BONGO CELEBRITY

All You Wanted To Know But Didn’t Know How and Where

BOSI WA BIG TIME RECORDS December, 22, 2007

Filed under: Bongo Flava,Burudani,Muziki,Ujasiriamali — bongocelebrity @ 12:05 AM

Hapo zamani kidogo studio za kurekodia nchini Tanzania zilikuwa ni chache sana kama sio hakuna kabisa. Studio ya Radio Tanzania Dar-es-salaam(RTD) ndio ilitumiwa na bendi zote au mtu yeyote aliyetaka kurekodi. Kama sio RTD basi ilikuwa ni kwenda Nairobi,Kenya kama unataka kurekodi.

 

Mambo siku hizi yamebadilika.Studio zipo kibao.Kinachotakiwa ni hela yako tu na kipaji. Kipaji ni muhimu kwani sio kila mtu amezaliwa kuwa mwanamuziki.Wengine tunaweza kubakia kuwa mashabiki na kisiharibike kitu. Mojawapo ya studio hizo ni Big Time Records ambayo inamilikiwa na produza Said Comorie (pichani)

Picha kwa hisani ya MichuziJR

 

8 Responses to “BOSI WA BIG TIME RECORDS”

  1. Mercyline Says:

    Vizuri lakini maproduza kuweni na ubinadamu, hasa kwa hawa wasanii wachanga msiwatajie high price za kurekodi ndo maana wengi wana talent lakini wanashindwa.
    Umependeza hutafuti……..??na sikukuu hizi zilizofatana?

  2. mdau morogoro Says:

    ile ya kuiba wimbo wa msumbiji na kumpa TID ndio imemharibia kila kitu.

  3. DRAMAKING Says:

    “Vizuri lakini maproduza kuweni na ubinadamu, hasa kwa hawa wasanii wachanga msiwatajie high price za kurekodi ndo maana wengi wana talent lakini wanashindwa”

    Nope,if I spend an entire Saturday making a beat and mixing it proper,I aint about to lower my price for NO ONE,if you can’t afford to record a track then hustle your *** ’till you can,nothing’s free in this world

  4. Edwin Ndaki Says:

    nasikia kaka uli “desa” songi la Pasada ni kweli?

    Ila aina noma hata hivyo unatalent napenda mkono wako unapoweka kwenye kazi mbalimbali.

  5. Dar-Hotwired Says:

    New producer new style of music or is it a case of new producer old style of music.

    Tanzania was in the forefront of making good original music from mad talent. Then some wanted in (on the business) just coz of the money.

    You have to love what you do and it will surely pay off. Not just in the “short term” as some “producers” think.

  6. Msafiri Says:

    Hivi huyu Comorie ni mswahili, au ndo wale wale tunaowavumulia nchini? Haya majina ya namna hii unaweza kukuta ni Mcomoro!

  7. moto Says:

    Kaka mimi nakukubali kipaji chako kiko matawi! hawa wanaochongo ohh umeiba mwimbo oooh hivi ! ni wakuda tuu .

    Na wao waibe basi tuone wataweza kurekebisha na nyimbo kukubalika ?!!!

    huyu naye anaulizia uraiya ! yeye mwenyewe raia? eti majina . basi mama salma kikwete sio mtanzania maana lile ni jina lakiarabu! kama tatizo lako ni jina! nenda uhamiaji wanatoa ajira! watakufikiria.

    aisy said wewe kipaji! hivyohivyo endelea kukandamiza!

  8. amina Says:

    comorie ni producer mzuri ila umeniboa ulivyoiba biti na melody na mwizi mwenzako tid…na ulimpa na esmail pia halafu ukamfunika mtoto wa watu..


Leave a reply to Edwin Ndaki Cancel reply