BONGO CELEBRITY

All You Wanted To Know But Didn’t Know How and Where

CONGRATULATIONS NAKAAYA!! January, 29, 2009

Filed under: Burudani,Muziki,Tanzania/Zanzibar — bongocelebrity @ 8:28 PM

nakaayabc112

Nilipomuuliza kwamba nini mipango yake ya baadaye kisanii au katika sanaa bila kusita Nakaaya alinijibu kama ifuatavyo; To be better and better and the best there ever was in Tanzania and in Africa. Hiyo ilikuwa takribani mwaka mmoja uliopita katika mahojiano yetu na Nakaaya ambayo unaweza kuyasoma kwa kubonyeza hapa.

Leo hii,Nakaaya anakuwa msanii wa kwanza kutoka Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla kupata mkataba na kampuni ya SONY MUSIC yenye makao yake makuu jijini New York nchini Marekani.

Kwa habari zaidi soma ujumbe huo mahsusi kutoka kampuni ya SONY MUSIC kama ulivyosambazwa leo kwenye vyombo vya habari.Hongera sana sana Nakaaya.Keep doing ya thing!

Nakaaya’s Photo/Stephen Freiheit

TANZANIAN SONGBIRD NAKAAYA SIGNED TO SONY MUSIC ENTERTAINMENT

An icon of contemporary Tanzanian music, Nakaaya, has been signed to Sony Music

Entertainment. Among the record label’s well-known subsidiaries are Columbia

Records, RCA Records and Epic records, just to mention a few. Nakaaya, who has

acquired a large following and growing fan base across the region, now makes

history by being the first East African artist ever to be signed to the second largest

record company in the world. The company’s roster includes internationallyacclaimed

artists such as Alicia Keys, Beyonce, Britney Spears, Celine Dion, Chris

Brown, Sean Kingston and many more.

The signing took place when Nakaaya was attending the “Music’s Relevance in Third

World Countries” Conference, in Copenhagen, Denmark, in late 2008. Sony Music

Entertainment spotted the Tanzanian artist during an interview with “Deadline,” on

the prominent Danish television channel, “DR2,” and immediately sought to sign her

up for a recording deal.

“We are very excited by having signed Nakaaya to our company. She’s an extremely

talented artist and we look forward to working with her in the future”, comments Peter

Groenbaek, Sony Music, on the signing.

After having burst onto the Tanzanian and East African music scene just two years

ago, Nakaaya’s popularity and recognition as one of the Region’s top artists

continues to grow, and her being signed by a major player in the international music

business is a milestone for her career and the East African music industry as a

whole. This historic signing is also a testimony to her talent and capability.

The lyrical content of Nakaaya’s music is inspired by social issues that have on-theground

relevance to Tanzanian, East African and indeed African audiences, with a

particular skew towards women and the plights of their everyday lives. Her musical

style is influenced largely by Hip Hop, R&B and some Afro flavour, and is essentially

a well-rounded depiction of Bongo Flava.

 

20 Responses to “CONGRATULATIONS NAKAAYA!!”

  1. any Says:

    hongera mami, duniani wawili wawili, hii picha kafanana na yvonne chakchaka

  2. BLACKMANNEN Says:

    Hongera sana “Nakaaya”,

    Mwaka huu watasema sana, lakini mwisho wake watakaa na kuona ukweli wa wazi kuwa, dada zetu wa Bongo sio wa kuangaliwa na kuwaona wana sura nzuri pekee. Ni wadada wabunifu na wakali katika mambo mengi, ikiwa ni pamoja na usanii wa kiwango cha kimataifa.

    Lakini dadaaa……., Lemba lako kichwani na wajihi wako uloshehenezwa na kila aina ya uzuri, katika mtazamo ulojaa huba na fikra za kimaendeleo……..!!! Duh!!! Mungu wangu, mie kauli imekauka kabisa!!!

    Kilichobaki kwangu ni kukutakia kila aina ya mafanikio katika shughuli zako za mziki na kuitangaza zaidi nchi yetu ya Tanzania kila kona ya dunia, na kuinua heshima ya dada zetu wa Tanzania na wanawake wote kwa ujumla katika Bara letu la Afrika. Kila mtu hujikuna pale anapopafikia dadaangu.

    It’s Great To Be Black=Blackmannen

  3. Maisha Says:

    Congratulation Bint, keep it up.All the best.

  4. Kelvin Says:

    INATIA MOYO NAKUPONGEZA SANA DADA! HONGERA SANA! NI FAHARI KWA TANZANIA!

  5. Mickey John Amos-Denmark Says:

    HONGERA “LADY BLUES” NAKAAYA.

    Ulifanya vizuri ulipokuwa hapa Copenhagen.
    Kuwa mmojawapo wa wasanii wa SONY MUSIC ENTERTAINMENT ni “Dreams come true”.
    Fungua njia kwa wasanii wengine kuleta
    maendeleo zaidi ya wasanii wengine-Tanzania.

    mickey@mail-online.dk
    Copenhagen.

  6. ANITHA Says:

    WOW! CONGRATURATION NAKAAYA U DESERVE THAT.. GOD BLESS U.

  7. sisterTZ Says:

    Aisee Nakaaya dada hongera sana..mimi nilishawahi kukuona pale mlimani city ulikuwa na rafiki yako..Hongera dada ila mambo kama ya Mariam Odemba usifanye..cheers

  8. Regls Says:

    Hongera sana, ulikuwa nao hawakukuona, you remember kili music awards? sasa mambo hadharani, sony sio mchezo dada yangu, najua you are now becoming a real superstar ambao hata hao organisers wa kibongo watatamani walau kupiga picha na wewe. Ombi langu kwako, dada zetu wa kibongo tunawajua chonde chonde uwe daraja la kuwavusha wengine na sio kidudu mtu kitakachofanya likitajwa jina la nchi yetu hakuna mtu anataka kusogelea.
    Of course u’re now a superstar pozi kidogo ni sehemu ya kazi yako ila isiwe kiviiiiile mpaka tukakumind.
    Gud luk, sky be the limit

  9. Azeez Says:

    Nakaaya,the proud of Tanzanian Bongo Flava.
    Sister we ni noma,of all the artists in East Africa you truly deserve the very best.. You showed how is it like to be a musician with a great vision. I must admit that whoever fight it hard will end up winning ,and in this context YOU ARE THE ONE

    CONGRATULATION NAKAAYA

  10. kliff Says:

    hongera sana

  11. binti-mzuri Says:

    very good nakaaya jamani!

  12. pedezhee Says:

    Tatizo mkataba, je amepata good deal? maana kuna artist wengi sana waliopata bahati hizo lakini mikataba mibaya inawaua kwa sababu ya shida na kutokuwa na upeo wa kuelewa wana sign tu.

  13. chapombe Says:

    jitahidi tu siku moja itakuwa poa japo mikataba yenyewe ya hawa watu wajanja inakuwaga ni ya utata utata,lakini usife moyo dada.kitu ninachotaka kukushauri ni kuepukana na wasichana fulani pale bongo,wakikuona mguu wa kutoka ndio watajifanya rafiki yao ili waonekane ni ma-celebrity,kumbe hawana lolote,kazi yao ni kujiuza tu.

  14. Mohamed Says:

    Congrats. Was and always will be a fan. Cheers

  15. Mattylda Says:

    hongera mwaya,utani kando mdada wewe mrembo khaaa utadhani umeshushwa!!!!!!kina kaka this time sijui nimforwardie nani kifaa hiki duuuuu naweza ambiwa nina upendeleo bure!
    Kweli man hapo vipi?

  16. BLACKMANNEN Says:

    He hehe he he heee Mattylda,

    Kazi kwake Kaka “Kweliman” uliyemfowadia kimwana NAKAAYA, maana atakumbana na akina dada wanaomzimia kimwana Nakaaaya. Yangu macho. Mambo yakienda vyema, mimi nipo kuwa MC kwenye sherehe.

    Ikitokea hivyo, hapatatosha, maana kina binti-mzuri, Lalola, Kahindi, any, Mwanamke wa shoka (UK), Mama wa kichagga, halima, michelle, eve wote watakuwepo katika sherehe hiyo. Bila kuwasahau Simon Kitururu, Dr Majita, Gervas, Chapombe, Edwin Ndaki, Dunda Galden nao watakuja kutupa tafu kwenye sherehe hiyo, wakiwa na pamba zao za nguvu.

    It’s Great To Be Black=Blackmannen

  17. Mattylda Says:

    hahahahahah Blackmannen kaka unakuwa kama umesahau Kweli man alisemaga one time mimi napendelea eti yeye simfowadii kimwana,ahh this time nakaaya wake sasa kina dada ndo itabidi wajipange upya!!!!!!!!!!!!!!!!

  18. ANON Says:

    hongera sana dada yangu, nakukubali sana

  19. doreen Says:

    congratulation sister


Leave a reply to any Cancel reply