BONGO CELEBRITY

All You Wanted To Know But Didn’t Know How and Where

MAXIMO AITA 27 TAIFA STARS February, 2, 2009

Filed under: Kabumbu/Soka,Michezo,Tanzania/Zanzibar — bongocelebrity @ 8:38 PM

maximo1

KOCHA Mkuu wa timu ya soka ya Tanzania, Taifa Stars, Mbrazil Marcio Maximo(pichani), alitangaza kikosi cha wachezaji 27 watakaoshiriki fainali za Afrika kwa nyota wa ndani, zitakazopigwa nchini Ivory Coast kuanzia Februari 22.Kwa habari zaidi bonyeza hapa.

Advertisements
 

9 Responses to “MAXIMO AITA 27 TAIFA STARS”

 1. mrdegree Says:

  haya mzee wa kubahatisha maksimo sisi yetu macho na masikio tu!

 2. DUNDA GALDEN Says:

  POA PIGA HATUA MAANA WA BONGO TIMU IKISHINDA YETU WOTE IKIFUNGWA YAKO SISI NDIVYO TULIVYO
  MUNGU IBARIKI TAIFA STAZZZZZZ

 3. mr degree Says:

  kwa maksimo tumelamba galasa!

 4. Philemon Says:

  Asante sana bro uliyetoa comment ya hapo juu..wabongo mpaka leo bado tuna ushabiki wa kinafiki..timu ikifungwa mzigo wooote anabebeshwa Maximo, tukishinda tunaanza kuisifu timu na tunamsahau mbrazil huyo…itatuchukua miaka kubadilika lakini naamini iko siku tutaachana na ushamba mkubwa wa mawazo ambao umetusumbua kwa kipindi kirefu.

 5. BLACKMANNEN Says:

  Marcio Maximo,

  Sisi ni Watanzania wenye maneno mengi sana, mpira tunauchezea mdomoni, lakini kama utaweza kutugeuza hulka yetu hiyo, ili tuanze kucheza mpira kwa vitendo, tutashukuru sana na ninakutakia kila la kheri.

  Lakini Mzee Maximo, utakapoibadilisha Taifa Stars na ifanye kazi kweli. Nakuomba uje pia katika team ya blogi yetu ya “Bongocelebrity”, ufanye vitu vyako ili na wenyewe waanze kufanya kazi za uhakika. Maana maoni yetu sasa yanakaa zaidi ya masaa 24 bila ya kuandikwa hapa.

  Waulize “mrdegree” na “DUNDA GALDEN”, wamebaki na maoni yao hapa BC pekee yao karibu siku mbili, bila ya kupata tafu ya maoni ya watu wengine. Tunakatishwa tamaa ya kutoa maoni yetu sasa.

  This Is Black=Blackmannen

 6. Freddy Macha Says:

  Naomba wakilisha ujumbe huu kwa Maximo kwa lugha ya Kireno.

  Oi Maximo tudo bem?
  Eu sou seu fa de muitos anos. Acho o senhor mudo bastate o jogo de futebol em Tanzania. Parabens!!!
  Eu quero bate um papo contigo.
  Quero te entrevista antes da sua saida com nosso.
  Sou bloggista e journalista muitos anos; moro em Londres.
  Ja viveu no seu pais por isto tou escrevendo o Portugues pouco em rolado.
  Manda para mim um email (kitoto2004@yahoo.co.uk) ou um texto +44-7961 833040.
  Tenho varios colunas ai em Tanzania e dois blogs en Suaheli e Ingles.
  Meu nome e Freddy Macha.

  Obrigado.

 7. BLACKMANNEN Says:

  Duh!!! Comment # 6 sijaona ndani

  Blackmannen

 8. kindo Says:

  Freddy hiyo siri gani tusiopaswa waTz kuijua? Tunakufahamu kwa uzalendo hivyo huo ujumbe lazima utakuwa kwa manufaa ya waTZ. Obrigado!

 9. Mattylda Says:

  Uwiiii Blackmannen hahahahahaha sina mbavu hapa comment # 6 imetoka xlu juzi juzi tu na mimi namsabahi Maximo kwa kitaliano.

  tuto bene??comestai?
  io chiami Matty,io bene etu??
  bravo!

  lugha za watu ngumu teh teh teh

  ciao!


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s