BONGO CELEBRITY

All You Wanted To Know But Didn’t Know How and Where

“ANITA” KUTOKA KWA MATONYA February, 23, 2008

Filed under: Bongo Flava,Burudani,Muziki,Single/Mpya — bongocelebrity @ 5:17 PM

 

Jina la Matonya(pichani) hivi sasa ndio jina linalotajwa sana vinywani mwa wapenzi wa muziki,hususani huu wa kizazi kipya.Siku za nyuma kidogo alitamba sana na wimbo wake wa Violet.Kabla hata wapenzi wa muziki wake hawajatulia,hivi sasa anatamba na kibao Anita.

Kibao hiki ambacho kimepikwa ndani ya studio za 41 Records za jijini Dar-es-salaam, ni single kutoka katika albam yake anayotarajiwa kutoka nayo mwaka huu.Bonyeza player hapo chini usikie kitu Anita kutoka kwa Matonya akiwa amemshirikisha Lady Jaydee au ukipenda Jide.

Advertisements
 

34 Responses to ““ANITA” KUTOKA KWA MATONYA”

 1. NYAKATAKULE UNYILISYA ECHALO Says:

  Matonya hongera sana, hii ni kazi iliyotulia.
  Jitahidi zaidi na zaidi kwa kutafuta ushauri kutoka kwa wataalamu wa fani utafanya vizuri zaidi ya hapa.

 2. amina Says:

  nyimbo nzuri…ila kwa kulalamika na huyu naye..idea zunafanana kila siku anamlilia demu..ila hongera ndo bongo fleva hiyo..hip hop haiuzi hahahaha

 3. nancy Says:

  nakufagilia sana m2 wangu keep it up

 4. tatu Says:

  Hongera matonya sanaaaaaaaaaaaaaaa

  Anita wakooooooooo amesimama kimtindo.

  Utafikiri violet bana safi sana njoo hivyo hivyo dogoooooooooooooooo.

 5. Senyandumi Says:

  Matonya ulikua kambi gani?I mean JKT.Umenikumbusha mbali!!

 6. Jackline Says:

  Du imetulia sana. Big up man!

 7. Jackline Says:

  Big up man Imetulia kinoma

 8. Matty Says:

  Safi sana kibao kimetulia ila uso unahitaji soap soap kidogo nahisi!

 9. tatu Says:

  Mmmmmh uso na hapa vimeusiana nini angepaka mkorogo mngesema ajajipaka mnasema walimwengu hawakosi cha kusema jamani khaaaaaaaaa!

 10. TM Says:

  Aha ah Amina umenchekesha,maana umegusa ukweli,Jamaa kwa ubembeleza mademu yuko juu.
  Matonya Saaaaaaaafiiiiiiii,safiii sana.

 11. zawad haji Says:

  kaza buti mwanagu usije ukajisahau tu kwani kwa sasa uko juuuuuuuuu!!!!!!!!!!!!!!1

 12. Matty Says:

  Tatu,Amina uso nilikuwa namaanisha reception yake aikarabati kidogo si kwa mkorogo ila hizo pimplessssssssss sorry kama nimemuingilia nguoni wapendwa!

 13. amina Says:

  matty..mi sina shida haina haja ya kuniomba sorry ila nilikua nakutahadharisha tu..kuna watu wanahasira watakushambulia

 14. rasmagacha Says:

  BIG UP TONYA. da song is tight na inaflow vinoma.

  keep it up.

 15. jane Says:

  Matonya asante kwa kitu cha maana ulichotupatia wapenzi wa muziki e bwana kweli inasikika sauti ya mwanaume,lakini pia Jide kwa nyuma anaweka nakshi ya uhakika!ebwana songi limetulia.wawaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

 16. matonya guud bro,
  after vailet umempata Anita, hope she will be b.mdogo

 17. hongera kaka unafanya freshi

 18. sio siri msela umefunika kinoma

 19. Tonny Says:

  Hi guy

  E bwana saruti saaaana m2 wangu Tonya embwana kaza buti kijeshi jeshi hivyohinyo utafika.

 20. Adha Says:

  Aisee huu mwimbo umesimama big up matonya. kazi buti,

 21. Josekarll Says:

  Matonya hongera na uendelee na kazi yako zuri ya utunzi wa nyimbo tamu tamu. Mterehemizi abariki kazi ya mikono yako, enyewe matonya mimi ni fan wa Bongo flava ingawa natoka Kenya. Haswaa nina hamu sana kupata album yako yote ya Anita Wangu. Nataraji utafanya mpango ……..see yah great man.

 22. Josekarll Says:

  Eeeh bwana kazi zuri iliyowatisha wasanii wengine na kuwatia kiwewe kwa kufuma kutoka Tanzania hadi Kenya, hongera. Endelea vivyo hivyo.

 23. austino Says:

  kipaji nzito kajisambaza enyewe,uko top na tupe lingine tamu kama ili.

 24. NABILAH Says:

  safi sannnaaaaaaaa matonya” ANITA” Imemfanya mtu kumkumbuka mpenzi wake!

 25. mundish Says:

  Big up bro ngoma zako zinashika kweli,mimi ni mkenya hapa England lakini umetubamba kinyama.tia bidii ivo ivo

 26. kamuabaabaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

 27. lydia Says:

  matonya, your songs are the bom i like them so badly, such such i would love you to have some dancers and have me us one of them

 28. lydia Says:

  congratulations Matonya!! songs zako zinaflow vinoma tu sana, endelea na mwendo huo.

 29. gilbert-kenya Says:

  matonya, good work man.anita is my favourite i have watched and watched it.ua anita is really cute.cheers

 30. judy Says:

  good work mate,the song is amazing

 31. Charity Cherono Says:

  Hongera sana MATONYA,this song is wonderful.Cheer-up man and keep the candle burning.

 32. fifi Says:

  Bwana matonya miziki yako mizuri saana.
  alakini sisi watu wa Burundi tuna ubishi kidogo eti kati ka muziki taxi bubu ule msicana ndiye aliyeceza filamu ya kitanzaniya inaitwa Oprah? tunataka jibu.

 33. REHEMA DOUCH Says:

  Mimi nakupa hongera kaza budi katika fani yako kila heri


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s