BONGO CELEBRITY

All You Wanted To Know But Didn’t Know How and Where

BC GUESTBOOK November, 4, 2007

Welcome/Karibu,

Feel free to sign our Guestbook and please visit us again,daily.

BC Team.

Advertisements
 

116 Responses to “BC GUESTBOOK”

 1. One simple site with lots of good information.Keep it up .We need these kind of information and news for the growth of our societies.

 2. Angelina Says:

  i simply get evrything i need from BC, keep it up. big up.

 3. Louisa Says:

  The site is super cool, calm and very collective; above all it is one among the best, keep us posted!

 4. Fresh Says:

  Ingawa blog ziko nyingi sana siku hizi zinazotupatia habari za nyumbani, BC ni moja kati ya blog ninazoziheshimu kwa umakini wake wa kutupatia habari za nchi yetu pamoja na watu wake kwa ujumla. Nawapongeza na nawatakia mafanikio zaidi na zaidi. Daima mbele nyuma mwiko.

  Fresh.

 5. gang chomba Says:

  sie’mpre BC

 6. Terry Gaston Says:

  BC,I love your site.You keep me informed and entertained.Keep it up guys.Nyie ndio mnaoitwa role models.

 7. Flojoma Says:

  what can i say! kwanza naanza kwa kuwashukuru sana BC big up sana jamani hii blog inatisha yaani ina habari motomoto.nawapongeza sana lkn bado tunaomba mzidi zaidi na zaidi kazi yenu nzuri sana.naipenda BC nawatakia kazi njema.

 8. Mo Says:

  I only recently came to find out about this site and wow,u guys are doing a great job..Keep the good work up n God bless ya’ll

 9. Chris Says:

  Yeah, i found the out the site km mwezi now. I had 2 pass on previous stuffs. It’s really interestin’. Nilikosa mavituz kibao. Ni hazina kwangu cuz nazidi kuji-feel niko Bongo kila siku. More issues guyz. Keep it up. But keep on advestisin’ the site.

 10. Johan Soderberg Says:

  Hi & thank you for a nice site. Keep up the good work.

  Greetings from the north.

 11. john lameck Says:

  eeeeeebwana mambo yenu yanatisha kwelikweliyani miminimewakubali ile mbaya.hamna mpinzani mazee mnatisha.amani kwenu.kazi njema watu wangu

 12. Flojoma Says:

  BC katika vitu mnavyonifurahisha navyo kwanza nikwapa uhuru watanzania wote kufahamu hili na lile ndani na nje ya tz. kuwapa uhuru wasanii wa aina zote wa kuzungumzia kazi zao. ama kwa hakika mnastyle pongezi kwa kujituma. zaidi tunawaombe mungu azidi kuwaimarisha tuko pamoja bega kwa pega ili kuiendeleza BC.bongo celebrity inatisha tunaomba na wengine waige mfano wa BC.
  BY CATHY!

 13. JOHN GODSON Says:

  ooooh nime enjoy alot aiise hii kitu imetulia makamuzii zaidi jamani kumbe BONGO tukoju kii viiiiii JOHN GODSON

 14. Philip Says:

  Kaka this is an awesome site!!! SAAAAAFI!! Many props!!!!!!!

 15. kumpuni Says:

  safi sana jamani na kazi ni nzuru ila jaribunikuwa na taste ya rangi hapa front page.otherwise its kul!!.

 16. sariro Says:

  I appreciate your efforts,but try to fill the page with the names of politians for us to learn more,after all your works are good

 17. Kiweli John Says:

  Sorry my swahili is not that good any more, can you give us an english summary sometimes? How about
  some advertising to support this great site.
  Thank you for linking us with home.

 18. joe matayo Says:

  Hi,hii site yenu ni nzuri sana ila problem ni colour,rangi ya hii BC imefifia sana jaribuni kuifanya iwe bright kama ya Michuzi senior.

 19. yoely Says:

  naikubali BC,naichukulia kama sehemu ya maisha yangu haipiti siku bila kucheki bc,big up wahusika,

 20. Matty Says:

  Kazi nzuri sana mimi nikikosa kuingia hapa najisiskia vibaya sana,keep it up!

 21. drwho HUSSEIN Says:

  THE TRUE COLOURS OF MWANAKIJIJI (MKJJ)

  MKJJ Kwa nini mada ya waitwao ‘waliofanya mzaha’ ndo iwe na umuhimu katika masahili baina yako naye? Wewe Mwanakijiji na Mwakyembe mlijuaje kuwa maafisa wa Serikali ndio wamefanya mzaha au wameongopa na isiwe wengineo waliowasilisha taarifa mapema?
  HATIMAYE UZALENDO UMEKUSHINDA UMEANZA KUONYESHA RANGI ZAKO KAMILI KWA KUWAPIGA MKWARA WATUMISHI WA UMMA.

  Leo nakuondolea uvivu ewe ujiitaye MKJJ maana suala la KUJITAHIDI KUWACHANGANYA NA KUDANGANYA UMMA KUWA WEWE NI MWANAHARAKATI WA HAKI NA MAENDELEO KUTOKA KAMBI YA UPINZANI WAKATI SIYO NI UNAFIKI WA HALI YA JUU. Unatakiwa kufanya kazi ambayo kwayo umeajiriwa kwa kufuata maadili ya kazi yako kama walivyo wenzako wengi na si vinginevyo.

  Ndg.zangu Watanzania, mwanadamu ajiitaye Mwanakijiji Mtanzania aliyezaliwa 1953 huko Iringa (sitasema jina lake kamili) ni kiumbe mwenye majukumu, mitizamo na nia tofauti kabisa na yale anayoyaandika na kuyatangaza.
  Hakuna cha mgongano wa fikra wala cha kusoma alama za nyakati yeye ndiye damu ya chaka mpikaji wa mazingaombwe kupitia taaluma yake anayoitumia kwa utaalamu unaoonekana kuwa wa hali ya juu lakini sasa anaumbuka baada ya kukutana na ama wanaolingana naye au wanaomzidi.
  1.MKJJ yuko katika payroll (isiyo rasmi) ya Serikali yetu katika kazi ya usalama wa Taifa. Sio rasmi kwani ajira yake na majukumu yake hayafuati muundo wa kawaida(organogram) uliopo kitu ambacho kina utata hasa inapokuja katika uajibikaji wake na pia ulipwaji wa maslahi yake.
  2. MKJJ ni mhitimu wa shahada ya kwanza (BA in Political Science)- Tanzania na pia Shahada ya uzamili (MA in Mass Communication & Media Arts)- USA. Baadaye alifaulu vizuri sana mafunzo ya upelelezi (Intensive course in Nationalism & Espionage) – Cuba chini ya Mwalimu wake gwiji aliyempenda sana kwa jina Mosses Powel . Hii inaeleza sababu ya MKJJ kupewa nafasi ya kuwa muhudumu (Usher) mmojawapo katika mazishi ya Powell 22.01.2005. Alipelekwa pia Trinidad & Tobago kwa ajili ya mafunzo ya ukakamavu na ulinzi wa kujikinga chini ya kitivo cha Powell ambaye ndiye mwanzilishi wa mashambulizi ya Sanuces Ryu Jujutsu lakini bahati mbaya MKJJ hakuwa mzuri sana katika somo hili.
  MKJJ baada ya kushauriwa , alichagua kuendelea zaidi kubobea katika mbinu za kipepelezi za steganografia (steganography), Saitografia (Cytography) na Utafiti (Research) siraha zilizompa nafasi kupata mazoezi kwa njia ya vitendo katika Wizara ya Ulinzi ya Marekani (Ministry of Defence).
  3. Kwa sasa MNKJJ anafanya kazi ya kunusa na kuwachanganya Watanzania kwa kuandika na kuongea kwa style ya kukandia Serikali kwa sana kupitia majamvi na majukwaa mbalimbali kama vile Jamboforums.com, (http://jamboforums.com/); Gumzo la Kijiji (www.phpbbcity.com/forum/baraza.html); KLH news (http://mwanakijiji.podomatic.com); habari Tanzania (http://www.habaritanzania.com); Blog.co.tz (http://www.blog.co.tz/profiles/Mwanakijiji/); Bongo5 (http://www.bongo5.com); Podomatic (http://www.podomatic.com/people/index/mwanakijiji); Bongo radio (http://www.bongoradio.com); Dar Young African (http://www.youngafrican.com) na magazeti mbalimbali yaliyo katika mtandao.
  Hutumia majina bandia kibao kama hilo la Mwanakijiji, Mkimbizi wa Kiuchumi, Madele wa Madilu, Lydia Ngosha n.k na idadi kubwa ya hayo majamvi anamoandika ya mtandaoni ni yeye anayeyamiliki ambayo mengi yake ni ya bure tu nay eye huonekana kuwa senior member mwenye nyota lukuki !
  Awapo mtatandaoni huungwa mkono mara kwa mara na wanachama wasiomtambua (kama vile akina Steve D ) na wale wanaomtambua kama vile akina Theleza Nesaa, Da- chemi na motto wa Mkulima au pia ajiitaye Katibu Tarafa na wengine wengi.
  4. Kwa kutumia utaalamu wake wa sanaa na fani ya uandishi na utangazaji, MKJJ anajificha ndani ya mbinu ya kijasusi ijulikanayo kama ‘The Italian Strategy of Tension with False Flag’. Ingawa ni mwanachama CCM lakini anapokuwa mtandaoni huvaa ngozi ya mbwa mwitu na kujiita Mkuu wa Taasisi ya Kitanzania ya Demokrasia, Maendeleo na Amani (TAKIDEMA). Kazi zake ni kama ifuatavyo:-
  a. Kuanzisha mada chokozi (provocative topics) zenye kuleta hisia kali akisukuma makombora kwenye Serikali ikiwa ni namna ya kuwachokoza wananchi ili mnapoanza kusema au kuandika basi yeye anachukuwa notisi zake na kuwakabidhi waliomtuma kwa ajili ya kurekebisha panapotakiwa haraka iwezekanavyo. Hadhira yake kusudiwa ni hasa Watanzania walioko nje na hususani wasomi ambao wanaweza kuleta upinzani. Wachache walimshtukia alipopinga kinamna kuruhu suala la Uraia wan chi mbili !! sababu iko wazi nayo ni “you are either with us or against us!

 22. wise Says:

  BC ni inafanya vizuri ndio lakini hii tabia ya kuwaita watu celebrity wakati hata hawajafanikiwa sio nzuri.

  tabia hii inawafanya watu waanze kujiona wa maana wakati hamna kitu,haiwezekania mtu hata pikipiki huna halafu unaitwa celebrity kisa unatangaza TV au unaimba vimuziki mziki.

  katika nchi za wenzetu celebrities ni mfano wa kuigwa kwa kila kitu (kikazi,mafanikio,kifedha,kimavazi,)

  tatizo hizi TV zinatudanganya,tunaparamia mambo ambayo huku kwetu hayaja fikia muda wake.

  celebrities wa hapa una wakuta disco hata pesa ya bia hawana,wingine hata viingilio hawana wanaishia nje.

  Aidia ni nzuri lakini kaeni kwanza mchambuwe watu,mjue hasa ni kina nani wanapaswa kufikia HADHI hiyo.

  sio kukurupuka tu na kuwa ita watu celebrity mnawapumbaza,wanakuwa wajinga wana anza kubenuabenua nidomo uatafikiri (will smith).kina dada ndio usiseme.

  ndugu wananchi tuache kuparamia mambo ya marekani.hizi TV ndizo zinazo tudanganya siki hizi.

 23. kalili Says:

  Bc kazi nzuri sana. Web cite imetulia ile mbaya. Wise kwa ukweli ni kuwa hapa naona BC wao wanawatafuta watu maarufu, Sio kila mtu maarufu ana pesa, au ni mtu wa kuigwa kama unavyoamini. Hata ulaya kuna watu maarufu hawana pesa wala nini. Jaribu kuangali “You tube” uone watu wanayoutafuta umaarufu, na wanaupata by hits za watu wanaowaangalia. Hao madada wanaobinua midomo ni tabia zao tu, hata wasingekuwa celebrity wa BC.

 24. Kimori Says:

  BC mnafanya kazi nzuri. Nionavyo mimi, site yenu kuitwa BONGO CELEBRITY haina maana kuwa celebrities ndio watundikwe humu. Ni katika kutuletea habari ambazo zinawafanya watu wapate changamoto na kuchangia hoja ili kuleta maendeleo ya aina fulani kwenye jamii.

 25. mayomycle Says:

  very good , useful site bongocelebrity.com

 26. Bwiko Kyriakos Says:

  Dear BC,

  Great work ladies & gentlemen……

  Amazing work…Tanzania is on the map on the world once again;
  For good reasons too….

  Amen…..

 27. music Says:

  What do you mean ?

 28. Upendo Furaha Amani Says:

  B.C.,
  Mnafanya kazi nzuri. Mtandao (blog) wenu ni rahisi sana mchangia hoja kuchangia.
  Ninawatakieni kila la heri katika kila mfanyalo.
  Tuipende Tanzania Nchi Tuliyozaliwa.

 29. Tina Laizer Says:

  KWA KWELI MNAJITAHIDI. NAWAPA GIG UP.

 30. Rahim Says:

  kwa kweli mmejitahidi sana babu kubwa sio mchezo kabisa endeleeni hivyo hivyo kulitangaza taifa.

 31. Ralph a.k.a Babuu Says:

  Mazee joo leo nimeona vitu vyako kweli pamba za KP si mchezo. Big up & I salute yu sana

 32. Liz Barber shop (Kwamakoma) Says:

  KP endelea kufanya mambo ” Ugali ni mtamu ukiwa wamoto” bigup sana mkubwa.

 33. Ambrose Says:

  Very good work BC. We need to celebrate our talents and stars. This way we will make our stars shine more and encourage our young ones to come up and shine.

  Keep it up guys!!!

 34. blog imetulia kusema ukweli ila tunahitaji ubunifu zaidi kuleta changamoto mingoni mwa blog nyingi zinazopatikana bongo kwa sasa ,

 35. Dora Says:

  i hust love this websites, it gives all the best of kev….

 36. innocent Says:

  It’s better than nothing.
  much respect.
  keep up the good work.
  one love.

 37. Dora Says:

  I just like this website it’s amazing to ave it… just happy i vbisited it ..

 38. Rachid King Says:

  Good Job
  Proud of You
  Well Done

 39. Rachid King Says:

  One of my former band member “Vumbi Dekula”send me this today from Sweeden..I never see before,and this is the first T
  and I was like “…Oh..My God..I should know this long time a go,because ” “Kiswahili is my original tongue” most of my song are sung in Kingwana (Kiswahili of eastern Congo)because I’m originaly from Kindu “just like Dr Remmy Ongala” (I’m from Bakusu tribe,difuma2 Matapa county,Kibombo District in Maniema Province(my grand father “mother side”is the grand-chief Muzelela (Kwa Muzelela)
  Briefly,
  Dr Remmy will tell you more (talk to him)

  i love the web
  i’m sooo happy to find you
  I’m very very proud of your Job
  Keep Up
  God Bless You Guys
  Sincerely,
  Rachid King ( O’menyama )

 40. maneno khatibu Says:

  Tangu nilipoanza kufuatilia web hii nina enjoy vya kutosha kwa sababu napata habari za watu mbalimbali, BIG UP WAZEE

 41. Amina Says:

  mi nawafagilia kama mmenipa limbwata hapa sikosi daily

 42. S.S.Farsiy Says:

  NIMEFURAHISHWA NA HII BLOG PAMOJA NA MICHANGO YOTE. NINAWAOMBA WAPAMBE NA WACHOCHEZI WAKAE CHONJO. ENDELEENI.

 43. abbou Says:

  Ebwana nilikuwa sijajua kama kuna web kama hii! nimekubali yani ni full every thing! ebwana big up sana kwa kutupasha yanayoendelea apo kwetu TZ.

 44. BALTAZAR Says:

  Ni blog nzuri sana kwa kweli nilikuwa siijui ila nimeijua blog hii kwa kupitia ile ya michuzi keep it up guys.

  I have some photoes and I would like to send it for people to see it.

  BALTAZAR
  DIRECTOR,KIPEPEO TOURS
  ARUSHA-TANZANIA

 45. Adili Magayuka Says:

  Nawapongeza kwa wazo zuri ingawaje kuna mapungufu ya celebrity kama title na maudhui yake ingawa naona mabadiliko ni mazuri kila siku. Watazamaji makini tunapenda kuona web inayotujali. HEKO SANA

 46. Tesha Dennis Says:

  Well Its cool and i like from the first tym i went through it and now i visit it everytime when am tired of my books,Why dont u visit some campuses like ARU/UCLAS, UDSM, CBE….. am sure there cool stuffs too

 47. Andrew Says:

  I just found out about this blog site today and just blew me away.Its awesome big up.So interesting and beautiful.You got all it takes to be the best.Creme’ de la Creme’.All the best.

 48. hsdfhsdfsdhf Says:

  Naomba mumuweke Nora Ng’wizukulu Jilala, tumsasambue na yeye kidogo.

 49. Mzazi Says:

  Nawashukuruni sana bongo Celebrity, habari mnazotupasha safi sana. Jamani Jeff naomba mtuwekee video au audio ya wimbo wa “Password” ya Twanga Pepeta please!
  Asante sana,
  Mbarikiwe and big up BC

 50. God'slucky Says:

  I real apreciate you guts,keep it up man…..Mko makini na habari zenu za home kweli tunazifurahia sana…..Pull up ur sosks man….

 51. God'slucky Says:

  I real apreciate you guys,keep it up man…..Mko makini na habari zenu za home kweli tunazifurahia sana…..Pull up ur socks man….

 52. john Njenga Says:

  Nyinyi ni wangu wa ndani BC, mnatupatia uchambuzi wa kina hasa juu ya wasanii wa TZ ambao wanavuma afrika mashariki…hivyo sina shaka kuwapongeza kwani kupitia mtandao huu ninawawasambazia wasikirizaji wa mkoa wa kaskazini mashariki mwa Kenya habri za kina kuhusu wasanii wa TZ ambao wana zimiwa kwa ngoma zao.
  Kupia Redio STARFM, nawapeperusha habri nazozipata kwa mtandao huu.
  Eee bwana eee nyinyi mnavuka boda 2 boda.
  Ongezeni bidii nasio dumba. BC 4 life.

 53. hey!!!this is good for everybody, from our cerebrities to us, funs!!!!

 54. gee Says:

  stay calm !

 55. Pearl Says:

  BC hongereni,mnawapa watz kitu roho inapenda.

 56. keijo Says:

  And now is the time for the heaven and of God that send more his power and miracles with healing and forgiven of sin through blood of Jesus and for that rise up more of workers and servant to help for lost people and for the kingdom of God ,so hurry and go an winning more people to Jesus with love and word of life,pray for blessed revival soon,thanksa nd blessa nd hope,keijo sweden

 57. nyeura fm Says:

  BC is the best,Bigup!

 58. Masozi Nyirenda-Mr University World 2001 Says:

  Thanks BC for giving us information from reliable sources

 59. Kakwimba Says:

  Nawaponeza BC kwa kazi zenu nzuri na za uhakika
  endeleeni kutupa raha

 60. IBU Says:

  AMAZING SITE……KEEP IT UP BC…MAKE US TANZANIANS PROUD……

 61. imzzotz Says:

  nimepata challange sana kwenye hii blog, kuna kitu kinakuja na kwa sehem kubwa kimetokana na hii blog yako. keep it up!

 62. Dadi Says:

  nimewakubal………!

 63. JOSEPH NDULU Says:

  2nashukulu mnajitahidi sana ku2patia habari ambazo zinauhakika zaidi haswa yale mahojiano ya mojakwa moja na wahusika.

 64. PETER MAGANGA Says:

  ya itz a nice site since i used to get many breakn newz and othez so guyz keep it up!!!!!!! Real i appreciate CB

 65. Dj osLus Says:

  I like this one, thanks for representin.
  check out oslusmusic.com

 66. mambo Says:

  hongera BC

 67. checks JR Says:

  BC mazee mnapoteza….. big up sana.

 68. Mugisha Says:

  Information is power, let’s participate in making history.

  You can not change history by any means but you can create it by every means.

  Unless we believe in this we will never make a foward step.

 69. Boniphace Novati Says:

  mnajitahidi sana, mna malengo sahihi, hamjakurupuka, mnakusanya habari za kina kiutaalam(professionalism) keep it up

 70. Said Says:

  Big up na kazi yenu ni nzuri ila jaribuni
  1. Kuisugua(up to date)mara kwa mara habari moja isikae muda mrefu
  2. Taste ya rangi ktk front page inahitaji maboresho na ubunifu zaidi ili kukabili changamoto miongoni mwa blog nyingi zinazopatikana bongo kwa sasa .
  Otherwise tunawashukuru sana kwa kazi yenu ya kutuhabarisha,umakini na Commitment mliyonayo kwa Jamii.

 71. chuchu Says:

  hey, im new here……………
  nataka kuzungumza kuhusu huyu mwakilishi wetu wa bba 3. latoya!

 72. Flavy Says:

  Good work hamna ku-copy na Ku-paste hapa,keep it up u r the best

 73. nifraz Says:

  hey i’m from sri lanka and fond this site accidently.. but i was just facinated reading this site.. which showcase the real african picture to the world… i will defenitely check this more often now.. keep it up the good work… eventhough i coudnt understand most of the blogs.. ans posts whch was typed in a different language… i should say that i enjoyed the diversity….

 74. tongenyama Says:

  nakafagilia haka ka blog/web

 75. r.k togolai Says:

  hey this is one of my best site, you guys are doing a great job big up to BC .

 76. silvester Says:

  thank you for getting a chance of saying something ,its real good website which feels me with a lot of news about tanzania in every session starting with entertainment,sports,news and etc ,i would like you guys to be sending me premier news via my email adress thank you and god bless you with lovely progress in producing this webpage

 77. Xelea Says:

  BC hebu nifafanulie please hiyo sentensi ‘All you wanted to Know but you didnt know how and where’ ina maanisha nini…
  Kidogo hiyo lugha kama mmeichanganya vile?

  Haika sana

 78. R.kassanga Says:

  BC keeps update with latest information ,
  Thanks and Big UP

 79. julius Says:

  web site jenu ni nzuri keep it up

 80. Mary Mkwaya Malamo Says:

  Mzuka kinoma

 81. watubwana Says:

  siri ya mtungi aijuaye ngata,HONGERENI SANA.AFANYAYE JEMA ASTAHILI PONGEZI.

 82. Ialuadn Says:

  Can we pls see interviews of people like Shose Sinare(Miss Tanzania ’96 and Miss Africa ’96)P Funk,Daz Nundaz,Aina Maeda (first Miss Tanzania)and if i think of anyone else i ‘ll let you know..thank you.
  P.S:Pls renew your interviews list cause everytime i log in i find the same names,some having been interviewed twice even.

 83. Ialuadn Says:

  You have tried a lot in putting photos so i think you deserve a word of praise!lol!

 84. Sophie (Mrs) Says:

  Your website is awesome,Great job! You make us Tanzanians proud. Keep it up!

 85. binti-mzuri Says:

  nice work jeff and team!

 86. ayubu isaa Says:

  hongera sana kwa kuelimisha jamii.

 87. peter kitenyi Says:

  ua website z fabulous!!! aluta continua…..!!!!!!!

 88. I was unaware until recently of this horrible situation happening in Tanzania…You see I couldn’t even imagine that such interracial prejudice based on mere superstition and knows what other motives beneath would prevail…It is so tragia and the international community ought to take immediate measures.

 89. kassim Says:

  habari za kazi mzee natumaini upo poa kabisa.pia hongera sana mzee kwa kazi nzuri,inatupa sana furaha sisi tuliopo mbali na home kupata habari za home,pia mimi ni mdau wako pia naishi japan,huwa lazimaa kila siku niifungue blog yako ili nisome habari za nyumbani.pia imenipa muwamasa mpaka nami nimejaribu kufungua website yangu,kwa hiyo naomba uiangalie kama kuna makosa unisahihishe ili niweze kuiboresha zaidi,naomba pia uiweke kwenye blog yako ili na wadau wengine waweze kuiona na kutoa maoni yao.naomba sana unipe support mzee ili blog iwe bora, natanguliza shukrani zangu kwako, blog ni http://www.kamaoption.blogspot.com

 90. gerald Says:

  u’re doing a fantastic job,keep it up

 91. Franco Says:

  hey sina cha kusema ila mnatisha sana vipindi vingine vya kijinga vina waongopa kama serikali ya tanzania na migomo ya walimu na wanafunzi rght
  BIG LOVE!!!!!!!!!!!!!

 92. BLACKMANNEN Says:

  BC ni pazuri na ninapapenda sana. Naomba kama mtaweza, BC mtutengenezee sehemu ya “CHEMBA”-Private. Sehemu ambayo sisi wachangiaji na hata hao Celebrities, tuwe tukiwasiliana kwa meseji “One By One”. Kwa njia hiyo, itatufanya tuelewane na watu wengi na kufanya urafiki na watu wengi. Hilo ni ombi langu!!!!!

 93. pitasoni mchizi Says:

  Am an upcoming hip hop artiste from Kenya.

 94. Caleb Says:

  kazi nzuri Jeff. endeleza mavituz.

 95. rasto Says:

  thumbs up for this website.keeps us connected back home.keep it up.napenda zaidi muziki ya zama zile.oss,ddc,ottu n.k

 96. mac Says:

  oyaa cio cir umetushika vilivyo na bongo celebrity but kuna watu wanaboa sana hum ndani kwani wanatumia majina yetu kama a.ka. zao kiasi kwamba ukitafuta wakina mac utakuta kama milion kadhaa wizi mtupu acheni hizo enzi za mwalimu wangefungwa maisha kwa kuidanganya jamii ni mimi mac na zacs toka MB CITY

 97. Madman Says:

  If u don’t like this,you won’t likd anything else.

 98. MASUMBUKO Says:

  Mzee nimekubali. hasa bakurutu. Unatukumbusha enzi zile. safi sana. Endeleeni kutupa raha.

 99. Mise Says:

  U dONe iT and StILL DoiNg gUd jOB.
  kP It uP mY DeaRS.

 100. hajiez Says:

  tunashukuru kwa kuwa mnatupatia habari za nyumbani hasa watu kama sisi tulio nchi za nje.hajiez-greece

 101. bidada Says:

  big up BC ,nice work i real like it nimekuwa nikisoma
  habari nyingi za nyumbani especially wanamziki
  nifaraja sana kujua na kusoma
  na kujua nini kinaendelea nchini kwetu hasa kwa sisi tulio mbali na nyumbani imekua ni faraja sana

 102. IDDY Says:

  hey i’m from Canada and fond this site accidently.. but i was just facinated reading this site.. which showcase the real african picture to the world… i will defenitely check this more often now.. keep it up the good work… eventhough i coudnt understand most of the blogs.. ans posts whch was typed in a different language… i should say that i enjoyed the diversity….

 103. IDDY Says:

  Very good work BC. We need to celebrate our talents and stars. This way we will make our stars shine more and encourage our young ones to come up and shine.

 104. Paultz Says:

  Nilikuwa naangalia website http://www.safarilands.org pia ina informations nzuri kuhusu utalii Tanzania na Wanyama, keep it up!

 105. Masinde Says:

  This site is very good

 106. fransisco m Says:

  Big up guys!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

 107. chemical Says:

  DAAAAAAA!!!!!!!!!! UNAZIBA AU UNAZIBUA? FEEE? UNAPOTEZA MBAYA SIS ANGU, KEEP IT UP!

 108. chemical Says:

  FETY U> NO UME SORYY I MEAN UNA MMMMMMM!!! UNA MCHUMBA< AU BADO UPO*2

 109. chemical Says:

  hivi tigo wanakulipa au!?? kwasababu wametumia idear yako, kunatangazo linaonesha du mmoja, mchana ana……….. macapati na usiku fullll ma …….. disco, and dis was spoken by fid q kwenye utangulizi wa bongo flava. tujulishane

 110. Didas Tom Okwemba Says:

  Mimi ni mkenya lakini nilizaliwa Tanzania na elimu yangu ya kwanza niliipatia huko katika mkoa wa Kilimanjaro maeneo ya Rombo. Huku nilikuja tu kujiendeleza kitaaluma. Kwa kweli Tanzania ni nchi nzuri iliyo pewa misingi hiyo na waasisi wetu Hayati Mwalimu na mzee Abeid Karume. Jamaa tuilinde na kuiendeleza ili tuweze kufikia malengo ambayo waasisi hawa walikuwa na matarajio nayo. Binadamu wote ni sawa na Africa ni moja. Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Africa. Bongocelebrity juu juu zaidi.

 111. kisu Says:

  Nilikuwa na surf nikakutana na hii site http://www.shwari.com ,hebu jaribu kuicheki

 112. Mzungu Says:

  Wazungu wako wapi?

 113. John Says:

  Dear BC its my first time to open this blog, keep it up,
  Rome was not built in one year

 114. luckymich77 Says:

  Dear BC, this is a GREAT BLOG!
  Its great to see that Bongo is represented well
  using WordPress! Atamimi nimezaliwa Bongo!

  Check out our Blog at http://www.kabyware.com!
  We like to report on Celebrities from africa
  as well. Please email us some of your stories
  We would love to talk about them on our
  site and send our regards to you!

  In the future, I would like to trade links with you
  and add you as one of my friends on our website!

  Let us know!

  Thanks,

  Kabyware


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s