![](https://bongocelebrity.wordpress.com/wp-content/uploads/2008/02/flavy01.jpg?w=336&h=448)
Unapozungumzia nywele fupi,au kipara miongoni mwa wasichana/warembo au wanawake kwa ujumla nchini Tanzania,pengine hakuna jina linalokuja akilini haraka zaidi ya lile la Flaviana Matata.Pichani ni Flaviana alipokuwa Paris,Ufaransa mwishoni mwa mwaka jana kwa matembezi na mapumziko.
UKISEMA NATURAL NDIO HII, MWEE HAKA KA DADA HAKA HAKI YANANI….!!
Huyu upara unampendeza sana ila hiyo mimacho mwenzangu wala walimkosea kumpaka miwanja mingi kiasi hicho mbona mnatutisha wenzenu lol.
Sasa ujue bongo imekua fashion baada ya kuona katoka na upara,Go girl u deserve more
Flaviana keep it luck ladie wadau wa modelling tupo tunakupa support then i like u’r style upo unique,models watanzania tuwe wabunifu zaidi na tujitahidi kuwa natural na confidence!!
ila hii picha katoka kama kajini…….na hilo likoti la manyoya mmmh jamani tutauana……
kipara sawa kinakupendeza ila bongo naona kila demu anataka ageze wengine mabichwa box jamani msigeze tuuuuuuu!
ni hayo tuu!
kwa lugha ya kimataifa inaitwa INGETYO!
Baada ya haya maneno mengi nasema HAJANIPENDEZA/HAJANIPENDEZEA/SIJAMPENDA
Utabiri wangu….
JK anamchomoa Meghi wizara ya chapaa…
Hardworking man…Magufuli anarejea kwenye wizara mpya tofauti za ardhi.
ana sura nzuri na kipara kinampendeza ila hiyo mi eye lashes mhhh na mimake up mhh
Go Girl!! go ‘n get them!!
Coz you are the next Odemba, Oluchi, Iman, Liya Kebede or Alek Wek.
Keep it up mamaaa coz u will reach the top of the Big Apple!!
Anapendeza tu hata akisuka….hebu sikumoja uje na style ya kusuka minyoosho tukuone jamani!
Naona bongo sasa hii ndo fashion iliyopo kila mtu ananyoa wengine mhhhhhhhh kama alivyosema Prisca wanaogopesha!
Kazana mdada uwe supa model wa ukweli ukweli!!!ila sijavutiwa na hizo kope za bandia na hiyo michoro mieupe!!!!!!!
Ni mrembo, na tena amepunguza gharama.
Huyu mtoto ni mzuri sana na huo upara wake huwa anapendeza sana coz she look so natural, lakini sasa hayo macho mama yangu duuu!! aya ndo umodo!!!
Nawaunga wote mlioyaona hayo macho…. kama mchawi!!
Anatisha! Tafadhali advise the girl***
jamani sidhani kama kope kaweka kwa kutaka kumbukeni ni moja ya kazi ya models kutangaza vitu,sasa kama alipata dili asifanye eti kwa sababu anatisha akiweka!Ndo modelling hiyo go girl utafanikiwa tu usisikilize maneno ya watu wanataka kukukatisha tamaa tu
iyo picha hakupendeza kabisa izo kope aliyemueka kamnanga
para ndilo lenyewe …..
AMEPENDEZA MWAYA KAMA TUMBILI
trez nakupa big up we ndo umeongea point ya maana. katoka kama dume la nyani ila akiwa bila make up anatoka bomba