BONGO CELEBRITY

All You Wanted To Know But Didn’t Know How and Where

“SIJAOA”-REGINALD MENGI February, 11, 2009

Filed under: Magazeti,Mahusiano/Jamii — bongocelebrity @ 3:21 PM

mengi

Miongoni mwa habari za watu maarufu ambazo bila shaka zimegubika vichwa vya wengi wiki hii ni ile ya Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP,Reginald Mengi kukanusha taarifa za gazeti moja kwamba amefunga ndoa mpya na mwanamke mmoja wa jijini Dar-es-salaam(Lilian Kimaro) na kulaumu uandishi wa habari unaokwenda kinyume na misingi ya taaluma hiyo.Kwa habari zaidi unaweza kubonyeza hapa.

Pia unaweza kubonyeza hapa ili kuona baadhi ya maswali ambayo waandishi wa habari walimbana nayo Mengi lakini akakwepa kwa kigezo kwamba wakatafute wenyewe ukweli!

Photo/Venance Nestory

Advertisements
 

49 Responses to ““SIJAOA”-REGINALD MENGI”

 1. jazzie Says:

  Mengi aache uhuni. Huwezi kujibu hoja za ndoa na mambo ya ufisadi. OK, amesema hajaoa. Hiyo hatuwezi kumkatalia kwa sababu hatukuwepo kwenye harusi. Lakini hakutoa utetezi wake juu ya uhalali au uharamia wa picha iliyotolewa kama kithibiti. Hii “spinning” aliyofanya inaonesha jinsi ambavyo mzee anazidi kulosti.

 2. dan Says:

  Of course Mengi ni kati ya watu wenye viburi wasio kubali kushindwa, Kila mara mara anataka aonekane yeye yuko sahihi tu kwa sababu anvyo vipaza sauti! Hujaoa ndiyo labda ulukuwa unasherekea Birthday yako na Lilian Kimaro. Je kuhusu sisi tuliowezesha hafla nzima utatupaka changa la macho Pia, There is nothing wrong ukitaka hata 1000 kama Sulemani !!

 3. mdau Says:

  Huyu mzee mimi nafikiri sasahivi angeanza kuimba MIPASHO,kwa sababu haiwezekani wewe kilasiku,Ooooooooh mimi sijui nnaonewa,Ooooooooh sijui niafanywa nini,Kwa kweli we are fed up of your stuppid argments,an none of them seems to be productive to my fellow Tanzanians rather than just kind of “kiddish” publicity.Who are you wewe Mengi wewe,una nini kinakuwasha lakini,why dont u shuuuuuuuuuut up ,Whhhhhhhhy!Whhhhhhhhhhhhhhhy!Kwa niniiiiiiiiiiiiiiiii!
  I have kind of feeling kwamba something is not right somewhere,aidha unafilisika na unatafuta wa kumpa lawama kwamba he/she is a cause or wat?I dont know,I real don’t.Wats wrong with you,kelele kila siku.Imefikia hatua sasa mpaka watanzania ambao we dont give a f***about who the hell you are nao tutaanza kukusema sasa.Basi ufafanue yale mapicha yaliyoena kila sehemu ni yanini,maana huitaji kuwa mtabiri kujua nini kinaendelea kwenye zile picha,hata mtoto mdogo mwenye akili ndogo kama yako wewe “MENGI” ukimpa,atasema kwamba this is weeding ceremony.
  Wallah mimi ningekua JK,nngekua nshakutupa ndani wewe.Unawezaje ku-justfy upumbavu wako wa “NGONOZEMBE” zako kwa kutaka kuwaumiza watanzania wote.Kwa nini uanze kuleta concept za watu kuuziana silaha na kuuana wenyewe-kwa wenyewe,Wewe hujui kama ni maneno hatari sana hayo.Au unaombea hayo mambo yatokee hapo nyumbani ili uwe agent wa ku-import silaha.Una nini wewe,mbona mimi sikuelewi,eeenh!,pyssssssssssssssssssssssssssssssssssss!nyoooooooooooooooooooooo!mimi nna hasira sana na watu kama wewe,weweeeeeeeee!

  mdau,MASOMONI.

 4. Edwin Ndaki Says:

  Duniani kuna MENGI,
  ukitembea utaona MENGI .

  Mzee Mengi yanamkuta MENGI…
  ingawa hataki kuongea kwa undani kuhusu mambo MENGI…

  Basi ya Mengi tumuachie Mengi…
  yasije yakawa Mengi

  tukashindwa kujadili mambo Mengi
  yanayolisibu taifa la watu WENGI

  Tanzania yaani kweli safari ni ndefu..sijui tutafika lini ila kikubwa nawahakikishieni..

  TUTAFIKA TU!

 5. Juma Says:

  so what if he doesnt want to say his married, shut the hell up people let the man be. If yall know his married then why are u asking him stupid questions. wabongo bwana!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Does he ask you for water or food let the man and his new wife be. ONCE AGAIN SHUT THE HELL UP AND DO YOU AS YOU CAN SEE HIS DOING HIM.

 6. BLACKMANNEN Says:

  Duh!!! Hapa leo ni pa moto……!!! Mzee MENGI anakaangwa. wakina “mdau” – comment # 3, wamepandisha mizuka ya kikwao huko masomoni!!!! Mimi leo yangu macho tu. Ngoja kwanza nikachukue popcorn na kinywaji baridi, bila kuisahau miwani yangu.

  This Is Black=Blackmannen

 7. MDAU Says:

  HIVI MENGI NDO AKIFANYA KOSA, AKIJITETEA KOSA, NA HATA ALIYOFANYA NA ANAYOFANYA MAZURI KOSA, HAYA SASA SI MLIMNUNUA HUYO DEMU ILI AMCHAFUE, OK WELL MBONA PICHA ZA HIYO HONEY MOON HAZIKUONYESHWA, JAMANI NI MAISHA TU KAMA YA WENGINE, SI NAYE ANA ROHO. INATOSHA.

 8. Eddie Says:

  Huyu mzee tumemchoka sasa kama ufisadi yeye ndio fisadi namba 1 ila yeye hajioni tu sasa matokeo yake yatakuja kujulikana ndugu yangu hata ungekuwa wewe ungeziona zile picha ungethibitisha kwamba huyu mzee ameoa

 9. bella Says:

  Muacheni mzee wa watu. Nyie mnaomsema sema ni wivu tu. Wivu mtupu!

 10. cime Says:

  MIMI NIKIDHANI KUWA KUOA AU KUOLEWA NI JAMBO LA SIFA NA MAANA! KWA MKUU HUYU, NI JAMBO LA KUKANA NA KULIKIMBIA KAMA UKOMA! AU HATAKI KUHARIBU PR YAKE KWA VIMWANA! MAANA MTU UKISHAOA TENA HESHIMA MBELE. HIVI HAJAWAHI KUOA MAISHANI MWAKE?

 11. mbavu Says:

  HA! HA! HA!!!!! MDAU UMENIFURAHISHA SANA!!!!!!!!!!!!!

 12. Mattylda Says:

  Makubwa!!!!!!!!!
  kwani mheshimiwa picha zile zilikuwa ni birthday au???maana haina logic sasa mlikaa mkao wa harusi zaidi ndo maana hata mie nilijua ni harusi tu piga ua maana kuna mikao ya kibirthday,functions and harusi……..picha moja maana 100,kama kuoa ni jambo la heri kwa nini uogope babu??tatizo kila siku unalalamika sana unaonewa wewe tu?????unless otherwise hongera kwa kumuoa mrembo Lilian!

 13. kabwe makanika Says:

  Kwa kweli mzee mengi sasa, unatuchanganya, kila kukicha ni habari zako. jambo la maana baada ya kukanusha, ungejibu maswali ya waandishi wa habari kifasaha, kwa kuwa picha zako zimetoka katika vyombo vya habari. ungesema kama ulikiwa picnic, ama kwenye send of ya mtu wa kalibu na wewe n.k. kuwaambia waandishi watafute habari wakati wewe ndio habari yenyewe nadhani ukuwatendea haki.
  Jenga utamaduni wa kujieleza na kusema ukweli na utamaduni wa kutoa nafasi kwa wengine kukuuliza na kupata majibu sahihi.

 14. mr degree Says:

  tatizo lake anaajiri watu wenye upeo mdogo na elimu ndogo ambao wanashindwa kumwambia NO kwa kila analotaka kufanya au kusema.pia anatakiwa ajitofautishe yeye na biashara zake yaani “separate entity” yeye anatakiwa kuishi kama yeye na biashara zake zinatakiwa kujiendesha zenyewe. akimudu kufanya hivyo hatutomuona akilialia kwenye TV zake na magazeti yake kila siku. mbona hatuwaoni wamiliki wa star TV ama chanel ten wakisifiwa kila siku kwenye vyombo vyao? yeye anatumia vyombo vyake kwa interest zake za kibiashara kupitia mgongo wa kupiga vita ufisadi. yeye akiguswa kidogo analia! pia aache tabia ya kuamini kuwa watanzania wanamuona yeye ni mtu muhimu sana kiasi kwamba akilia tutamuonea huruma! afahamu kuwa akifanya uzinzi ataandikwa tuu akiongea pumba ataandikwa pia. vyombo vya habari vipo kwa ajili ya kukosoa upuuzi kama huo anaojifanya kuupiga vita huku yeye akiufanya. mnafiki mkubwa huyo mzee

 15. lilian sis Says:

  Nyieeeeeeeeeee watu hebu niachie mume wa dada yangu ndiyo kashafunga ndoa hivyo sasa nyie mnaona donge tuachieni na sisi familia tule maisha ya ippmedia kidogo

 16. luck_lady Says:

  kama mngemjua huyu mzee kama ninavyo mjua msinge sema yote hayo, coz he nice and kind so msimuharibie katika macho ya jamii inayo muheshimu sana, na hao watu wanotaka kumchafulia jina lake wamengonga mwamba coz bado tunamuheshimu kama baba yetu.
  Kama mtu anauwakika yeye yuko safi basi na awe wakanza kumtupia mawe ila najua hakuna hata mmoja so stop doing this to him

  Fanyeni kazi kuinua uchumi wetu na kuacha kufatilia maisha ya watu wengine.

 17. Natty Says:

  He jamani eti kaoa eti sijui nini yanawahusu?kwani akioa yeye nyie kinawahusu nini? you people mwacheni baba wa watu nami naungana nae kuwaita wote mafisadi mnaotaka kumuangusha chini wala hamumuwezi Mengi hakuna mtu yoyote mdogo kwa mkubwa asiyemjua Mengi amesaidia wengi kwa mengi ata kwa taifa letu alituondolea aibu kwa kutuletea kituo cha matangazo mataifa mengine yalikuwa na vituo vya taifa sisi tulikuwa na itv sasa tumepata tbs sasa ndo mnaanza kuchonga .Baba kaza but hayo ni maneno ya wakosaji wasiopenda maendeleo ya wenzao ya kwao yanawashinda wanaanza kuongea habari za Mengi,shuhulikeni na maisha yenu muendelee watanzania wenzangu tunazidi kusubiri maisha bora kwa mtanzania kwa majungu badala ya kufanya kazi na Mengi ndio mfano bora na mchapakazi bora na inafaa tuige mfano kutoka kwake nasi tuwe wabunifu kama yeye na si kusubiri raisi atuletee maisha bora.
  AMKENI JAMANI ACHENI MAJUNGU!!!!!!!

 18. Gervas Says:

  Why making it a big deal anyway? kuoa? au kukanusha kutooa? I thought it is a personal decision!!. Kama binadamu ana haki ya kuoa au kusema uongo.

 19. eve Says:

  kula hamli mtaishia kunawa tuu!!!!! ndo tushapata new wifi babu mkome vimbelembele nyie mnaomkandia kakangu mengi tena mfyate vilip vyenu halo halo wenye wivu wajinyonge mlitaka aendeleleeeee kuishi bila mke halo babu anakula kuku wake kwa mrija wa juice babu eeeeee mkome mtaishia kuchonga tu nani ambaye hapendi raha hapa duniani aku babu mkomage!!!!!

 20. papuu Says:

  arudishwe marangu akatambike tena.. mwaka huu mafisadi yatavumishwa,wewe ukiwa mmoja wapo..

 21. mbavu Says:

  NISAIDIENIE WADAU AU EDITOR WA BC KUPATA LINK YA KUJIONEA HIZO PICHA ZA “HARUSI” YA MENGI KWANI TUMEPITWA WENGINE!

 22. anony Says:

  kwakweli picha za mengi,jaribu website ya utamu maana ni huko ndio alikua anakanywa aache tabia mbaya na mimi ndio huko nilikozionea. kwakweli alipendeza sana,na amejipatia jiko dogo dogo kabisa.. very beautiful wife,ila nasikitika sana kwa mengi kujishusha sana na kujiweka level moja na waandishi wa habari.si uignore tu mzee,unakanusha sana au kweli nini?picha tumeziona sasa nini tena? au mpaka waweke za honeymoon?

 23. Mwanamke wa shoka (UK) Says:

  For heaven’s sake what’s the deal here..!!…

  ….or am I losing on the theme of the BC..????????????

  ….maisha ya mtu au watu ya nini yarabi????….Kuoa au kutooa kwa Mengi kuna faida gani kwa watanzania…hayo ni yake na familia yake….those are his PERSONAL AFFAIRS

  …..what’s the deal then…lol

  ….Kwa nini wabongo tunapenda kufuatiliana saaana mpaka nguoni….?????????????

  Kuna mambo nyeti yangeweza kuongelewa hapa BC…lakini katu sio kuoa ama kutooa kwa Mengi…..it doesnt help

  ….UFISADI UFISADI…i am bored of this song……(I feel like throwing up…)….as uasual….umeishia kuwa ni wimbo tuuuu…nothing is going on ….lol

  Lets start being serious….lol

  ISSUES:…..UCHUMI….quality ya maisha ya watanzania….(now I am talking about the common Tanzanian…na sio Mengi….and his type…)…declining quality of education
  ….poor infrasturcture……WATER crisis……Energy crisis…..

  …there are so many issues of national importance na sio personal issues….

  …..kazeni buti…tutafika tuu….dereva angalia vichwa…..(teh teh teh……its good to have a laugh….lol)

 24. Nautiakasi Says:

  Eve you sound like pashkuna flani hivi…..!

 25. Mwanamke wa shoka (UK) Says:

  Mengi should be properly dealt with….hii concept ya watanzania kuuana na issue ya silaha kavitoa waaapi???…cheonde yarabi tupe salama

  …..walahi ningekuwa cheche ningeshamvaa for security purposes…..a proper interrogation is only what he has to go through….naona vi-cheches are up to their big five….where are they….issue ya silaha whyyyyyyyyyyyyyy Mengi…..unaota ama ndio unapanga deals zako….ingekuwa wakati wa the Senior JK (R.I.P)…wala usingekuwa unabwata bwata kama unavyofanya hivi sasa…..wanakulea saana

  …..ishia and enjoy your honey moon…though its just a count down….down the hill….lol

 26. Ajeshi Says:

  Jamani ndugu zangu mimi binafsi simfahamu vizuri huyu baba lakini, hii mibaba imezidi kila mtu anaachana na mke wake mnawatelekeza watoto wa watu kwaajili ya hao malaya mtakiona siku ikifika ya hukumu ya mwisho huko tusikokujua mungu anaanza kutulipa hapa duniani. Miminaishia hapo kwanini msibaki na wake zenu au waume zenu sote huwa tunaapa kanisani au msikitini, “nitakuwa nawe kwa shida na raha. Sasa shida ndio hizo au raha ndio hizo. Jamani muogope mungu na mtume mohamed kwa wale wenye dini.

 27. mdau Says:

  Kwanza wewe editor wa BC umeniudhi na wewe,kwa nini ume-dilute maneno niliyoandika jana usiku pale #3,Naanza kukosa imani na wewe pia.Are you one of MENGI’s puppet?Yeah,u must be.Wewe haiwezekani mimi niandike maneno ya kizalendo kama yale halafu from no where unayatoa,Whhhhhhhhhhy?Whhhhhhhhhhhhy?Kwa nini?Kama ndo hivyo basi usiwe unatubipu wazalendo kama sisi,kwa sababu ukinibipu na hoja kama hizi za mtu kuongea upumbavu kama huu wa kuuziana silaha,Halo lazima nikupigie.Wewe unafikiri yakitotea machafuko hapo huyu mtu atakuwepo hapo?Wataumia ndugu zangu mimi kule kijijini ambao hata mlo wa siku moja kwao ni shida kwa kweli.Jamani Watanzania,lets be serious jamani,This is Bullshit!!
  Mimi nakwambia yaani sijui nna jazba sijui hasira wala sielewi kwa kweli waungwana.
  Hebu ngoja niwapeleke “studio” waungwana wenzangu.

  ……….Tazama ramani utaona nchi nzuriiiiii,yenye mito na mabonde mengi ya nafakaaaaaa……..nasema kwa kinywa halafu kwa kufikiriiiiiiiii,nchi hiyo…………………
  Majira yetu hayaaaaaaaa,yangekuwaje sasaaaaaaaa……….

  Hey wana BC,come on!sing with me jamani.Kwa sisi tuliosoma shule za S/M (YOU NAME IT).S.L.P (YOU NAME IT) we can sing,sio hizi shule za sikuhizi za fm-academia, au shule za asante…..(St xxx,St xxxx).Wale tuliosoma shule za mtaani(shule za msondo)ndo tunaweza kuimba hizo nyimbo.
  Oooh,sorry,I didn’t finish.Kwenye kile kibao cha shule lazima chini yake yapandwe maua ya “saa nne”,Jamani wenzangu mliosoma shule za MSONDO mnayakumbuka maua ya saa nne?ni yale ambayo ikifika saa nne,yana chanua.

  Kijana wenu,mdau.

 28. Edwin Mdaki Says:

  mdau ..

  umenikumbusha mbali sana ..mambo ya maua saa sita?..

  umenikumbusha pia wengi wetu shule zetu za msondo zilikuwa na kengele za lile lichuma la gari ..tee tee..

 29. any Says:

  HAJAOA BWANA ILE NI COMPUTER TU IMEFANYA VITU, PICHA ZIMEUNGANISHWA HIZO
  MWACHENI MWENZENU AOE, KWANI MLIAMBIW AKADONDOKEWA KITOVU?

 30. any Says:

  MWACHENI AOE KWANI ALIDONDOKEWA KITOVU UTOTONI?

 31. binti-mzuri Says:

  kazi kweli kweli aise mengi,inakuaje msee?

 32. ds Says:

  …kumbe na anko mengi “BADO YUPOYUPO!?????”,

 33. Mattylda Says:

  Mdau umenikumbusha maua saa 6 kila mtu na kiunga chake sasa ole wako usikimwagilie …lol!!!!!!!jamani long time.. Edwin Ndaki sikwambii kengele ya chuma ikilia saa nne kukimbilia mistarini teh teh teh !!!!!!

  tuna mengi sana ya kuzungumzia kuhusu nchi yetu mojawapo ni hata huyu mheshimiwa pia si kawekwa hapa???sasa muhimu tulizungumzie hili pia kaoa/hajaoa is up to him lakini picha zile zilikuwa za harusi au send off au birthday au jiko party??????swali bado liko pale pale!!!!!!!!!

  Nautikasi kula 5!!!!!!!!

 34. halima Says:

  Mimi nilifikiri kafumaniwa kumbe kaoa hayo ni maamuzi yake binafsi kwa hiyo tumuachie yeye kama yeye anafanya kile anachotaka…….

 35. Dinah Says:

  Mdau #27 asante kwa “msamiati” kumbe zile shule zetu ni Msondo hahahaha comment yako ndio iliyonifanya ni-comment.

  Mengi kutokana na uzoefu wako wa “kimedia” nakuwa kwenye macho ya jamii kwa muda mrefu hukupaswa kukanusha wala kukubali bali kuendelea na maisha yako.

  Kama hukukubali wala kukanusha Kumtaliki mkeo na mkeo mwingine miaka ya nyuma kitu gani kimekufanya leo ukurupuke na kulizungumzia hili??….acha kujiongezea maadui baba, au ni Uzee unakuja vibaya?? 🙂

 36. any Says:

  “PERSONAL DECISION YA MTU” IHESHIMIWE. HAAAAAAA! WANAHABARI WANAITAJI KUFUNDWA/KITCHEN PARTY YA MAADILI YA UANDISHI.

 37. any Says:

  MENGI inabidi akue sasa, aache kulia lia, kila siku analia ooh wananionea, ooh wanataka kuniua, ooh wananionea. Grow up and stick to ur gun, kuoa kwani ni crime?

 38. sisterTZ Says:

  wadau mimi nimesoma commments zenu..kwa kweli nashindwa kumuelewa huyo baba..hivi kwani kukubali kuoa mbona is a simple thing jamani..by the way wadau mimi nina picha za hiyo harusi na ameoa huyo mdada anaitwa Lilian Kimaro na ni mwanasheria na pia nasikia kaacha kazi (wanawake wengine bwana hmmmmmmmmmmm)

 39. SISI Says:

  Duh huyu mzee jamani shule haipandi ila sasa kama kaka mmoja alivyosema hapo juu inabidi aajiri watu ambao wameenda shule ili ajua jinsi ya kuhandle business zake na maisha yake private..jamani mbona huku Ulaya matajiri wanaoa watoto wadogo na wanakubali tu kama kawa sasa Mengi achache ushamba na akubali tu kuoa. Na kwa taarifa zenu wadau mbona picha za hilo harusi zipo kwenye circulation za emails hata mimi zimenifikia sasa ninavyosoma hapa eti mzee anakataa kwamba kaoa duh h h

 40. DUNDA GALDEN Says:

  MENGI KAMA LILIVYO JINA LAKO TUNASIKIA MENGI SANA TOKA KWAKO KUO AU KUTO KUOWA MZEE SIJAMBO GENI HAPA DUNIANI NA KAMA UNAKITABIA FULANI CHA AJABU KUMBUKA WAKATI USHAKUWA UKUTU MZEE
  POLE SANA KWA MASAHIBU YANAYO KUKUTA YA KILA SIKU

 41. zawadi Says:

  mh………cjui na sna uhakika..me naona angesema tu ukweli na cio kubisha haipendiz kwa mtu km yeye kwani kuoa jambo la kheri na km hajaoa aseme na atoe sababu za msingi kwan picha zinaweza tu kutengenezwa..babu ee..kubal tu kujibu maswali ya waandishi au unaogopa watakubana hadi penat,na km kweli umeoa achia hadharani watu wajue ucifiche ili na mamaa naye ackie raha unamkosea hata km iko ndan ya makubaliano yenu.

 42. star Says:

  mimi nadhani ni kiburi cha pesa duhhhhh

 43. mtaalamu Says:

  wabongo nanyie bana hamjua mtu anaweza kumchafua kwa kufanya manuva na computer tu mimi ni mtaaalamu wa computer naweza kufanya nayo manuva nikaweka hata raisi kamuoa kylnn na si kweli! au hamjui technolojia jamani haya yanawezekana ni mambo ya computer tuu na by the way hii sio issue saaana ya maana so tumind biznes zetu au sio?

 44. Mattylda Says:

  Analo!!!!!!!!!!!mtu mzima o………….yo

 45. mimina Says:

  babu weee kwa raha zake tena halipi vat oa baba dada kula raha subiria kufunguliwa kampuni na wewe kwa raha zako poleni nyie mnaoumia

 46. edddoes-de-ale Says:

  HIVI NYIE HAMJUWI MENGI, JIULIZENI ALIMWACHAJE MKEWE, NI MOTO WA KUOTEA MBALI, MZEE SI MCHEZO HUYOO

 47. msema kweli Says:

  watanzania jamani jishughulisheni na maisha yenu, inasikitisha mnapata wapi muda wa kusasambua maisha ya wenzenu. maisha yenu yanawashinda mnaingilia ya wenzenu. Mwachieni Mwenyezi Mungu Amhukumu. Wabongo kueni jamani acheni ushamba na utoto

 48. Mikasi Says:

  Bwana Mengi nakutakia kila la kheri ktk maisha ya ndoa, ni uamuzi wa busara kwa mzee kama wewe kuwa na mke. Niliona mishipa ilivyotokeza kichwani wakati anacheza muziki na mkewe Lillian nikajua hapa aliona anauweka maana mawazo yake yote yalikuwa kurudi nyumbani kupumzika na mkewe.

 49. jullie Says:

  madame ritha pole mama mzee anapenda sheria


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s