na wao ma-dj wanatafuta american audio na kujiita ma-dj

  DJ ni Mmoja tu JOHN DILLINGA MATLOUE(DJ DJ).Jamani haya Ni Maoni Yangu Msikasirike washkaji Haya mawazo tu! Ni MTAZAMO TU!

  bobsambeke@engineer.com

 20. Rajab Says:

  Kwa madj wa tanzania tusiwe wanafiki John dilinga ni kiboko kusema ukweli tumfananishe na madj wa nchi nyengine si tanzania , sisemi kama hakuna madj wazuri lakini kwa mtazamo wangu huyu namba moja

 21. Dunda Golden Says:

  RANKIM RAMADHANI NDIE DJ WENGINE WANAFUTA YULE JAMAA EI MCHEZO WAZO CLUB NAZANI WATAMKUMBUKA VIZURI AU WAKAZI WA TEGETA NA WASIKILIZAJI WA REDIA UHURU
  KAZI NJEMA STEVE

 22. Dinah Says:

  Bob Sambeke asante kwa kunikumbusha vipindi vya DJ JD. Kile kipindi cha Love story (Udj mbali) nakikumbuka sana na nilikuwa sikosi, sometimes nilikuwa nahisi story zilikuwa zake binafsi hehehehe.

  The Crewz ilisaidia sana kufanya wanajamii kukubali mziki wa kizazi kipya sijui ndio bongo flava, pale ulikuwa unazipata kazi za vijana tu……big up man!

  Niliwahi kumwambia/omba Jeff amtafute huyu jamaa. Aisee Jeff tutafutie huyu mtu.

 23. Janet Says:

  Nakubaliana na maneno ya ambaye amesema kama kweli uli kula raha kwenye mangoma miaka ya 90’s basi ni
  Dj Bon Luv
  DJ Charles( I miss u)

  wote wa clouds fm

 24. mdau UK Says:

  1.ebwana ee kuna m2 alikuwa anaitwa Mr. Delicious a.k.a Mr. D a.k.a The Silent Man of action(Ur on the mix with
  Mr. D the silent partner-ML Chris) pale Clouds Fm cjui cku hizi yuko wapi cjamsikia muda mrefu, kwa milazo wa slow jam hamna anaempata huyu ni kiboko, nakumbuka kipindi cha cruwz 2 mid9te cha Clouds Fm akiwa na Big Man, ML Chris ilikuwa si mchezo anavyopandishiwa slow jam mwenyewe utapenda, kwa kwa kweli hamna anayemfikia huyu jamaa kwa “kuzinatanisha” slow jams, anayebisha anyooshe kidole.

  2. DJ JD huyu ana kipaji cha udj cna ubishi wa hilo.

  3.”Just imagine how scared djs will feel”, Bon Luv huyu jamaa kiboko wa flash back cjapata ckia au ona, yaani jamaa ni noma na hana mpinzani ktk hilo.

  4.DJ Nelly huyu ni kiboko ktk kumix bongo flavour cjapata ckia (DJ Nelly blessing u with some more bongo flavour-ML Chriss)

  5.Mr. C ni kiboko ktk mayenu.

  6.Nisiwasahau Mully B and Steve B a.k.a Skills, zipo kidogo hizo skills.

  In short madj wenye vipaji wapo Chuki DJs (Chuki Djs, the sexiest djs, the sexiest music, Clouuuds Ef emmm….!!!!!) ila DJ JD ni moto mwingine hata hao Nyuki DJs wanalitambua hilo..! In short he’s no.1 dj in Tanzania pengine East Africa, ila Kenya kuna DJ pinye ni noma!

 25. Bob Sambeke Says:

  Thanx Dinnah 4 Appreciation! Jeff Tunaomba Utuwekee Interview na m2 mzima DJ JD…The #1 DJ Ever! Huyu Jamaa Namzimia Sana,Hata akimuelezea msanii anamuelezea kwelix2 mpaka unamjua fresh! Au Ile Idea ya Kupiga Nyimbo alafu watu wanachangie ile nyimbo ipo vp kwenye kipindi cha Crewz! E bwana DJ JD ur Da Bomb! God bless U for the rest of ur Life!

  Please Jeff,Tuletee M2 Mzima DJ JD……

 26. mzazi Says:

  let me speak from bongo experience
  i have been to many discos / partys from way back till nowadays, i do appriaciate most Djs from such as bony luv, dilinga , dj charles, venture, steve B, peter mo’ etc but when it comes to recent djs kuna mtu anaitwa Dj Bike wa sanaa pub huyu mtu ni sooooo, yani ni nomaaa aibu!
  huyu dj yupo juu sana ni kama simba mwenda pole believe me or not he will take over this deejaying sh*t in coming days

 27. kijiwe Says:

  Bony Luv was a great Dj then enzi zetu za new africa,twiga na pool side..siku hizi amepunguza makali nadhani ni sababu ya kukosa muda wa ku practice(you will always suck if you forgot how the tunes flow)you have to know sehemu ya kupandishia au ku cut
  JD yes could be number one in Tanzania coz the brother is very goodon the decks but not east africa hiyo haina ubishi kuna watu wanaitwa homeboyz(dj john,dj edu )
  http://www.homeboyz.co.ke go there to prove this
  hawa walianza zamani sana at capital fm walikuwa wana kipindi kila jumamosi kuanzia saa 3 usiku mpaka saa sita
  Kuna mdau alimtaja Dj Habib yes he is in UK huyu jamaa amekuwa noma zaidi ya alivyokuwa bilicanas
  Dj venture is also very good i guess amerithi kwa bonny
  last but not least Dj Dennis is somebody to watch out he will soon shine yeye anamix kila kitu(hip hop,oldschool,bolingo,zouk,slows,rNb,reggae,riddim,bongo flava) na anatumia turntable
  ni hayo tu wadau

 28. ochu Says:

  nani anakumbuka the powerful four chini ya Dj DJ?
  Dj JD hana mpinzani…
  namba mbili Bonny Luv

 29. bignpac Says:

  ah teh teh teh tuache utani kwa tz ni John dillinger(dj jd) ni noma sana ktk mashine then ndio ramkin ramadhan naona walobaki wanajaribu tu

 30. The name Is Dj Isaac cool (Tanzanian in Ghana)I do agree the fact that we have more expireance dj’s home Nakubali pia Dj jd is good and others djs haswell mine goes 2 Dj Boy necha,Cob Emma Kiula ,Migweno ,Urembo,chamdoli’ salum’bogojo,Osca makoe and Dj 2 short Clouds fm

 31. so upset Says:

  wale madj wa magic fm bwana

 32. neema mhando Says:

  # 1DJ jd , # 2 Bonny love, # 3 Habibu, # 4 Makay, # 5 omary CD, # 6 Said, # 7 Guru, # 8 hade fish boy, # 9 Sunny ( Arban M ), # 10 jimmy ( Nephew of DJ JD ). Hey dj steve what’s up… I did’ nt know if you are dj now. Back in 90 you was a rapper. Anyway where Abbas Maunda.Keep in touch hommie… And I’m proud of you and do your things.
  PEACE……

 33. mathew robert Says:

  dj mtata anaejulikana mtata wa hali ya juu ni
  DJ PQ wa CLOUDS FM
  au mnazani nani mwingine tena!!!!!!!!!

 34. akinyi Says:

  steve B kirefu chake nini kamma mtu anajua naomba aniambie.

 35. rajab Says:

  jeff tutafutie huyu john dilinga angalau tupate historia yake kiundani

 36. BC Editor Says:

  Tumesikia maombi yenu.Wale wote ambao mmeomba tufanye mahojiano ya DJ JD ni kwamba juhudi za dhati zinafanyika ili kufanikisha ombi lenu.Stay tuned.Asanteni.

 37. Isaac Kibdya Says:

  Katika kuchangia mada hii mimi nakubaliana na wengi hapo juu. Ila nafikiri ugumu unakuwa tunazungumzia majd wa wakati gani kila mtu ana kipindi chake. Nami naona sitakosea nikichangia kuwakilisha old schools kwamba katika miaka ya zamani ungempenda mno hayati Kalikali, Jerry Kotto na Seydou aidha Mbowe au YMCA kwa vipindi tofauti. Lakini walikuwepo wakali tuliowaona enzi hizo kama kina marehemu Choggy sly, John na Eddie Sally (Rungwe),John Bure (Pinky). Na kwa sisi wengine tulikuwa die hard na madj wa Disco Parliament marehemu Joseph Shawa (Joe Shawa), Slaughter na Eddo.
  Ni kweli kila mtu ameonyesha hisia kali kuhusu madj wa wakati wake nimeonelea nami niwakilishe wazee wenzangu tukikumbuka nyakati za ujana wetu. Wadau mmenikumbusha mbali mno shukran!

 38. Bob Sambeke Says:

  Thanx BC Editor Tunaomba Juhudi Zifanikiwe tupate maneno ya Mtaalamu DJ J to the D! Jamani Wadau Huyu Ndio DJ Namba Moja Kwa Tanzania na EA kwa Ujumla Hakuna Mpinzani hao wengine wanajaribu tu,yeye ndio maujanja suplier!

  Regards:
  DJ JD’s #1 Fan

 39. Johnnie Says:

  Naona tunazungumzia na hata marehemu. so sioni kwanini nami nisichangie. Anyway Kwa 80’s – 90’s katika TZ tulikuwa tuna vichwa kadhaa. 1. Kali Kali 2. Rujo 3. McJaphet 4. Chris Fabian 5.Super Deo. sasa kama ni comments zitakwenda kutokana na kila mtu na fleva yake au sehemu alipo.
  Lakini Kalikali yeye Ni all rounder. Rujo talented well Travelled na linguist. Alikuwa anuwezo wa ku entertain in 10 Eusopean languages na plus ½ya makabila ya TZ. Na maskani yake kubwa pale Limbachia Tanga na Baadae Mkonge Hotel. Na wengineo niliowataja pia ni watu wa fani. ( wakati huo Boni Luv na mimi tuna beba Spika zao;-) ) Where is Boni now? anyway. Good Question.

 40. Reedz Says:

  Venture the Best.

 41. chris mzeruy Says:

  The best djs are two ol school trill brothaz named CHOGGY SLY and KALIKALI,rungwe oceanic.
  WHUT U KNO’BOUT THAT!!!!!!


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s