BONGO CELEBRITY

All You Wanted To Know But Didn’t Know How and Where

I AM A PROFFESSIONAL- FID Q January, 15, 2009

Filed under: Bongo Fleva,Burudani,Muziki,Sanaa/Maonyesho — bongocelebrity @ 1:17 PM

fid-qbc

Bongo,Bongo…ooh Bongo!Kila kukicha watu wanazidi kuwa wabunifu na wagunduzi. Kila siku akili zinazidi kuchemka, bongo zinazidi kutenda kinachotakiwa kutendwa.

Kama bado huamini kwamba Bongo inazidi kuja juu kwa ubunifu,basi jaribu kwanza kutizama hapo chini video mpya kutoka kwa Fareed Kubanda aka Fid Q(pichani) iitwayo I AM A PROFFESSIONAL ambayo ni single ya tatu kutoka kwenye albamu yake iitwayo Darwinz Naitmea.Kutoka kwetu hakuna la ziada bali pongezi kwa Fid Q kwa ubunifu na uchapa kazi.


Advertisements
 

34 Responses to “I AM A PROFFESSIONAL- FID Q”

 1. Dr.Majita Says:

  Natoka MWANZA MWANZA MWANZA Oyeeeeeee!!!!!!!

  Big up Fid Q.
  Jamani wana BC wenzangu,yaani kwa kweli mimi huyu bwn Kubanda amenikuna panapo haswa,yaani mimi lile tendo tu la kumjua au kumtaja mtu anaitwa DARWIN kanimaliza kabisa.Mimi ni big fan wa Darwin theories.Yaani unapoongelea darwin mimi roho inafanya pyaaaa!!!!!.Wakuu yaani nimesimama na kupiga salute kwani nimekuwa siku zote nahubiri mitazamo ya Darwin japo marafiki zangu wamekuwa wakipinga ama tukipingana kwa hoja juu ya hii mitazamo ya huyu mwanaPhilosopy Darwin.

  Sitaki kuongea mitazamo ninayoamini ya Darwin lakini kitu kimoja tu kikuu ni kile cha “NATURAL SELECTION”

  Ndg zangu, kwanini Fid Q ni mwanamuziki,kwa nini Tanzania ni masikini,kwa nini Ross ni msumbufu hapa BC,kwa nini watu wanatumia majina yasiyo yao hapa ukumbini,kwanini Serikali ya kikwete imewashitaki waliowahi kuwa mawaziri wa Serikali, kwa nini mambo ya Ufisadi yameibuliwa sana katika awamu hii,Kwa nini Majita ni mkulima mvuvi,kwa nini wewe uko hivyo ulivyo,kwa nini na kwanini nini na nini……Jibu lake ni Natural Selection.

  Again Big up Fid Q na mimi natoka Mwanza Mwanza.
  Dr.Majita (PhD)

 2. Dinah Says:

  Haya u r Proffessional timekubali….keep it up!

 3. Naanza kwa kumpongeza saaana Fid Q ambaye naona anaongeza ujuzi na ufundi katika sehemu yake ya kazi. Lakini pia ninaona angetakiwa kuongeza ushauri katika sehemu ya mtengenezaji muziki. Nikimaanisha kuwa angeweza kuongea na mtayarishaji wake akaongeza vinogesho vingine vingi (na kama kawaida nazungumzia saidi ama kuvipa kipaumbele vile vya asili) ambavyo tumeona vikinogesha na kutambulisha zaidi. Tumeona yakifanyika na twaamini wanaweza, lakini licha ya pongezi kedekede kwake, napenda pia kumshauri kuwa wimbo ujao uongezwe japo percussions za asili ambazo zitaujaza zaidi. Huu unavutia lakini hautambulishi na pia KWA MTAZAMO WANGU ungekuwa bora zaidi kama “ungejazwa” zaidi na kwa umakini baadhi ya ala.
  You are a proffessional and you’re going to get even better

 4. Mattylda Says:

  Safi sana Fid Q,
  Out of topic kidogo jamani, hivi huyu alifanya plastic sugery au??

 5. halima Says:

  Big Up miongoni mwa wasanii wa Hip Hop ambao ninawafagili mmoja wao ni Fid Q kazi nzuri ongeza bidii.

 6. K-U Says:

  Big up FiD Q! Heavy duty stuff

 7. mdau Says:

  Mnyonge mnyongeni,hakiyake mpeni.Kaka hii imesimama.

 8. BLACKMANNEN Says:

  Ndugu yangu Dr. Majita, wenzako hapo juu “Dinah, Mzee wa changamoto na kichwakutaniko” na wengine watakaofuata. Wapo hapa kutangaza “Blogi” zao. Wanajitangazia “Blogi” zao kupitia “Blogi” yetu hii ya BC. Maana hapa BC, ni bureeeeeeeeeeeeeeeeeeee. Ni kweli Blogi la BC ni dezo bin tupu, hakuna malipo. Kazi kwako Dr. Majita, maana kila mtu dunia hii anapenda mteremko ndugu yangu. Dr. Majita, heeeee weeeee kalaga bakhoooo!!!!!!!!

  This Is Black=Blackmannen

 9. anony Says:

  Wewe Dr.majita wewe inabidi sasa tuambiane ukweli huko kijijini kwenu ni wapi.Manake hapa sasa tunaibiwa mchana kweupe.Mmmh mwenzangu ni kijiji gani hicho cha maendeleo kina wanakijiji kama wewe?Nimependa hayo ma nini na nini yako ulivyoyapanga.Mie hoi.Haya mwaya lakini napenda kukijua kwa hamu kijiji chako.

 10. the beast Says:

  Well the flow was nice but… I cant understand his english going too fast with al
  Then ametumia sana English as a matter of fact I feel like this song is not dedicated to USWAZI people cuz most of them they aint use English.
  Last 4 my opinion this song is wack compar to Mwanza mwanza.
  step ur game up mate.
  good job anyway

 11. Edwin Ndaki Says:

  kazi nzuri FID Q…

  nje ya topic kidogoooo

  Mattylda vipi upo..maana hapa BC siku hizi kuna majina milioni …

  Unaweza kushangaa anakuja matty academia…

  DR MAJITA na wewe vipi ulipewa kama naniiii hiyo naniiii nini?

  hakika kazi za Fid bado zinazidi kwende mbele haraka

 12. Heshima kwao Black. Natumai u-mwema lakini pia ningependa kukubali kutokubaliana na mtazamo wako kuwa tupo kutangaza blog mkuu. Hilo si lengo ila tunatumia majina mabayo yana account zetu pia. Sidhani (labda wenzangu) kama kuna namna yoyote ya kujitangaza hapo. Ni maoni na hayajaambatanishwa na tangazo lolote. Nadhani wewe ndio umetutangaza na ntashukuru kwa kazi hiyo. Na pia ni wewe ambaye hutangaza kijiwe chetu cha Jambo ambacho pia nimekuwa mshiriki mkubwa sana kule. Kwa hiyo nadhani pengine ni lazima ukubaliane na jina la blog uliyoitangza kuwa THE WAY YOU SEE THE PROBLEM IS THE PROBLEM.
  Hakuna tangazo kwenye blog “yenu” hii ya dezo kama ulivyoiita.
  Asante sana BLACK=BLACKMANNEN

 13. Remix Says:

  Fid Q.
  Go get em’!
  Dis aint shit,guy kno da hit.
  Behind ya!

 14. Mkali Kwanza Says:

  nyimbo mbovu haieleweki, beat mbovu haivutii, video bomba.
  jaribu kurahisisha lugha .hii nyimbo kwa kweli bora uone lakini kwa kusikiliza tu hakuna radha,ni mtazamo tu

 15. hombiz Says:

  I think if you work harder, you will get there!

 16. xxx Says:

  mbaya!picha so artificial…

 17. Mattylda Says:

  Edwin Ndaki mimi na wewe nani kapotea???nipo sana mie!

  Remix umemaanisha nini??mie mwenzako slang not reachable!!!!!!!!!!!!!!

 18. kichwakutaniko Says:

  mie nishawahi kujihusisha na mambo haya ya kurap na muziki kwa ujumla kabla maisha hayajanibadilishia mwelekeo wangu nakujikuta hapa nilipo.. ….
  hapo juu kuna watu wamejaribu kukosoa kimitazamo yao na kuna wengine wameonyesha chuki za wazi kabisa… wanamuziki wa tz wanajaribu kwenda kimataifa…. sisi mashabiki na waswahili wenzao hatutaki kuwaunga mkono.. yaani kwa lugha nyepesi ‘
  tunachukia maendeleo yao’
  halafu ni bora hata umponde msanii labda kwasababu kakuchukulia demu wako au anatembea na dada yako.. halafu wewe kama kaka mtu haupendi.. tutasema labda hapa kuna suala personal kidogo.. lakini haya mawazo yenu ya juu juu tu.. kiukweli tunakosea..
  na pia nishawahi kujiuliza.. 1.. je ni kwasabau sikuhizi wanakuja ulaya halafu wanafanya show na kutuacha sie na maboksi yetu…. inshort .. HAWAJILIPUI… HAWAONI KAMA KUISHI ULAYA NI BIG DEAL TENA… ndo maana tunaumia kusikia wanafanya vizuri?

  2.. au tunawakataa tu kwasababu tumejisikia kufanya hivyo?
  3.. au hatujui kama mziki umesaidia kunyanyua maisha ya vijana wengi TANZANIA..?
  4… JE tumesahau kama ni sisi wenyewe ndo huwa tunashangilia tukiona wanamuziki wacongo au akina R kwere kwenye shows zao?
  naomaba tukubaliane kitu kimoja hapa jamani…
  WASANII WA TZ SIKU HIZI WANAFANYA KAZI NZURI NA NI UKWELI TUNAHITAJI KUWAUNGA MKONO KWA HILO… TUWEKE CHUKI BINAFSI PEMBENI… ILI KUNYANYUA MZIKI… namaaanisha MSANII AU MENEJA WA MSANII AU NDUGU WA MSANII ASIINGIE HUMU MTANDAONI NA KUANZA KUPONDA WENZAKE KWASABABU YA KUHOFIA KUPITWA..
  BABA WA TAIFA ALISEMA …. ‘ KILA MBUZI ATAKULA KWA UREFU WA KAMBA YAKE’

 19. emergencypoison Says:

  arrant nonsense!!
  …mpaka wasanii wa bongoflava mtakapogundua kuwa kujifagilia kuhusu magari na mademu hakuna maana ndo mtasikilizwa… unaweza kuimba kuhusu mapenzi bila kujisfu ooh blabla nina crib na upuuzi mwingine. msikilizeni matonya mpate fundisho….we fid q nyimbo zako zote ni kudis watu na mabeef tu…no body wants to hear that bull shit… am from mwanza by the way.

 20. any Says:

  KAJITAHIDI, KILA WIMBO NI MZURI KWA MAHALI TOFAUTI, TIME FULANI NA KWA AUDIENCE TOFAUTI. HAWA JAZZBAND KWA VILE RAP HAZIPANDI NDIO MAANA HAMWONI KAMA KAIMBA, ILA VIHIGH SCHOOLS VITAKUWA VINAMZIMIA. SO JAMANI EEEH MPENI DOGO CREDIT! MBONA MNAMNANGA KIIVO! MI NAONA IKO POA TU KWA KIZAZI CHA UMRI FULANI WATAMFURAHIA KULIKO KINA MAMA NA BABA YEYOO! SASA NYIE JAZZBAND KAMA HAMWELEWI ANACHOFOKA MSIMKASIRIKIE, KUNA VITEENAGERS VINAMFURAHIA APO KULIKO UNAVOWEZA KUFIKIRI.
  BIG UP KIJANA KWA KAZI YAKO, JAPO MI MZEE!
  BY THE WAY MACHO YAKO MAZURI..

 21. Kazi poa FID Q!Moto huohuo, UTAFIKA!

 22. any Says:

  Jeff usibanie my opinions. I just said mziki unafuraisha watu tofauti wa umri tofauti na sehemu tofauti na kwa wakati tofauti! Shida ilikuwa nini hadi hutoi maoni yangu.

 23. Oxalato Says:

  cool keep it real

 24. Bob Sambeke Says:

  Kazi Nzuri

 25. the beast Says:

  that’s not preffesional that was pretty local

 26. 1st class Says:

  “usine treat kama 2nd class, utakuwa umefanya 1st class mistake” fidQ bwana:) safi!

 27. FBI Says:

  hebu tumuulize yeye mwenyewe kwanza kama nakielewa vizuri anachoimba hapo.

 28. binti-mzuri Says:

  what i dont understand is..the song itself good,au tunashabikia video?and what makes a good video? i couldnt come with reasonable points,so i came to a conclusion i probably dont find any professionalism..just another work,by another random dude trying to make it big.. its based on luck..maybe its his chance,this time ariound.gudluck

 29. de minguez Says:

  yani uku juuuuuuuuuuuuuuu,thats one hell of a track next level babu,natamani uge fanya remix na talib kweli au dillated people ,yani hiyo trackyyyyy,ni international sound explosive
  ,ina deseve red carpet treatment

 30. any Says:

  hata wa majuu wanaimbaga pumba tu, vina havina mpangilio wala nini! na bado watu hawa afford kiingilio! ndio ivo ivo, sema ikiimbwa kiswahili ndio inaonekana inaboa, wakiimba wamajuu na wazungu watu wanajaa ukumbini! Kina 50cents kwani waliimba nini walipokuja TZ! chaaa. nipisheni mie.

 31. Hannes Says:

  i have seen him in hamburg at the neopunktour

 32. King Says:

  Yes u r nephew, Nuff respect, kip da game tit!!!!!!!!

 33. richard Says:

  MWANA NAMWAMINIA TOKA KITAMBO TOKA KIPINDI CHA HUYU NA YULE. NILIJUA TU FID Q NI MKALI. BIG UP MWANA!


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s