BONGO CELEBRITY

All You Wanted To Know But Didn’t Know How and Where

HONGERA MR AND MRS MALUWE. February, 16, 2009

Filed under: Familia,Watangazaji — bongocelebrity @ 6:57 PM

maluwe

Majuzi wakati ulimwengu unasheherekea sikukuu ya wapendanao,mtangazaji maarufu nchini Tanzania,Michael Maluwe alihitimisha siku hiyo kwa kufunga ndoa na kipenzi chake Diana katika Kanisa Katoliki Parokia ya Msimbazi jijini Dar-es-salaam.

Pichani ni Michael na Diana wakati wa tafrija iliyofanyika katika ukumbi wa Sunset uliopo Mbezi jijini Dar-es-salaam.BC inawatakia ndoa bora yenye Baraka na maelewano tele.

Picha hii ni kwa hisani ya Father Kidevu ambaye kama unamuhitaji kwa shughuli yako unaweza kumpata kupitia simu yake namba +255 755 373999.

Advertisements
 

9 Responses to “HONGERA MR AND MRS MALUWE.”

 1. mjanja Says:

  mmependeza sana hongereni sana

 2. MapigoSaba Says:

  Shavu dodo!!

 3. Mattylda Says:

  HONGERENI SANA,kila siku kwenu iwe valentine sawa??mtangulizeni mungu kwa kila jambo!

  all the best!

 4. mr degree Says:

  alikua na kipindi chake cha michezo pale ITV, yeye alikua anatoa wacheza golf wa kihindi tuu mwanzo mpaka mwisho.sijui walikua wanampa mshiko ama vipi!

 5. Veila Nkya Says:

  Hallow Mr & Mrs Maluwe
  Nawatakia kila la kheri katika ndoa yenu Mungu awabariki kwa kila jambo mfanyalo.Sawa my dada Diana.Be blessed

 6. Josephat Ndulango Says:

  Poa sana Michael kwa kufanya jambo la busara na gumu katika kufikia kufanya maamuzi. Mungu aibariki ndoa yako na iwe yenye upendo zaidi. Ule utoto wa kigurunyembe uache kabisa.

 7. dan Says:

  Anafanana na Neema Mbuja!

 8. anita Says:

  hongereni sana. na kikubwa ni we diana always mwanamke mwema huijenga nyumba yake yeye mwenyewe ucwe yule mpumbavu one… kinachotakiwa ni uvumilivu inawezekana hili neno umelickia sana mpaka limekuchosha lakini linamaana kubwa sana,,hivi ujifikilii we ninani mpaka mshakaji akawaacha wote tunaomuangalia kwenye tv kukicha akakuchagua wewe unafikili we unastahili sana au unafikiria shetani amelifurahia hilo nooo! sasa hapo kwa shetani ndipo yanakuja magumu uvumilivu unapo take place…kwa leo niishie hapa nimechoka na 9t shift, mungu we2 awabariki sana. wakatoke watoto kwenye kiuno cha michael na kwenye 2mbo lako, amen………………

 9. Kha Says:

  Kha….this guy is hot..no joke!


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s