BONGO CELEBRITY

All You Wanted To Know But Didn’t Know How and Where

GEA HABIB October, 25, 2007

Filed under: DJs,Watangazaji — bongocelebrity @ 12:05 AM

 

Gea Habib(pichani) mmojawapo kati ya watangazaji mahiri wa Clouds FM. Anaendesha kipindi kiitwacho Kwa Raha Zetu ambacho husikika kila jumapili kuanzia saa 12 jioni mpaka saa 3 usiku.

Advertisements
 

17 Responses to “GEA HABIB”

 1. MSIKILIZAJI Says:

  shangingi la nguvu!

 2. Matty Says:

  mh inaonesha kwa mipasho huyu nae yumo!!!!!!

 3. Dinah Says:

  🙂 ni vema kutambua kipaji chako……mipasho nayo ni kipaji…..is it sanaa? Kila la kheri ktk shughuli zako za kila siku.

 4. gasto Says:

  Si mchezo mipasho inaladha yake kwa anayejua kupashua kama Denah.

 5. kolo Says:

  Weee Gasto naona ushaanza kuwashwa na Dinah, kwani hamuwezi kutoa comment without tajaring jina la Dinah.

 6. EDWIN NDAKI Says:

  Duuuuuh!!! kazi ipo…akifufuka muhasisi wa taaratbu Siti binti Saadi….

  Naomba kuwasilisha

 7. TanzanianDream Says:

  Lol Kolo seems wewe ndo unatatizo huwezi toa comment bila kuwashwa na comment ya mwenzio…

  Mambo ya wanawake hayo waachieni wenyewe…..

 8. joan Says:

  anamvuto,ila hanaonekana mapepe

 9. TanzanianDream Says:

  its ana not hana

 10. KakaMzuri Says:

  Siku wahi kumuona huyu Gea Habib kumbe ana vutia wow.

  Mwanzo nilikwua sipendikusikiliza niliona ni kipindi cha ushambenga na uswahili haswa zile sauti zao, ila kwa sasa huwa sikosi kusikiliza Leo Tena na kipindi kinachofuata, maana napenda sana lile tangazo la wanawake wa uswahilini wana pigana kusema eti “Üna nifuata fuata , kwamba na kula nini na navaa nini” , pale tuu huwa pananiacha hoi.Hongerasana Gea na Dinna Marios.

  Wewe TanzanianDream mbona un amambo ya kike , comment ako za kishoga shoga tuu, hivi una tatizo ndio maana SUNCHE PYAREKHE , ukome kabisa, mimi na wasi wasi na wewe una weza kuwa akama mimi ila unajifisha , Nyambaffu!!!!!!!!!!!!

 11. Pope Says:

  “AKUMBUKWE AMINA CHIFUPA” MUANZILISHI WA KIPINDI

 12. debra Says:

  Weeeee huyo ndo GEA HABIB aka VIP!!MAMA LAO.hizo fani za watu mipasho ndugu yangu ka huiwezi itaishia tiwa vidole vya macho kila siku,
  Gea mamaaa kwa RAHA ZEU

 13. Linyala Says:

  Gea ni bonge la demu. Anafit kabsaaaa kwenye mipasho….Mvuto wa nguvu.

 14. NGIJANGIJA Says:

  Huyu Gea mimi nimemkubali mambo yake.Hongera sana angalia sana macho ya watu wengine sio wema kwako.

 15. Binya Says:

  Nakukubali sista mi ndo msikilizaji nambari moja wa kipindi chako,endeleza bakora da Gea kwa sanaaaa tuuuu.

 16. winnie Says:

  Ni kati ya watangazaji waukweli namkubali.


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s