BONGO CELEBRITY

All You Wanted To Know But Didn’t Know How and Where

ETI HUYU NI NANI? February, 9, 2009

Filed under: Uncategorized — bongocelebrity @ 8:27 PM

pres-kbc

 

19 Responses to “ETI HUYU NI NANI?”

  1. fadhili malima Says:

    rais wa south africa jina lake limentoka

  2. ANON Says:

    huyo ni rais wa afrika ya kusini bwana montlante

  3. Rude Says:

    Rais wa South Africa?? Jina sikumbuki!

  4. RAISI WA AFRIKA YA KUSINI KWA MUDA

  5. ds Says:

    rais mteule wa SA,toka chama tawala cha ANC,ambaye amerithi kiti cha thabo mbeki hadi raisi mteule atakapopatikana baada ya uchaguzi hivi karibuni

  6. Edwin Ndaki Says:

    huyu ni Profesa naniniiii..

  7. b Says:

    rais mpya wa Afrika Kusini

  8. andrew Says:

    SURELY PRESIDENT. KGALEMA MOTLANTHE, OF THE DEMOCRATIC REPUBLIC OF SOUTH AFRICA.

  9. Gilbert Says:

    Ni mmoja kati ya viongozi wa serekali ya J kabila kule congo kwa jina limenitoka

  10. semeni Says:

    Kaimu Rais wa muda wa Afrika ya kusini mheshimiwa
    KGALEMA MOTLANTHE

  11. Faustine Says:

    Kaglema Motlanthe, Raisi wa Afrika Kusini.
    Mdau
    http://drfaustine.blogspot.com/

  12. VR6 Says:

    Huyu ni rais wetu mteule wa Republic of south africa Mr kgalema montlanthe akiongozwa JZ mzee wa shower kawekwa kama sanamu tu nchi inaongozwa na wengine na sasa anakashifa ya kumjaza mimba totoz ndogoo na wametengana na mkewe kitambo

  13. msema Says:

    HUYU NI RAIS WA WAPEMBA KWA MUDA MPAKA UCHANGUZI MKUU 2010

  14. Dunda Golden Says:

    RAIS WA KIPINDI CHA MPITA BONDENI A.K.A SOUTH MWA AFRIKA

  15. papuu Says:

    dah gilbert acha uwongo mzee ha ha ha ha ha

  16. BC Editor Says:

    Wale wote waliomtaja aliyepo pichani kama Rais wa Afrika Kusini,Kgalema Motlanthe,ndio waliopata jibu sahihi.Ni hivi leo tu Rais huyo ametangaza kwamba uchaguzi mkuu nchini humo utafanyika tarehe 22 April 2009.Jacob Zuma ambaye atasimama kama mgombea rasmi kupitia chama cha ANC ndiye anategemewa na wengi kwamba atashinda.Lakini hilo ni jambo la kusubiri na kuona.

    Tunapoweka picha na swali kama ilivyo katika post hii huwa tunadhamiria kukumbushana kuhusu watu mbalimbali,kuelimishana kwa njia moja au nyingine na hata kuburudisha inapobidi.Shukrani kwa wote ambao huwa mnajitokeza katika kumtambua mtu au watu wanaowekwa.BC inaheshimu mchango wako kwa jamii pana.

  17. chapombe Says:

    ahaa,kumbe ndio bosi wa huko bondeni.

  18. poppa Says:

    he is the existing president of South Africa, he is appointed by the commitee of ANC to cover for the resignation of Exelence Thabo Mbeki, the name is KGALEMA MOTLANTHE

  19. mjanja Says:

    wote hapo juu mmekosea jamani ni dingi yangu! anaitwa mzee fifi


Leave a comment