BONGO CELEBRITY

All You Wanted To Know But Didn’t Know How and Where

UNAMTAMBUA? January, 6, 2009

Filed under: Swali kwa Jamii — bongocelebrity @ 10:08 PM

frank-mtaooo

Unamtambua?Anaitwa nani na anafanya kazi gani?

Advertisements
 

71 Responses to “UNAMTAMBUA?”

 1. kahindi Says:

  namtambua….anaitwa FRANK MTAO…alikuwa anapresent kipindi cha NANI NI NANI,katika cHANEL TEN…ila muda mrefu alikuwa masomoni(am not sure about the country,but ni uropa)amerudi tu mwishoni mwa mwaka jana…anapofanya kwa sasa sijui…vinginevyo namfagilia sana..ana mvuto,hana maringo,weusi mzuriiii….i like the guy…..mwaaa

 2. angel jk Says:

  uyu jamaa bwana alikua anafanyaga kaz channel ten then akajaga kufungua ile 2eyes production akaendaga wapi sijui ila siku izi katoka!!

 3. Shostito Says:

  anaitwa Frank Mtao alikuwa mtangazaji wa Channel ten kipindi cha Nani ni Nani,pia nakumbuka aliaga akasema anaenda ulaya sasa sijui anafanya nini huko!!!

 4. Gervas Says:

  Majita huyu!!……hapana, ni Frenki Mutao wa chaneli teni, alivuma sana ktk kipindi chake cha nani ni nani. data zimeisha!!

 5. Mattylda Says:

  Natambua,anaitwa Frank Mtao i think ni mtangazaji wa chanel 10 kipindi cha nani ni nani sina hakika kama bado anaendelea na hicho kipindi!!

  Naomba nimuingilie kidogo kwenye personal zake!
  kaka nywele hazijakutoa hata kidogo jaribu kunyoa panki labda!!!!!!!hapo no kwakweli!!!!!!!!!!!ni hayo tu atakayeona nimemboa anisamehe nataka kuanza mwaka vizuri wapendwa!!!!!!!!!!!

 6. Kafura Says:

  Huyuuuuu….sijui kama anafanya kazi sehemu yoyote. Naona kama Bongo cerebrity umetutega tu hapa. Nywele zake km kichaa. Lakini anaoneeka ni msafi (kitu ambacho si cha kawaida kwa kichaa). Labda ni kichaa anayeishi na wazazi wake kwa hiyo wanapiga sopu sopu.

 7. BELLA Says:

  Ni FRANK MTAO wa NANI NI NANI.

 8. papin Says:

  Huyo kama Frenk Mtao wa Channel 10 vile

 9. mwana Says:

  Huyo ni Frank Mtao. Ni mtangazaji au mwana habari whichever is gracious.

  nawatakia wote heri ya mwaka mpya.

  Mwana

 10. binti-mzuri Says:

  yah huyu namtambua frank mtao wa two eyes production na pia alikuepo channel ten..nasikia alikua masomoni japan or something,is he back?hes a very nice guy..na pia mtanashati..mmh.. is he single?

 11. domo kama upawa Says:

  huyu ni Frank Mtaoo ni bwana shem huyu anajishughulisha na naniliu ni hayo aaah na wangine semeni.

 12. Gilbert Says:

  Nadhani kuna mengine tukubali katika maisha haya sio kila mitindo inafaa kwa kila mtu kuna wengine inawafanya waonekane ni watu wenda wazimu au vichaa waliokuwa hawajapatiwa matibabu jamaa amevalia vizuri lakini hiyo staili ya nywele sio yake kwani nywele zinakwenda na umbile la sura ya mtu binafsi ningemshauri ni vyema akaweka kipara angependeza na kuvutiwa na watu wengi popote pale

 13. Judith Agustine Says:

  Nimemtambua anaitwa Frank Mtao zamani alikuwa mtangazaji Channel 10 sijui kwa sasa maana naona amepotea sana kwenye TV.

 14. butsi koza Says:

  alionekana mstaarabu, but uwongo na kufanya kazi kiuhuni uhuni ndo kunamwangusha huyu
  huyu ni kiongozi wa 2 eyes production
  anaitwa Frank Mtao

 15. Lalola Says:

  Huyo ni Frank Mtao. Mbona kawa hivyo??? Hizo nywele kwa kweli hazimpendezi. Angeacha tu nywele zake za kawaida. Kwa sasa sijui anafanya nini, ila i think bado ana share katika kampuni ya kurekodi ya 2Eyez Production.

  Huo ni mtazamo wangu tu.

  Lol!!!

 16. Komredi Says:

  huyu jamaa anaitwa Frank Mtao ni mtangazaji wa DTV na ni bosi wa kampuni ya 2eyes inayojishughulisha na kurekodi video. Jamaa namkubali ktk swala zima la utangazaji hasa kupitia kipindi chake cha NANI NI NANI.

 17. James Says:

  Huyu ni Frank Mtao na yupo Australia anakula kuku sasa ……….

 18. msefip Says:

  kwa vyovyote ni muuza sura 2 hakuna anaejua yy ni nani apa bongo au yuko alocomment?

 19. Mitchez Says:

  Mkuu wa kazi Frank Mtao 2 eyez production…umebadilika mkubwa last time nakumbuka mbaaaaali sana ilikuwa Jpn hahahaha…

 20. ramona Says:

  nywele hizo zinazua gumzo ni chafu au safi?sipendi huo mtindo wa nywele tafadhari badilisha

 21. Iddah Says:

  Huyo ni Frank Mtao ni mtangazaji wa Channel ten

 22. irene Says:

  Frank Mtao, Mtangazaji Channel 10 na mkurugenzi wa 2 eyes production

 23. mdau Says:

  anaitwa Frank Mtao,He use to be one of the CHANNEL10 tv shows presenter(nani ni nani?) and He was also the owner of the 2eyes record if am not mistaken.Well,I dont know where he is now and wat the hell he is doing.

  Ndimi mdau,masomoni UK.

 24. any Says:

  Mi simfahamu ila ana sura ya kimangi vile.

 25. chapombe Says:

  simfahamu yeye wala kazi yake,sema anaonekana kama muuza sura maarufu

 26. Caro Says:

  kwakweli mimi simjui kwani nimetoa home Bongo miaka mingi kidogo, jamaa anaonekana mstaalabu ni nywele tu zinamuangusha badili styre ya nywele kaka

 27. Lalola Says:

  Binti-mzuri, Frank Mtao alishaoa tena ndoa ya kanisani, but kwa bahati mbaya ameachana na mkewe, so, if you want to go shostito nenda, ila jiandae na wewe kuachwa, tehe tehe tehe. Au wasemaje shostito wangu, ila mi nakushauri usiende, coz hajatulia huyo, kwikwiiiii.

  Kwa kweli Mattylda umenena, hiyo hairsytle, mi mhhhhhhhhhhhhh. Huo bado ni mtazamo wangu tuuuuuuu.

  Lol!!!

 28. Majita Says:

  wewe Gervas wewe!!!! # 4,
  Hahahaha ndg yangu unafikiri mimi niko kiivo basi??

  Hata ivo leo nimefungwa bao la kisigino.Mimi simjui huyu bwn hata chembe.Ila nafikiri huku kijijini kungekuwa na hiyo TV ningemuona na ningemjua ila kwa vile hakuna nashukuru wadau kwa kutujuvya.
  Dr.Majita (PhD)

 29. binti-mzuri Says:

  haha lalola shosti wangu… ubishiiii upo kwenye damu hapa, unakua kaa hujui..tena we ndio utakua matroni..jitayaritayarishe.. matty mkuu wa kamati ya maandalizi..kahindi mamaa wa kitcheni pati… halima ntampangia post in the future. basi bc tayari paduuchuuu .. hav gud day

 30. kiranja Says:

  yes wote mliosema ni frank mmepata,jamaa alikuwa sijui wapi,new zeeland ama australia na nasikia ameoa jimama la kizungu na kalikimbia,tuko nae bongo tunaangaika nae,labda aanze upya kaishiwa,si chuki ni ukweli!

 31. BLACKMANNEN Says:

  binti-mzuri,

  Mimi nitakuwa MC kwenye Arusi hiyo (patakuwa hapatoshi siku hiyo), halafu Dr. Majita atakuwa baunsa. Atakuwa akikagua card zote mlangoni ili kuwadhibiti ROss na kundi lake wasivunje gate!!!

  This Is Black=Blackmannen

 32. halima Says:

  duhhh anaoneka kama chizi mpya vile, kichwani na nguo ni vitu viwili tofauti,
  Bint – mzuri, Matty, Lalola mashost nimewamiss kishenz

 33. kahindi Says:

  jamani binti mzuri…aksante kwa kunijali kwa kunipa kazi ya kitchenpat,na hongera sana kwa kumpata huyu handsomeboy,maoni ya wadau umeyaona lakini?kuhusu nywele,haha haha….alafu hiyo kitchen part,sijui kama nitaweza kujicontrol maana sio siri hata mimi namtamaniii…..mbaya zaidi huwa anakuja kazini kwetu kupata huduma ya kusafirisha vifurushi abroad….yuko safi,ana mvutooo….

 34. kahindi Says:

  Na we ramona,hizo nywele zake ni safii..suala la kubadilisha mi simo…i think he is ok 2…

 35. debra Says:

  Kaazi kwei kwei!
  Macho mawili bosi huyo(Two Eyes)production!
  Mweh kweli hakunaga chikonda ehhhh???

 36. Mattylda Says:

  Binti-Mzuri hahahahahahahahha siku yangu imeanza vizuri leo umenimaliza mbavu sina mie hahahahahahaha

  yes, kamati ya maandalizi nipo nitakuwa benet na trupu ya ngu ya uhakika mamaaaa Any,mama wa Kichaga na kina kaka hasa Hombiz na Gervas,Majita ashapatiwa seksheni ya kueleweka a.k.a Fanya Fujo Uone,Blackmannen na yeye tayari ana kitengo nyeti kumwaga sera a.k.a Master of Ceremony!Kahindi na lalola ndo matroni wenyewe ila kwa bahati mbaya sijapenda style ya bwan’ shemeji hapo kichwani naweza shinikiza kamati ya maandalizi tumnyoe kwanza ndo ndoa ifungwe teh teh teh teh teh

  BC HOYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!haki ya nani tumeanza mwaka vizuri jamani mwendo wa mabadiliko, maana last year ilikuwa kina Gervas tu wanaopoa vimwana hapa ila sasa akhaaaa kwa raha zetu wadada tupo juuu teh teh teh teh!!!!!!!!!
  FRANK MTAO, pls nyoa hizo nywele ma dear hata kama ni fasheni, hapo kwakweli BIG NO!!!!!!!!!!!!!!!

 37. Lalola Says:

  Kama ni hivyo Binti-Mzuri umenena. Jukumu hilo mbona silikatai, tena asante sana kwa nuniteua kuwa matron wako. Usijali mi nikiwa Matron, Frank hatokuacha ng’oo. So niambie tu wedding ni lini na tunavaa nguo za aina gani na colour of the wedding ni ipi? Jamani siku hiyo patakuwa hapatoshi kabisa hapo kwa hall, katika hiyo harusi. Au tuvae chupi na sidiria tu? Hilo ni swali tu lakini? Tehe tehe tehe.

 38. huyu Says:

  ni MSUKUMA wa bariadi ila aliwahi kuishi ISAMILO -MWANZA.

 39. kisura Says:

  Huyu ni frank Mtao alikuwa channel 10 then akawa 2eyes production ni kijana mtanasharti saana. alienda masomoni Is he back??

 40. kisura Says:

  Mi kwakweli hizo nywele za huyo kaka sijazipenda lakini nishajua sababu nimeona mdau hapo juu kaandika alikuwa na jimama lakizungu ndo mana kaweka nywele ka mwehu hebu rudisha nywele zako za zamani kaka ulikuwa very smart not now. wizi m2puuuuu! mapouwdaer

 41. Bagasha Says:

  ……………loading…………loading…………data found…………..Frank Mtao………..end!!!!!

 42. febronia Says:

  huyo jamaa anaitwa frank mtawa.
  ameniutdi sana alivyo jibadilisha sipendi sipend sipend.
  angekuwa mume wangu tunge achana.

 43. anony Says:

  hizi nywele kama derrick nyati wa isidingo. pia huku sauz watu wengi wanazo.mi naona poa tu,kwani hata mimi pia ninayo

 44. watubwana Says:

  siri ya mtungi aijuaye ngata,ishi upendavyo na si wapendavyo.frank mtao kanyaga twende…

 45. Dr.Majita Says:

  Mkuu Blackmannen,
  Nimekubali kwa mikono mitatu hiyo post uliyonipa manake hasogei mtu getini.Ila nilikuwa na maoni,nafikiri ingependeza zaidi kama mngeniweka na kwenye kamati ya vinywaji.Nina strategy nzuri tu kufanikisha.
  1.Nitahakikisha ROSS hagusi ndani hata kama atapitia wapi.
  2.Kama ikitokea ameingia labda kwa milango mingine spesho au yuko kati ya watu wale 25-50 maalumu wasio na kadi basi nitampiga panga la bia.(atakunywa bia moja tu na sipaleta moja)
  3.Nitahakikisha Chapombe atakunywa bia 2 tu mamamamamamammamamamama
  Hapo kama sijalizua valangati sijui,manake chapombe kumpa bia 2 tu na kulidhika ni kaaazi kwelikweli.

 46. any Says:

  Mimi akiacha nywele za kichwani kihivo wala hanisumbui, ila ala ala mnaomtaka kindoa, mtashaaa kama anaacha na za kwa babu. Mi simo, najaribu ku imagine tu kama ataacha kote kote.

 47. Mama wa Kichagga Says:

  Mmmmmm posti nyingine kaa zali la mentali vile. Haya mie nitajumuika kaa mama mkwe maana FFU mmm mbali kabisa na mimi maana naogopa ngumi kuliko kifo.

  Binyi Mzuri kuhusu hizo nywele mie naona poa tuu , kwani ndizo ungumbaa? haaaaaaaaaaa.

  Mwachene aishi apendavyo na siyo aishi kama mnavyotaka ninyi. Hapa tunahitaji kukua kidogo na kuwapa watu uhuru wa kufanya watakavyo. Personally, ukija kwangu hata kama uko mtupu kaa adamu na hawa wala sitojali “May be you are having funny”.

  Jamani tujifunzeni kuwaheshimu na kuwakubali watu kama walivyo – TUACHE USHAMBA NA ULIMBUKENI WA KUNG’ANG’ANIA WATU WAWE TUPENDAVYO, PYUUUUUUUUUU”

  BINTI-MZURI KAMATA MZIGO HUO POTEA UNALIPA MAMANGU VILE, SHAURI YAKO UKIZUBAA –

  Nimechekeshwa sana na comments leo

 48. Gracooo Says:

  namkumbuka man, ni frank Mtao wa Nani ni nani Chanel ten, watu wenye wivu bwan awameshaanza kuzusha mara nywele mara sijui nini?mimi namuona Brooo yuko poa tu, amenona kweli kweli, sidhani kama kweli alikuwa anasoma tuu huko kwa wadhungu.big up man maisha yamekuendea bomba all the Best

 49. kahindi Says:

  FEBRONIA…ni mtao na cio mtawa…sawa mama?

 50. kahindi Says:

  lalola hujatulia…chupi na sidiria…na kina gervas,majita,hombiz,blackmannen wavae nini?

 51. ELly Says:

  he is the gorgeous Frank Mtao i like the guy he is a good presenter of chanel ten though i didint see him lately.n i gues he has some shares in 2eyes production

 52. mtu Says:

  maoni no. 10. Binti mzuri, mambo vipi na wewe single? Mimi nilikuwa masoni Sumbawanga ndio maana nilikuwa unreachable, lakini ndo nimeingia Dizim city.
  Halafu mbona everybody knows Frank whats the big issue about him?

 53. Nasema Says:

  Huyu ni Frank Mtao alikuwa mtangazaji wa chanel 10,anastudio yake mitaa ya kinondoni,Yupo jijini nilimuona ma juzi pale Bilicans alikuwa na totozzz.Naomba kuuliza ivi aliachana na Chuchu Hans?Yule alikuwaga miss Tanga?Na yuko na nani siku izi?Anayejua aniambie please coz namuonaga sana town haswa Break Point ya pale posta.

 54. Nai Says:

  Ata mm nataka kujua yuko wapi siku izi na anafanya nn?Na anademu gani maana mmh.

 55. chapombe Says:

  wajameni,akili ni nywele kila mtu anazake,sasa kwanini mmemshupalia,hoo sijui kama chizi,hoo sijui amwoe nani vile,mbona si atusemi hizi nywele zenu kila siku zinabadilika kama kinyonga?siku nyingine zinakuwaga kama za wazungu,siku nyingine muweke virembeo vya chuma sijui plastiki,mara sijui muongezee nywele za wafu.au ndio mshaanza kujigongagonga

 56. .. Says:

  wewe febronia tafadhali acha kuota,usituchekeshe tulionuna.

 57. Mattylda Says:

  waosha vinywa kazi mnayo mwenyewe Binti- mzuri kazimika flag tena akhaaa kajikalia kimyaaaaaaaa teh teh teh teh!!!!!!!!!!!!!!!!!

 58. cityboy Says:

  Gilbert, ngoja nicheke kwanza, hahahahahaaaaaa

 59. halima Says:

  Any kwa babu hahahahahah umenichekesha duh sijui itakuwaje maana ni full chawa

  Bint mzuri shost naona umeufungua mwaka kiaina good maana ilikuwa kila siku wanaume safari hii naona watu wamekuja kivingine sipati picha hiyo harusi yaani ni full mzuka.
  mimi naomba niwekwe sehemu ya hot pot hahahahahahah

 60. kindo Says:

  mimi namuona poa tu. True! he is a good presenter and producer/director.

 61. sweetest sin Says:

  hivi wewe mattyilda ni mattylda joseph wa ukweli blogspot au?

 62. dan Says:

  Mshikaji Frank! Hiyo staili haiendani na wewe, nenda saloon utoe hiyo minywele! Unatisha mshikaji! utafikiri ulipotelea accapulco bay mwanangu!

 63. eva Says:

  kweli nyie hamna sera, umjue usimjue wewe atakusaidia nini?
  please!

 64. eva Says:

  its him, so what?

 65. Mwanamke wa shoka (UK) Says:

  personal space….lol…!!!!!!!!!!!!!!!……bloggers wengine hawaogopi hata kutaja majina ya girlfriends wake….inanisikitisha…..

 66. MTU TU Says:

  vipi kijana MAGUZU hajambo??

 67. YUKO BOMBA MBAYA BATA HAZIKWEPESHI….HUYU NI FRANK MTAO WA CHANEL TEN WANAOPONDA WANA WIVU COZ JAMAA ANANGAAAAAAAAAAA SANA CHEKI SUTI,TAI NA SHATI FUKLLLLLLLLLLLLLLL ORDER

 68. Richtea Says:

  Huyu Kijana ni Frank Mtao.
  Alikuwa anafanya kazi Chanel Ten,
  Akiendelea kutafuta maisha akafungua 2eyez production akiwa kama mkurungezi,
  Alikuja kwenda Japan/China kwa masomo mafupi,
  Alioa mwanamke wa kutoka Australia mwaka jana, wakahamia huko Australia kwa mkewe.
  Kwa sasa anapatikana Dar kwani nahisi maisha ya Australia yalikuwa magumu kidogo kwa kijana wetu.
  Simlaumu maisha ni popote
  Hongera kwa kujua unachokitaka katika maisha.

 69. watubwana Says:

  WATU BWANA hehehehe..siri ya mtungi aijuaye ngata,,,
  Ukiangalia watu wengi ughaibuni ukiachana na kitu kumpendeza au kutompendeza ili mradi mtu mwenyewe binafsi kinamridhisha na kumfurahisha hata kama nyie wengine mtakiona kibaya au kizuri.
  mfano unaweza mtizama mke wa BEKAM kavaa gauni la poundi 1000,na mimi mlala hoi nikavaa gauni la poundi 50,ukiliangalia gauni la mke wa BEKAM na mimi niliye vaa cha poundi 50 gauni langu zurii kuliko la mke wa BEKAM.
  watu wanavaa kwa majina,stailI kwa madizaina na wanamitindo maarufu hata kama ni kibaya,hakiwapendezi ilimradi mtu anavaa cha bei ya juu,yuko wakitofauti tofauti, na pia yuko na furaha na anachokifanya.kila mtu na maisha yake,
  huwezi nilazimisha mimi nile wali na maharage kila siku sababu wewe unapenda maarage.uzuri wa kitu au mtu inatofautiana kati ya mtu na mtu.

 70. somebody Says:

  Jamani msimseme sana Mtao! Mwenzenu kawasokotea nywele hivo ili mjue alikuwa nje. Kwani hamjanotice! Ka’ Frank kunanjia nyingi tu za kuonesha ulishakaa ulaya mbali na hiyo ya kusuka nywele kichaa. You dont look good at all!!!!!!!!

 71. Lucas Says:

  ama kweli watu wanabadilika!


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s