BONGO CELEBRITY

All You Wanted To Know But Didn’t Know How and Where

ILIVYOKUWA JANA… December, 2, 2007

Filed under: Miss Tanzania,Urembo,Watu na Matukio — bongocelebrity @ 2:52 PM
Tags:

Kwa wale ambao hawakuwezi hapo jana kuona fainali za kumtafuta mrembo wa dunia hii hapa ni video ya utambulisho wa gauni la jioni(evening gown parade).Hapa unaweza kuwaona warembo wote 106 walioshiriki shindano hilo.

 

MISS WORLD MPYA APATIKANA,SIO RICHA! December, 1, 2007

Filed under: Breaking News,Developing News,Miss Tanzania,Urembo,Watu na Matukio — bongocelebrity @ 9:15 AM
Tags:

 

Mrembo wa Tanzania,Richa Adhia,ameshindwa kufurukuta katika mashindano ya urembo wa dunia (Miss World 2007).Mashindano yamemalizika dakika chache zilizopita na taji la dunia limekwenda kwa Miss China 2007,Zin Lin Zhang binti wa miaka 23 kutoka jimbo la Hei Bei lakini hivi sasa mkazi wa Beijing.Mshindi wa pili ni mrembo kutoka Angola barani Afrika,Micaela Reis na wa tatu ni kutoka Mexico,Carolina Moran Gordillo.

Waliongia tano bora ni Angola,China,Mexico,Trinidad & Tobago na Sweden.

Tatu bora ni Angola,Mexico na China ambaye ndio ameibuka mshindi.Endelea hapa kuona picha za washindi watatu wa mwanzo.Baada ya hapo unakaribishwa kutoa maoni na sio kashfa,kebehi au matusi. (more…)