Mwimbaji na mnenguaji maarufu wa Twanga Pepeta,Luiza Nyoni pamoja na mumewe Mr.Mbutu.Luiza Nyoni Mbutu ni miongoni mwa wanamuziki ambao wamekuwepo kwenye fani kwa muda mrefu nab ado anaendelea kutesa.
Picha kwa hisani kubwa ya Global Publishers.
Mwimbaji na mnenguaji maarufu wa Twanga Pepeta,Luiza Nyoni pamoja na mumewe Mr.Mbutu.Luiza Nyoni Mbutu ni miongoni mwa wanamuziki ambao wamekuwepo kwenye fani kwa muda mrefu nab ado anaendelea kutesa.
Picha kwa hisani kubwa ya Global Publishers.
mbona wamefanafa, mtu na dada yake nini?
Luiza mbutu mimi nakukumbuka pale unapokuwa jukwaani kweli utaki mchezo maana hico kiuno na sauti yako nyoorrooorooo inayokata mawingu si mchezo
safi sana kila la kheri
chai goda
hii Picha swafi sana! kwanza hongereni sana dada Luiza na
mai?nani!ih wako au baba chanja wako,hii imetoka swafi
sana wasione kwa kuwa ni mwanamziki basi labda ni
muhuni fulani! mziki ni hajira kama hajira zingine,hapa
umedhihirisha kuwa unamajukumu muhimu pia
aktika familia yako.
Swafi kabisa
Nampenda sana Lwiza ni Dada anayejiheshimu pamoja na mkorogo wake lakini haubadilishi tabia ya mtu vilevileumempendezesha pia. Anaimba nakucheza na wapendeza sana I love the couple na wanapendana kwa dhati.Nawaombea Mungu waepukane na mambo yanayo wazingira wanamuziki wote na waendelee kuitunza familia yao vizuri
monile…….habari za kunyumba……….kila la kheri wanandoa. Endelezeni libeneke.
Hivi wana watoto wangapi siku hizi?
we bc hii picha ni ya zamani sana jamani,luiza kabadilika sana,tuletee picha uptodate tafadhali….hata hivyo nampa big up sana luiza kwa mafanikio yake aliyoyapata tangu aanze muziki…anawakilisha wanawake wenzake vizuri sana,hongera mama b….
Hongera sana dada Lwiza kwa sababu kwanza wasanii wengi hawadumu katika ndoa zao na heshima inakosa kabisa lakili wewe pamoja na kuwa mwanamziki lakini unajali na kuiheshimu ndoa yako heko sana!!
Hakika luiza Mbutu siku zote nakumbuka sana kipaji chake hasa alipoimba wimbo wa “kuolewa”..
Kila la kheri game unaliweza …utafika mbali endelea kukaza uzi ,usi ame ame kama wakina Choki.
utafika tu
wamependeza.
Hi guys, kutoka helsinki-Finland,
Kwa kweli mnapendeza, ni mfano mzuri ktk jamii, mmetufundisha, muziki ni kazi, sio uhuni. mungu awabariki , hongera sanaaaaaaaa
cheers guys
Hombiz, umenikumbusha kwetu!!!!
kwani hapo wa Monile ni nani?
Big up Mr. and Mrs Mbutu.
All the best
mie nilikimuangalia luiza sasa hivi na enzi zile akiwa sijui kwenye bendi gani ilee”tumetoka kweu mahenge tumekuja darisalama”…hahaha….kweli ilikuwa mahende….by the way mmependeza sana….God be wit u…
Good huo ni mfano wa kuigwa na wasanii wengine! Wasanii wa muziki siyo lazima wawe wahuni au wasiojiheshimu kwani hiyo ni kazi kama kazi nyingine! Tatizo la wasanii wengine hasa wa kike ni tamaa ya maisha ya juu kuliko hali yao halisi na hivyo kujiingiza kwenye biashara za kupata fedha za haraka haraka hususani umalaya. keep up wanandoa mimi nawafagilia sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa. Usisahau kusali dada angu kwani nilikuwa nakuona pale magomeni ukiwa mshiriki mzuri sijui siku hizi
good!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Nakuemvi sana Luiza kitendo cha kucheza bila kuonyesha tumbo lako hapo tuu umenimaliza na kuichukulia fani yako kama kazi halali.
Debora
Luiza uko juu sana. Unastahili kupewa kikombe cha dhahabu cha ushinda wa wasanii bora wa muongo!.
Nakwambia kuwa akiwa jukwaani huyu mama hubadilika akawa kama kabinti na hakuna anayeona ndani kwa shughuli impelekayo hapo jukwaani. Hapo usipime si cha Aisha wala sijui Intaneti wala Bokilo wala Super Nyamwelo!
Mimi na nyumba yangu tutaendelea kuwa washabiki sugu wa Twanga kwa sababu yako.
Ninampongeza Dada Luiza kwa kucheza kwa kujiheshimu.
Hii inaonyesha jinsi anavyo mheshimu na kumsikiliza Mumewe.
Wanawake wengine wa fani zote waige mfano wake.
Ninakutakia kila la heri dada na mafanikio katika maisha yako pamoja na familia yako.
Sally kwakweli wa monile mimi simjui. Nimeona jina tu nikabaini ni la kunyumba. Pale pale kwa mfalanyaki!
kwakweli dada luiza sijawahi kusikia kashfa za ajabu ajabu kuhusu wewe.inapendeza sana.
Hongera sasa dada LUIZA na mumeo Bw. Mbuttu (bila shaka huyu ana undugu na bwana mmoja anayekwenda kwa jina la Farijallah !!!) kwa kweli mmependeza sana you couple !!! Naomba kumuuliza dada Luiza, hivi Aunt jessica Charles (mate wako wa zamani Twanga Pepeta) yuko wapi siku hizi maanake ni muda sijamtia machoni au SHEM wetu yule MZUNGU ndio alibeba moja kwa moja mpaka majuu ?????? Tafadhali naomba contact zake kama unazo !!!! Otherwise, May the ALMIGHTY bless your matrimonial relationship so that you stay together for yet another a hundreth years to come !!!!!! Karibu sana NORWAY next time when your band (TWANGA) visit again SCANDANAVIAN Countries !!!!
ciao
Kichwabuta
NORWAY
Ok poa amna noma Hombuzi!
Namkumbuka toka enzi za NIMETOKA KWETU MAHENGE NIMEKUJA D’SALAAM, KUCHEZA NGOMA.
mwake!!!